Ewe Mdada, kwa nini mpaka leo bado hujaolewa?

hhhhhhhaaaahha!!! sasa kama hamna aliyenificha utaning'oa mimi au?. nipo mpwapwa babu. karibu sana.
Kama hakuna aliyekuficha basi Mpwapwa hakuna wanaume, kuna vivulana. Mrembo kama wewe wanakuangalia tuuuuu.... Pumbaf zao na robo!
 
Back
Top Bottom