Fahamu kuhusu Uchawi wa Mapenzi (Limbwata)

wonders shall never end
hiyo ya kinyama kinakaa kunako siku kadhaa mbona sielewi?
ol in ol prayers ndio kila kitu
 
Vijishetwani vinavyofanya hii kazi ni very weak kama mtu unamuamini Mungu wako.
Kwa "Baba yetu" moja tu unasambaratisha kilimbwata... kiwe cha nyama au unyoya...
 
Jamani ndugu zanguni kuna ukweli wowote kuhusu limbwata coz kuna manjemba tunawashuhudia wababe kitaa ila wakifika kwa wake zao wanazechezea hadi vibao na hawasemi kitu
 
Ndio ukweli kuhusu hii kitu upo sana tu nowadays
 
kuna wengine kweli wanafanyiwa hivyo,
Na wengine ni mahaba tuu yanachanganya sasa kutofautisha au kujuia inakuwa ngumu sanaa..

Back
Top Bottom