Fahamu kuhusu Uchawi wa Mapenzi (Limbwata)

We danganya tu watu hapa Me huwa najua wanaume wanaopewa limbwata wengine huharibika kabisa yaani kila kitu anamsikiliza mkewe hata kama ni chakipuuzi na kama anamali zitaanza kuisha coz unakuta mke hawezi kuziendesha kiufasaha na mume muda mwingi anatumia kwa kukaa na mkewe Worst of all ndugu wa mume ikiwemo wazazi ndo watasahaulika kabisa na kudharaulika coz mpaka mke aamue hata suala la ndugu wa mume kama ni msaada akisema hakuna kutoa hata kama ni muhimu kias gani lazima mume atii Halafu unakuja kusema limbwata nzuri agrrrrrrrrrrr!
 
MSAADA TAFADHALI: Ni wanawake wa kabila gani wanaoongoza kuwawekea wanaume limbwata? Je hiyo dawa inatoka kwa mganga? Na kama ndugu yangu kawekewa limbwata nitamsaidiaje liishe nguvu?
 
mwanangu mpendwa hili litakuwa jambo la mwisho la kumwambia mtu afanye.
katika makuzi yangu nimeona wanaume na wanawake walioathirika na haya na ukweli nakuambia wapo ambao wamekuwa mataahira na wengine vilema kabisaa kwasababu ya kulishwa uchafu kama huu.

to me uchawi kwa mwanaume ni usafi wa mwanammke binafsi, heshima ya kweli ikiwa imebebwa kwenye nidhamu ya utu, upendo wa dhati na kujituma basi mengine yoote ni ujinga mtupu.

let me tell you hata kama mke atakosea akamcheat mumewe ila kama mume akipima na kukuta mkewe ni mtiifu anayoheshima yenye utu na upendo wa kweli pia ni muwajibikaji lazima mume ataangalia second side as kwann mke wangu ameni cheat na kama sababu ipo basi atatafuta njia ya kuiondoa kabisa.

ukisema mtu alaze nyama kumani siku 7 kisha sijui uiweke kwenye msosi ale baba ni ujinga, ukisema uoshee maji ke kisha upikie ni ujinga ukisema umchukue finnyofinyo umtie dawa umpe baba ndipo unamuharibu kabisaaa na kumfanya awe poyoyo na mlemavu wa mguu wa 3.

nimeyashuhudia haya tena siku wakina mama hawa wanaugama inakuwa ni aibu manake unakuta baba yuko kama hayupo.
ushirikina kwenye mapenzi sio kitu kizuri kabisa.

Dada ikiwa ndugu yangu kawekewa hiyo limbwata ila yeye hajitambui,nitamsaidiaje hiyo limbwata iishe nguvu?
 
Usipomfanyia hayo Mpenzi/Mke wako, unatarajia nani amfanyie ? Unafahamu madhara yatakayokupata kama akifanyiwa hayo na mtu mwingine ? Kama kumfikiria Mpenzi wangu, kuijali familia, kutoka na Mpenzi/Mke wangu/Mume ni kulishwa limbwata, wacha tu nilihswe mimi.

Kama Limbwata lingekuwa sumu, ndugu zako wangekuwa wanamaliza matanga.
 
Hakuna libwata duniani nijuavyo mimi...LIMBWATA ni wewe mwenyewe.


Naskia mwanamke atakapochukua kitu chochote kama mkate, kipande cha nyama nk akakigaragarisha kwenye kkuma yake basi akikupa na ukala ndio umekwisha apo husikii tena lolote utakuwa hujiwezi tena kwa yule mwanamke
 
Naskia mwanamke atakapochukua kitu chochote kama mkate, kipande cha nyama nk akakigaragarisha kwenye kkuma yake basi akikupa na ukala ndio umekwisha apo husikii tena lolote utakuwa hujiwezi tena kwa yule mwanamke

Mbona siku hizi watu wanakula k zenyewe na vibuti kama kawa😐
 
Mzee mshana jr unayajua haya mambo?

Nataka unifundishe nmuwekee limbwata mke wangu
 
Last edited by a moderator:
Nadhani kuna watu wameingiwa na uzungu sana hata wanasahau mila za kwao, unadhani kwa nini ndoa za zamani zilikuwa zinadumu sana?mje mtutafute wataalam tuwafanyie limbwata. Kama kuna msichana narudia msichana haamini kama kuna limbwata ani PM anipe details zake halafu atakuja kuwahadithia wenzake wanao bisha.
Mi nataka
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom