Ushuhuda: Limbwata la mapenzi lipo au halipo?

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Aug 24, 2011
49,246
103,949
FbjPrEjWQAETgrS.jpeg

Binafsi najua limbwata lipo. Mtu akipigwa limbwata anafanya vitu ambavyo watu watamshangaa na yeye unawashangaa kwanini wanamshangaa. Omba sana katika harakati zako za mapenzi usipigwe limbwata.

Waambie ndugu na masela wakiona umepigwa kitu wakushtue, ukiwa mbishi wakubebe kinguvu wakupeleke kwenye maombi au kwa mtaalamu. Unakuwa hujijui.

Kuna baadhi wanasema hakuna limbwata ila ni mambo ya kufikirika. Bali unakuwa umewekwa tu kwenye angle nzuri ya mapenzi.

Waambieni ukweli hapa. Libwata lipo au halipo? Wapeni ushuhuda. Ila mimi nasema limbwata lipo. Nimelikwepa mara kadhaa kutoka kwa michepuko

Mshana Jr
 
Kwa lipi Mpaka nikupe limbwata? Pesa,dudu,sura au sijui nn.Mi nkiwaza tu kifo huwa sitaki kubeba dhambi za mtu kiboya na ndo maana nakosewa nakausha sifanyi chochote nikikosea naomba msamaha.Ujinga ujinga tu ....ubatili mtupu na kujivika upepo.Tunapita wandugu😜
 
Ukiachana na hawa wanga wa Pwani limbwata lipo la asili mfano wanawake Wana care vizuri wanaume yaani kuanzia misosi mapokezi maandalizi mpaka kidume unajikuta kama mfalme wanawake hao especially wadigo ndo wanavyofunzwa na makungwi wao Wana mpaka madarasa ya mapishi ambayo sasa wanwake pande zote mikoani nao wanatumia utaalamu wanajifunza,kifupi huo udambwi dambwi wa mapishi uko kila kona kwa sasa ni njia pia wanatumia kama limbwata.

Na katika ushirikina ni imani tu wapo wanaamini.
 
Nimeshika kitu hapa ndo nimemkumbuka,Kuna mama jirani hapo alikuwa anamwekea mumewe limbwata lavuzi na utoko anachanganya na dawa ya unga.Alitumia sana mboga za majani kuweka hiyo dawa Ili vinyweleo visionekane kiurahisi....aisee Kuna Siku naona mumewe alikuwa na Mungu wake kachota mboga Ivi anakutana na kibunda Cha uvuzi ,akapotezea....kesho Tena ivoivo...ndo akajua anhaaa,hapa siulizi kitu ....yaan alimfuata mkewe chumbani ni stuli ya kichwa Moja tu mke kimya ila tunashukuru alipona akashonwa nyuzi za kichwa then na ndoa ikawa imemshinda🤸👋
 
View attachment 2342767

Binafsi najua limbwata lipo. Mtu akipigwa limbwata anafanya vitu ambavyo watu watamshangaa na yeye unawashangaa kwanini wanamshangaa. Omba sana katika harakati zako za mapenzi usipigwe limbwata.

Waambie ndugu na masela wakiona umepigwa kitu wakushtue, ukiwa mbishi wakubebe kinguvu wakupeleke kwenye maombi au kwa mtaalamu. Unakuwa hujijui.

Kuna baadhi wanasema hakuna limbwata ila ni mambo ya kufikirika. Bali unakuwa umewekwa tu kwenye angle nzuri ya mapenzi.

Waambieni ukweli hapa. Libwata lipo au halipo? Wapeni ushuhuda. Ila mimi nasema limbwata lipo. Nimelikwepa mara kadhaa kutoka kwa michepuko

Mshana Jr
Hakuna kitu kama limbwata. Ni mapenzi tu, unakuta mtu anampenda mwanamke kiasi kwamba anamsikiliza kwa kila jambo na hata akifanyiwa vituko bado anaona ugumu kuachana nae, moyo unamrudisha. Hapo ndo watu watasema sasa ni limbwata
 
View attachment 2342767

Binafsi najua limbwata lipo. Mtu akipigwa limbwata anafanya vitu ambavyo watu watamshangaa na yeye unawashangaa kwanini wanamshangaa. Omba sana katika harakati zako za mapenzi usipigwe limbwata.

Waambie ndugu na masela wakiona umepigwa kitu wakushtue, ukiwa mbishi wakubebe kinguvu wakupeleke kwenye maombi au kwa mtaalamu. Unakuwa hujijui.

Kuna baadhi wanasema hakuna limbwata ila ni mambo ya kufikirika. Bali unakuwa umewekwa tu kwenye angle nzuri ya mapenzi.

Waambieni ukweli hapa. Libwata lipo au halipo? Wapeni ushuhuda. Ila mimi nasema limbwata lipo. Nimelikwepa mara kadhaa kutoka kwa michepuko

Mshana Jr
Latina ushirikina wote ogopa uchawi huo wa limbwata,ogoa kabisa maana haukopeshi na wakati ukijiona uko sawa jamii itakuwa inakushaa
 
View attachment 2342767

Binafsi najua limbwata lipo. Mtu akipigwa limbwata anafanya vitu ambavyo watu watamshangaa na yeye unawashangaa kwanini wanamshangaa. Omba sana katika harakati zako za mapenzi usipigwe limbwata.

Waambie ndugu na masela wakiona umepigwa kitu wakushtue, ukiwa mbishi wakubebe kinguvu wakupeleke kwenye maombi au kwa mtaalamu. Unakuwa hujijui.

Kuna baadhi wanasema hakuna limbwata ila ni mambo ya kufikirika. Bali unakuwa umewekwa tu kwenye angle nzuri ya mapenzi.

Waambieni ukweli hapa. Libwata lipo au halipo? Wapeni ushuhuda. Ila mimi nasema limbwata lipo. Nimelikwepa mara kadhaa kutoka kwa michepuko

Mshana Jr
Limbwata lipo aisee, na linaumiza sana. Mtu unafanya mambo ya kitumwa kabisa ila hujishtukii, unaona ni poa kabisa. Nilikuwa siamini, ila sasa nimethibitisha, ndugu yangu wa damu amekumbwa na hii jambo. Kijana mdogo ameishia kulea watoto wawili wasio wake - analipa ada za shule, mwanamke ameolewa ila kamroga na mumewe naye haongei kitu kuhusu huyo mwanamke.

Wote, ndugu yangu pamoja na mume halisi wa huyo mwanamke wote wametengenezwa - mpaka sasa bwana mdogo anatuona tunamuingilia mambo yake tunapotaka kumnusuru. Amefungwa kiakili, sasa hata mambo ya ofisini huyo mwanamke ndio anatoa final word - bwana mdogo ndio boss kazini ila chochote kile lazima asikilize opinion ya mwanamke (ni mfanyakazi mwenzie ofisi moja) kiasi wafanyakazi wa chini wanaona maisha yao kazini yanakuwa magumu sababu manzi shetani anawabania mambo yao mengi kwa kumwambia bwana mdogo akatae kuyapitisha.

Mungu aingilie kati amnusuru dogo maana hata mwili sasa unadhoofu ila yeye anajiona yuko poa tu, tunafanya maombi kwa Mungu wa Ibrahim na Yakobo dogo afunguliwe ufahamu kupitia jina la Yesu. Limbwata baya sana. Nimeambiwa la kipare ni hatari mno, mwanamke ni mpare.
 
Huko kigoma nasikia kuna nyama ya friji.. Inapachikwa kwenye papa inakaa siku kadhaa inakuwa papa wemba, kisha unapikiwa wanatia na dawa zao ukila umeisha.

Jamaa yetu katelekeza familia dar,yupo kigoma mwaka wa 10 unaenda, hafikirii wala kurudi. 😂
 
Huko kigoma nasikia kuna nyama ya friji.. Inapachikwa kwenye papa inakaa siku kadhaa inakuwa papa wemba, kisha unapikiwa wanatia na dawa zao ukila umeisha.
Jamaa yetu katelekeza familia dar,yupo kigoma mwaka wa 10 unaenda, hafikirii wala kurudi.
 
Thread 'Anahitajika mtaalamu (mganga) wa kumgandisha mwizi na mali aliyoiba sehemu alipoibia' Anahitajika mtaalamu (mganga) wa kumgandisha mwizi na mali aliyoiba sehemu alipoibia
 
Haya mambo yapo Kuna ndugu .alikuwa na wake wawili ....siku ..ametoka job katengewa msosi ....ilekugusa tu sahani ghafla Ile sahan ya ugali ili ruka na ugali ulipasuka

Katikati ya ugali wa Moto likatoka kono kono lililohai

Kumbuka huyu ndugu yangu alikuwa na Kinga nzito.,.......but bila hivyo ndo tungeshampoteza

Nb:: ukitaka ushuhudie mambo ya limbwata oa wanawake wawili.....u will suffer
 
Back
Top Bottom