Fahamu kuhusu Uchawi wa Mapenzi (Limbwata)

Jamani ndugu zanguni kuna ukweli wowote kuhusu limbwata coz kuna manjemba tunawashuhudia wababe kitaa ila wakifika kwa wake zao wanazechezea hadi vibao na hawasemi kitu
Libwata kwa upande wangu haina nafasi na wala siamini kama kuna kitu kama hicho,nnacho amini ni mapenzi ya kweli
uwe na mapenzi ya kweli msikivu mnyenyekevu uwe na imani na mwenzio,kua muwazi nini unapenda na mweleze mwenzio nini anapenda,jitume unapokua faragha na usafi ndio jambo la kwanza....
ukiyaweza hayo mwache aende anakotaka atarudi japo kimnya kimnya sababu sio wote watakua kama wewe...........
 
Hii makitu sijawahi hata kuiwazia kuifanya.........

ninavyompenda mpezi wangu then nikamuweke awe zoba NO WAY

Siku akichukuliwa na kuwekewa ndo utajua alafu we atakuwa anakutizama kama ajawahi kukuona.Ndoa nyingi zimevunjika baada ya wanaume kupewa limbwata na michepuko wengi waliopewa uwa wanakataa ata kama we unaona viashiria.

mfano si rahisi mwanaume afukuze mke na watoto ndani ya nyumba then amlete bi mdogo.na watoto wasipewe ata thumni hapo kweli ni mahaba kapewa hadi kasahau watoto.
 
Libwata kwa upande wangu haina nafasi na wala siamini kama kuna kitu kama hicho,nnacho amini ni mapenzi ya kweli
uwe na mapenzi ya kweli msikivu mnyenyekevu uwe na imani na mwenzio,kua muwazi nini unapenda na mweleze mwenzio nini anapenda,jitume unapokua faragha na usafi ndio jambo la kwanza....
ukiyaweza hayo mwache aende anakotaka atarudi japo kimnya kimnya sababu sio wote watakua kama wewe...........

jipe moyo ndugu.
 
siku akichukuliwa na kuwekewa ndo utajua alafu we atakuwa anakutizama kama ajawahi kukuona.ndoa nyingi zimevunjika baada ya wanaume kupewa limbwata na michepuko wengi waliopewa uwa wanakataa ata kama we unaona viashiria.

Mfano si rahisi mwanaume afukuze mke na watoto ndani ya nyumba then amlete bi mdogo.na watoto wasipewe ata thumni hapo kweli ni mahaba kapewa hadi kasahau watoto.

muda huo anachukuliwa mie niko wapi
 
Mh jamani nyama mbichi siku tatu si itaoza humo wadudu wakale mayai ya uzazi na UTI juu, kisa kumtuliza mtu mliekutania ukubwani

Ndio ujue wanaume tuna tabu sana,mama mwenye nyumba anakuundia kamati,house girl anakuwa, jirani yako Mjane anakutilea macho yaani vururu vururu
 
Back
Top Bottom