Fahamu kuhusu Uchawi wa Mapenzi (Limbwata)

Wanaume huandamwa sana na wake au michepuko yao provided that wakikengeuka matakwa ya wake zao/michepuko na mwisho wa cku suluhisho kwa wanawake ni kuwaekea wanaume hiyo libwata, mwaisho wa siku wanatulia... ni nini hasa kinachotengeneza hizo limbwata?jee ipo libwata ya kike pia?
 
Back
Top Bottom