Ewe Mdada, kwa nini mpaka leo bado hujaolewa?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Madame B, Jun 23, 2013.

 1. Madame B

  Madame B JF-Expert Member

  #1
  Jun 23, 2013
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 21,512
  Likes Received: 267
  Trophy Points: 83
  Kuna mdau aliwauliza wanaume kwa nini mpaka leo hawajaoa?

  Nami naja kuwauliza wadada na wanawake, kwa umri huo uliokuwa nao kwa nini mpaka leo hii bado hujaolewa?

  Mie Madame B sijaolewa mpaka leo kwa sababu nilijiapiza sitaolewa mpaka wadogo zangu wawili waolewe kwanza.
  CC: amu, Paloma na Mtambuzi
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 2. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne JF Platinum Member

  #2
  Jun 23, 2013
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,469
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 0
  Madame B................ kwani kuolewa kuna faida gani ambazo zitamhamasisha ambaye hajaolewa awe huru kukueleza kwa nini hajaolewa mpaka sasa?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 3. Madame B

  Madame B JF-Expert Member

  #3
  Jun 23, 2013
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 21,512
  Likes Received: 267
  Trophy Points: 83
  My dear MwanajamiiOne, huu msemo wa "Unazeeka na Utamu wako" huwa unaniuma sana hasa nikutanapo na wenye ring zao vidoleni.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 4. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #4
  Jun 23, 2013
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,168
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 48
  Kuolewa ni nini?

  Na, je mtu anaolewa sababu anaolewa au anaolewa sababu kapata right partner?
   
 5. Madame B

  Madame B JF-Expert Member

  #5
  Jun 23, 2013
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 21,512
  Likes Received: 267
  Trophy Points: 83
  Mjukuu mwenzangu Kongosho, hv unajua unaweza kukutana na wanaume ambao wanakutoa thamani eti kisa hujaolewa?
  Kuolewa si sheria, bali humletea heshima mwanamke kwa kum-define tabia yake ya ujumla...lol!
  Msome MwanajamiiOne hapo above.
  Hata babu yetu mkali Dark City analitambua hilo na ndio maana kanunua bunduki ya kutulinda.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 6. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #6
  Jun 23, 2013
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,168
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 48
  Ha ha ha, ukijali watu mjukuu mwenzangu utakufa

  Ila nimekupata

   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 7. Jangakuu

  Jangakuu JF-Expert Member

  #7
  Jun 23, 2013
  Joined: Apr 24, 2012
  Messages: 497
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
   
 8. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #8
  Jun 23, 2013
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 39,168
  Likes Received: 406
  Trophy Points: 83
  Swali lilikuwa short and clear...... Na mtoa mada kafundisha namna ya kujibu....

  Sasa angalia mitanzania inavyojibu sasa..... Khaaa!!


  Nyie mademu, jibuni swali siyo mnaulizauliza.

  Ndo mjue nimekasirika leo.
   
 9. amu

  amu JF-Expert Member

  #9
  Jun 23, 2013
  Joined: Aug 8, 2012
  Messages: 7,925
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 48
  he he mpenzi mie nitaolewa bomani mke wa pili.
  Lakini dada Madame B kitchen c mtanifanyia?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 10. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #10
  Jun 23, 2013
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 39,168
  Likes Received: 406
  Trophy Points: 83
  Khaaaaaaaaaaaaaa!!!
   
 11. Lady doctor

  Lady doctor JF-Expert Member

  #11
  Jun 23, 2013
  Joined: Apr 13, 2013
  Messages: 8,768
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  kama umekasirika nenda kalale tu babu yangu, usije ukatoka mvi za down buree
   
 12. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #12
  Jun 23, 2013
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,304
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 48
  waoaji majanga matupu...
   
 13. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #13
  Jun 23, 2013
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 39,168
  Likes Received: 406
  Trophy Points: 83
  Jibu swali, kwanini hujaolewa??
   
 14. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #14
  Jun 23, 2013
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 39,168
  Likes Received: 406
  Trophy Points: 83
  Thats my girl. Afu unajua nimekumisije?
   
 15. Mtoto halali na hela

  Mtoto halali na hela JF-Expert Member

  #15
  Jun 23, 2013
  Joined: Aug 10, 2012
  Messages: 12,827
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 48
  hivi nazo kumbe huwa zinakuwa na mvi?
   
 16. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #16
  Jun 23, 2013
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,304
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 48
  babu unanitenga mjukuu wako! au vile nimekataa kukaguliwa???!! lol. miss u too my babu.
   
 17. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #17
  Jun 23, 2013
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 39,168
  Likes Received: 406
  Trophy Points: 83
  Sijakutenga mjukuu wangu......... Huyo aliyekuficha mwambie nikimwona namng'oa meno kwa bisibisi....Shenzy zake na robo!!

  Hivi bado uko Mpwapwa au umesogeasogea kidogo?
   
 18. Lady doctor

  Lady doctor JF-Expert Member

  #18
  Jun 23, 2013
  Joined: Apr 13, 2013
  Messages: 8,768
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  nimeolewa!!!!!!!!
   
 19. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #19
  Jun 23, 2013
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,304
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 48
  hhhhhhhaaaahha!!! sasa kama hamna aliyenificha utaning'oa mimi au?. nipo mpwapwa babu. karibu sana.
   
 20. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #20
  Jun 23, 2013
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 39,168
  Likes Received: 406
  Trophy Points: 83
  Sasa kama umeolewa unafanya gani hapa?

  Hii ni thread ya ambao hawajaolewa. Wengine tuko kimaslahi zaidi.... Nyumba ndogo zinahuuu...

  Haya tambaa zako, mke wa mtu sumu.
   

Share This Page