Ephraim Kibonde Jahazi Show

Kweli wana roho ngumu nadhani wanaipenda Pia cause kila siku wanasema kibonde kibonde lakini hawaachi kumsikiliza :smow:
hata mimi nawashangaa hawa walumendago.
nilishaacha kusikiliza redio klaaaaauz! long ago. Majambazi wa kazi za wasanii eti wanawasaidia. Kisha JK kawekeza milion 50 hapo.
wizi mtupu
 
The Super Clouds FM, inatisha na itaendelea kutisha, mnaiponda lakini mnaisikiliza, mnataka kufa wakati kuzimia hamuwezi...
 
hizo dkk walizotumia kuimba huu upupu siwangezitumia kuliombea Taifa.anyway,i think the dude was trying to be funy.
 
kwani mnasikiliza radio ya waathirika??


Jamani naomba tuwe tunatafakari kwanza kabla ya kuandika.Tujaribu ku-control emotions zetu na sio emotions zitu-control sisi. Ingekuwa vyema zaidi kujadili mada kuliko kuhusisha mada na personal affairs za mtu/watu (hata kama unachokiandika una uhakika nacho).Let's be assertive as it is among other things, a quality of a gentleman.
 
Jamani naomba tuwe tunatafakari kwanza kabla ya kuandika.Tujaribu ku-control emotions zetu na sio emotions zitu-control sisi. Ingekuwa vyema zaidi kujadili mada kuliko kuhusisha mada na personal affairs za mtu/watu (hata kama unachokiandika una uhakika nacho).Let's be assertive as it is among other things, a quality of a gentleman.
Hapo umenena mkuu sio lugha nzuri hii atii
 
teh teh kuwa mtangazi bila kuwa na taaluma husika ni ishu,NAHISI robo tatu ya watangazaji clouds FM ni form six leavers ambao wanapewa nafas ya utangazajii kwa kujuana, matokeo yAke ndo haya, mtangazaji anazidisha humor, manake anatAngaza dk 5, na dakika 25 ZA KIPINDI zilizobaki ni pumba TUPU na matangazo kama haya. duh tz tunapitiliza, bt ignorance is blissful.:tonguez:
 
Program manager wa clouds yuko usingizini tena mzito!
Ni mtu makini sana Seba maganga......
.....huyo hakuwa kibonde bana.....kama mnakumbuka zamani kabla ya kuanza jahazi kulikuwa na kipindi kinaitwa traffic jams na aliekuwa anakuja alikuwa huyo jamaa akiwageeza dr wa kihindi,na mchina......baadae ndio ikahamishwa jahazi from mornin mpaka jioni...

...so huyo sio kiboo kibondee......BTW huyu mtu hana tija kwa maslahi ya taifa...
 
Hayo matusi yote ni kwa kuimba tu au mnatatizo lingine.tatizo binafsi la mtu mmoja lisilazimishe wote tuwe na mtazamo kama wako/wenu.mtu anaamua/anatenda kulingana na anavyoona inafaa regardless unakereka au unafurahi, ni kama nyinyi mliochangia huo ujinga wenu.mimi nilifikiri labda kuna problem nyingine kumbe ni hivyo tu.
 
Huyu jamaa bogus tangu zamani, watu wa Upanga wanamjua tangu anaimbisha mchakamchaka Muhimbili hata hawawezi kushangaa kitu. Wasiomjua tu ndio wanaoweza kushangaa.

Lakini katika kila jamii kuna watu wanafurahia ukaragosi huu.

Halafu kesho mtangazaji katuni huyu huyu anataka kuwaambia watu jinsi ya kupiga kura.

I must say his rendition of "You picked a good time Fine time to leave me Lucille" was an embarassing guilty pleasure

http://www.youtube.com/watch?v=1GVr1l7Xbko




Kiaranga nimekumiss sijakuona siku sasa.

Jana ndo kaniua jioni alikuwa nafagilia jinsi watu wa Arusha walivyomuita kufanya u-MC na kumpangishia kwenye hoteli ya USD 250!!! Alisema mpaka nikabadili station. Ni kilaza sana huyu jamaa!!!
 
Last edited by a moderator:
Kuna wakati naogopa kufikiri nini madhara ya kudharau universal laws! Kibonde amejisahau. Anaamini anajua sana! Kama msikilizaji na mtazamaji siwezi kufanya lolote ispokuwa kumuangalia tu na kumtakia mema. Ila kila kitu kina mwisho wake. Sometime I agree with Stephen Covey about beggining with the end in mind.
 
Hayo matusi yote ni kwa kuimba tu au mnatatizo lingine.tatizo binafsi la mtu mmoja lisilazimishe wote tuwe na mtazamo kama wako/wenu.mtu anaamua/anatenda kulingana na anavyoona inafaa regardless unakereka au unafurahi, ni kama nyinyi mliochangia huo ujinga wenu.mimi nilifikiri labda kuna problem nyingine kumbe ni hivyo tu.

Kweli kabisa waambie,
Pia ikumbukwe kuwa kila radio au kituo cha radio au tv kina sera zake. Mfano:-
Radio za dini: Huwezi kukuta wanapiga miziki ya bongo fleva, bolingo n.k.

Radio Cluouds FM ni Radio ya Jamii ndio maana utakuta inahusika sana na mambo ya jamii kwa mfano kipindi cha LEO TENA kipengele cha hekaheka mitaani, hapo utakuta inadili zaidi na mambo ya watu mitaani.

Kwahiyo hata huyo Kibonde mnayempiga vita anatangaza na kufurahisha na kutoa mifano kadri ya tukio au habari ilivyo. Mimi binafsi sioni tatizo kwa Kibonde.
 
Leo mada kubwa itakuwa hii issue maana jamaa ana bifu na JF sana tu

Hta jana aliwapa salaam aleik kimtindo, alsema salaam aleikum wale jamaa ambao wanapenda (akawa anakuwa kama anatype kwenye key board) nikajisemea hili dongo la jf hili. na leo lazima atasema.
 
Wadau, huyo sio Kibonde. Ni doctor fulani hivi (bahati mbaya nimemsahau jina) alialikwa kwenye kipindi cha jahazi baada ya clouds kuitwa super brand. Alikuwa akifanya kazi na clouds kipindi cha nyuma.
 
Back
Top Bottom