Ewe Mdada, kwa nini mpaka leo bado hujaolewa?

mimi sijaolewa sababu sioni kuolewa as a milestone.
Ni sawa na kuniuliza kwanini sijawahi kufika australia.
Nikijiskia kwenda nita-assess wakati huo. inaweza isifike pia.
Kwa sasa nipo hapa, na naenda burundi na rwanda.
Sina shughuli Australia kwa sasa. It's just the same for ndoa.
Sijapanga vya ndoa sababu sina interest na vya ndoa so far,
la ikifika nikijiskia nita assess. Na isipo fika ndio basi tena.
 
Inaumaaaaaaaa mpaka leo sijaolewa na sina hata dalili, nimetafuta mume weeeeeeee hadi leo hii sijapata umri umeenda sijajua tatizo nini nimeshajiuliza labda mie mbaya au sina mvuto au nina sura mbaya sana au nina shepu mbaya sana? labda unisaidie wewe mtoa mada mbona mie siolewi?
 
ndoa ni mipango huwezi tu kuamua kuolewa kwa sababu umefikia umri fulan au agemate wako wameolewa

kila mtu anamalengo yake kwenye maisha so hatuwezi kufanana mbona mwanaume utackia akisema najipanga kwanza kimaisha ndo niowe hata wanawake ni vivyo hivyo

pili sioni kama kuolewa ni lazima kwanza nikujiongezea majukumu nakujinyima uhuru unaolewa na mwanaume hana muda wakuwa na familia, upendo wake kauelekeza kwenye mpira, anamuda wakukaa na marafiki kuliko mke,wanawake kwenye ndoa wanajivunia pete vidolen na muda waliopo kwenye hizo ndoa wachache sana wanaishi kwa upendo na aman

jaman hapana kwenye ndoa kuna mengh ngoja niule ujana nitatafuta zee lakupumzikia huko baadae sana
 
usije na sred hapa kesho ukibubujikwa machozi ,eti kwann siolewi,tutakuquote haya maneno
 
ndoa ni mipango huwezi tu kuamua kuolewa kwa sababu umefikia umri fulan au agemate wako wameolewa

kila mtu anamalengo yake kwenye maisha so hatuwezi kufanana mbona mwanaume utackia akisema najipanga kwanza kimaisha ndo niowe hata wanawake ni vivyo hivyo

pili sioni kama kuolewa ni lazima kwanza nikujiongezea majukumu nakujinyima uhuru unaolewa na mwanaume hana muda wakuwa na familia, upendo wake kauelekeza kwenye mpira, anamuda wakukaa na marafiki kuliko mke,wanawake kwenye ndoa wanajivunia pete vidolen na muda waliopo kwenye hizo ndoa wachache sana wanaishi kwa upendo na aman

jaman hapana kwenye ndoa kuna mengh ngoja niule ujana nitatafuta zee lakupumzikia huko baadae sana

Makubwa!
 
Maneno ya mkosaji hayo usidanganye wenzako,,usikute jua limeshazama tayari 30+
 
Inaumaaaaaaaa mpaka leo sijaolewa na sina hata dalili, nimetafuta mume weeeeeeee hadi leo hii sijapata umri umeenda sijajua tatizo nini nimeshajiuliza labda mie mbaya au sina mvuto au nina sura mbaya sana au nina shepu mbaya sana? labda unisaidie wewe mtoa mada mbona mie siolewi?

Yawezekana imeshakuwa used kwelikweli kama yangu thats why wananikimbia baada ya kuonjana.
 
usiolewe kwa sababu rafiki zako wote wameolewa,Usiolewe kwa sababu classmates zako wote wameolewa na wana watoto,usiolewe kwa sababu umemaliza chuo,unaishi mwenyewe na una kazi nzuri,Usiolewe sababu kila mtu kanisani anakuuliza pilau tutakula lini,Usiolewe sababu wazazi wanaka kumuona mkwe na wajukuu,Usiolewe sababu wazai na wewe mmechoka kuchanga sasa mnataka kuchanbgiwa,usiolewe ili uonekane umeolewa,Usiolewe kwa sababu umepata ujauzito,Usiolewe sababu unaogopa kuzeeka ukiwa mwenyewe,Usiolewe kwa sababu unaona umri unakwenda.........Ndoa sio jumuiaNdoa sio destination,Ndoa sio social status,Ndoa sio watoto,Ndoa sio kuondoa nuksi,.....................Olewa kwa sababu ni wakati wa mungu wewe kuolewa umempata mtu sahihiu,mnayependana kwa dhati umeridhia kutoka moyoni bila kuwa influenced na kitu chochote.....................Ni bora uendelee kuishi mwenyewe kuliko kuingia kwenye ndoa ya majuto mgonjee bwana na hakika hatakuacha wala hajakusahau......................wadada mmenipata vizuri
 
Nimekusoma kaka...........
 
ALL kwa Majibu yenu, kwani kwa kiasi kikubwa mmenifanya nifurahi na kupata ujuzi mpyaaaaaaaaaaaaaa.
 
Back
Top Bottom