Ewe Mdada, kwa nini mpaka leo bado hujaolewa?

Duuuuhhhh,

pole sana mjukuu wangu. I can feel your pains. Kwani ukijiuliza wenye rings wanakuzidi nini unaishia kupata kizungu zungu!

Babu DC!

Tena ukute hao wenye ring mimi hawajanizidi chochote, basi tu kimuhemuhe na kisebusebu changu.
Haya babu mkali Dark City nimekuelewa.
 
Last edited by a moderator:
mi napenda ile twist inayosema musichana muzuri kama wewe,kitu gani kinakufanya usiolewe
 
Kuna mdau aliwauliza wanaume kwa nini mpaka leo hawajaoa?

Nami naja kuwauliza wadada na wanawake, kwa umri huo uliokuwa nao kwa nini mpaka leo hii bado hujaolewa?

Mie Madame B sijaolewa mpaka leo kwa sababu nilijiapiza sitaolewa mpaka wadogo zangu wawili waolewe kwanza.
CC: amu, Paloma na Mtambuzi
Swali lako zuri. Hatujaolewa kwa sababu zifuatazo
Kujiendeleza kielimu unakuja shangaa muda umepita umekuacha hapo na degree zako
Kujiamini kupita kiasi hali ambayo inawafanya wanaume kuogopa kuwa na mahusiano nawe
Migration- moving from one place to another kunachangia kupoteza watu ambao unawafahamu au wanakufahamu kwa karibu zaidi.
Wanaume wamekuwa wachache kulinganisha na wanawake
Ni hayo tu kwa sasa nitaongezea baadae.......
 
Kuchagua sana pia,eti huyu cio hb,hana hela,then anashangaa anagonga 30+ bado
 
Asante Babu, ila mie kutwaa niko kwenye Ma-bar napoteza mawazo nikitoka hapo narudi home,nitakutana nao mda gani?

Daaaaaaaaaaaaaaahhhhhhhhhhhhhhhhhhhh,

Umenianzishia juma kiaina...lol!

Endapo huna muda wa kukutana nao, basi nao hawatakuwa na muda...ngoma droo.

Ila sasa utalalamika kuwa umekosa mume kweli wataji jitahada zako za kumtafuta ni zero?

Kila la heri,

Babu DC!!
 
mwanamke yoyote anapata heshima kwA asilimia kubwa akiolewa hamulijui dada zng au ndio munapenda muwe wa matumizi ya hit & run
 
Juzi juzi hapa ulikua na uzi wa kuomba msamaha kuwa yule mpenzi kakataliwa kwenu kutokana na dini yake!
Jana umekuja na uzi kuwa umejiapiza kuwa hutaolewa hadi wadogo zako waolewe!

Tuelewe kipi? usahaulifu, makusudi, ama kujifariji?

Kwa msingi wa kuchangia mada tuchukulie kwamba ulilosema jana ndio ukweli, nani kakwambia wataolewa? na je, wasipoolewa? Plan yako ni ipi wao wasipoolewa? Na utajuaje kuwa hawataolewa ili na wewe uendelee na plan yako hiyo mbadala?
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom