Ephraim Kibonde Jahazi Show

Ephraim Kibonde ndiyo nani?

Amandla.........

Ephraeim kibonde ni Mtanzania aliyelewa ka-ukaribu alikofanikiwa kukajenga baina yake na baadhi ya wanafamilia wa ikulu. pia huyu jamaa ni kada wa ccm ambae amekosa upeo wa kujua kutenganisha baina ya mapenzi yake kwa chama na mapenzi yake kwa taifa lake.
 
That's where we differ, Kibonde amefanya tutamani kusikiliza kile kipindi

He is good

if he is good na kile anchokiongea ndicho anachokiamini, basi aruhusu watu wawe wanapiga simu na ku-challenge mawazo yake, au awe anakaribisha wageni wataokuwa a opposing views, vinginevyo atakuwa anafanya propaganda tu!
 
Yule jamaa wa kwenye screen aliposoma kwenye gazeti kuwa maaskari wamemwagwa kwa wingi zanzibar sehemu nyeti, yeye Kibonde akaashiria kuwa wamemwagwa kwenye........... ,(Nimeshindwa kuandika neno lenyewe nisije fungiwa na mod),

Yule jamaa akaendelea kusoma gazeti lingine, akasoma kuwa mgombea alikuwa makunduchi, yeye (Kibonde) akaashiria vingine na kusema kuwa kwao yapo mengi ila kwetu lipo moja linaitwa kunduchi. (Alichomaanisha siwezi kukiandika hapa.)

Ndio maana nimeuliza hiki kipindi kina maadili?
🤣😂😂😂 Apumzike tu kwa amani
 
Jamaa kaingia studio tu mida kama ya saa kumi na nusu, kitu cha kwanza kusema eti " nilikuwa nasoma mtandao wa jamii forums sa-sa hivi kabla sijaingia hapa"....unafanya mchezo na vichwa vya JF
enzi hizo JF haijavamiwa na vijana wa hovyo, ukiikosa hewani unatamani iwe ndoto
 
Back
Top Bottom