Ephraim Kibonde Jahazi Show

Ndiyo aliyebuni kipindi cha "Birthday ya JK". Watu wakashiriki (na JK mweyewe kwa kupenda mambo ya hovyohovyo alishiriki) kupiga simu.

Kibonde ni chizi
ni kweli JK alipiga simu? basi tumeishi miaka mitano bila rais
 
upuuzi mnaoongeaga hakuna mtu anapenda.....hana akili kichwani....au anavyosambaza ngoma makusudi mitaani anadhani hatumuoni...ni antivirus.

Kama uvumi huu ni wa kweli, basi ushahidi uwekwe wazi zaidi ili kuwatahadharisha watu wengi asiwasambazie.

Kumbuka, "It can be done, play your part" (Mwl Nyerere, 1969).
 
I must say his rendition of "You picked a good time Fine time to leave me Lucille" was an embarassing guilty pleasure

na JT akimsikia alivyomuigiza ......anaweza akapata 'hattetek', na hapo bado hajaujua ujumbe wenyewe!

 
Last edited by a moderator:
mimi niliishaacha kusikiliza clouds kwa sababu ya upumbavu wa kibonde................anawapotosha watz..........natamani nionane naye nimtwange risasi
 
huyu bogas,huwa hajielewi na huwa napata wasiwasi sana na upeo wa akili za huyu jamaa,mara nyingine huwa nafikiria kwamba labda akachekiwe milembe
 
Jamaa ana kipaji kubalini au kataeni. Hata mie hapo awari nlikuwa siifagilii sana radio clouds fm, nlikuwa siwaelewi, lakini sasa napenda kuwasikiiza na hasa vipindi vyao vya power breakfast, leo tena na jahazi. Ni vipindi vizuri ila inategemea wee ni mtu wa aina gani. Mengi ya mambo yanayoongelewa katika vipindi ni mambo yanayotokea katika jamii inayotuzunguka. Nmezisikiliza hizo nyimbo alizoimba kibonde mie kwa mtazamo wangu naona ni za kawaida. Ni kweli kabisa katika jamii yetu wapo wanaume waliojigeuza wanawake na kuingiliwa kinyume na maumbile. Na pia wapo kinadada waliojaliwa kuwa na makalio makubwa wakipita njiani huyatingisha kwa makusudi, lengo la wao kufanya hivyo wanalijua wenyewe.
Unanikumbusha miaka ile ya mwishoni 1980/mwanzoni 1990 serikari ilipopiga marufuku wimbo wa dokta remy ongara uliokuwa ukiitwa mambo kwa soksi. Katika wimbo huo dokta remy alikuwa akiwaasa watanzania wasifanye ngono zembe, watumie kondom (soksi). Serikali ikaupiga marufuku wimbo huo ikidai kuwa unakwenda kinyume na maadiri yetu watanzani. Cha kushangaza leo hii wananchi wazee kwa vijana tumekuwa tukipatiwa kondom (soksi).
Nawapa BIG UP enyi clouds fm, endeleeni kutupa burudani na habari.

:welcome:
 
Aisee jana nilisema hebu niwasikilize Clouds Supa branded FM radio wakati natoka ofisini japo huwa sio kawaida yangu kusikiliza hii radio na nikakuta na Kibonde akiwa hewani anaimba hizi nyimbo mbili.... Sikiliza mwenyewe hivi kweli hii radio lengo lao hasa ni kuburudisha au kupotosha WaTZ hasa vijana maana wengi wao wanaisikiliza sana??

View attachment 14565

View attachment 14564

My take:
Many "sensible people" especially in Dar listens to this radio in the morning and evening on their way to and from work respectively. Sasa kama ujumbe wewenye ndio hivi nashindwa hata kuelewa tunaelekea wapi achilia mbali the most common listerners kwenye saluni za kike na kiume, house girls, taxi drivers etc..


mi nilipelekakwa fundi redio anitolee hii idhaa ni kichefu chefu ukimskiliza huyo kibonde ukiwa na mtoto laana tupu..nadhani kinachofanyika clouds ni picha gani ya viongozi wao walivyo..kama muda wote wanatukana wanawakebehi watu waanatajataja ovyo majina ya mabibizao waliolala nao weekend na wanakaa kimya ujue na uongozi ndivyo ulivyo sio kosa lao kosa la mkureegenzi wa clouds kuendekeza upuuzi
 
nilishawahi kuomba CV yake na upeo wake ikafutwa gafla na kuandikiwa naatarisha amani
loh
 
That is right Tanzactive, mtu yeyote anayejua afya yake hawezi kuongea ujinga juu ya matatizo ya watu wengine, ukiambiwa uthibitishe kuwa ameathirika utaweza, hebu acheni hizo ndugu zangu.. huwezi kujua nawe utaishia wapi
 
Aah jamani munamuonea tu Kibonde kwani ana tatizo gani? Sisi huku kikianza kipindi cha Jahazi cha Clouds Fm, tunatune 87.8 Mghz fm.
Katika watangazaji wanaonifurahisha zaidi Clouds Fm wa Kwanza ni Kibonde pengine bila huyu nisingesikiliza kipindi cha Jahazi
 
Back
Top Bottom