Ewe Mdada, kwa nini mpaka leo bado hujaolewa?

Sijaolewa kwasababu sijakuta na alie nipangia mungu. Nilisha wahi kuwa na mtu ambaye nilimpenda sana na alinipenda mpaka tukapata mtoto lakini alichonifanyia cna ham.
 
Ngoja nifuatilie labda ntampata mwenye uelekeo na wito huo.

Babu Asprin nisaidie kurecommend na mm niwe na Matesha wangu siku moja soon.
 
Last edited by a moderator:
Ngoja nifuatilie labda ntampata mwenye uelekeo na wito huo.

Babu Asprin nisaidie kurecommend na mm niwe na Matesha wangu siku moja soon.

Hahaha huyo ndo mdogo wangu Mentor, anataka kuibuka na kitu chake.
Nimeambiawa mchumba wako Mwarabu.
Hongera.
 
Last edited by a moderator:
wew madame B kama huwa unaumia ukiwaona wa2 na ring vdolen kwann unasubr waolewe wadogo zako,olewa ww kwanza c ndio mkubwa.
 
.... msichana kama umefikia 20-25 yrs bado hujaolewa jua HILO MANUNGA YEMBE LINAHANGAIKA...


Kuna mdau aliwauliza wanaume kwa nini mpaka leo hawajaoa?

Nami naja kuwauliza wadada na wanawake, kwa umri huo uliokuwa nao kwa nini mpaka leo hii bado hujaolewa?

Mie Madame B sijaolewa mpaka leo kwa sababu nilijiapiza sitaolewa mpaka wadogo zangu wawili waolewe kwanza.
CC: amu, Paloma na Mtambuzi
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom