Lucchese DeCavalcante
JF-Expert Member
- Jan 10, 2009
- 5,471
- 734
Wazee wa jahazi kazini.....
mmmh mm nimeangalia jana sijakielewa,kama wanasoma habari tofauti tofauti hiviii,au wanajadili mambo!maybe nilikuwa na haraka zngu sikuelewa
mmmh mm nimeangalia jana sijakielewa,kama wanasoma habari tofauti tofauti hiviii,au wanajadili mambo!maybe nilikuwa na haraka zngu sikuelewa
You are absolutely right sijaelewa maana ya kipindi zaidi ya Kibonde kutoa macho tu na kufanya vituko ambavyo havieleweki sijajua kipindi kinalenga nini au kama ni cha kuchekesha sijui kiufupi sijaelewa kabisa
Kuwa na maana kwa mtu mmoja, .....not necessarily kiwe na maana kwa mtu mwingine.............Vinginevyo kila mtu akisema apange vipindi kwa namna anavyoona yeye, basi hakuna kipindi kitakachoonyeshwa popote............. Fikiri home kwenu...........Kama hakina maana yoyote ni kwa nini mamlaka husika zisikifutilie mbari?
you are assolutely right .... mimi nilikuwa nimekaa na wadogo zangu *Si wadogo kiviiile but kiumri nimewapita sana) nilijikuta nimehamia chumbani huku mwanangu wa miaka miwili na nusu anayejifunza kusema ananifuata nyuma akiimba machuduchi machuduchi.Yule jamaa wa kwenye screen aliposoma kwenye gazeti kuwa maaskari wamemwagwa kwa wingi zanzibar sehemu nyeti, yeye Kibonde akaashiria kuwa wamemwagwa kwenye........... ,(Nimeshindwa kuandika neno lenyewe nisije fungiwa na mod),
Yule jamaa akaendelea kusoma gazeti lingine, akasoma kuwa mgombea alikuwa makunduchi, yeye (Kibonde) akaashiria vingine na kusema kuwa kwao yapo mengi ila kwetu lipo moja linaitwa kunduchi. (Alichomaanisha siwezi kukiandika hapa.)
Ndio maana nimeuliza hiki kipindi kina maadili?
hahahahaaa@! hahahahaa! ngoja niitoke huku kwa mkoloni, naona nacheka peke yangu ofisi nzima inaitika kwa mwangwi!!!you are assolutely right .... mimi nilikuwa nimekaa na wadogo zangu *Si wadogo kiviiile but kiumri nimewapita sana) nilijikuta nimehamia chumbani huku mwanangu wa miaka miwili na nusu anayejifunza kusema ananifuata nyuma akiimba machuduchi machuduchi.
Kama ni cha uchekeshaji basi nawashauri wawe wanaangalia na maneno wayatumiayo otherwise kihamishiwe usiku mwingi
Yule jamaa wa kwenye screen aliposoma kwenye gazeti kuwa maaskari wamemwagwa kwa wingi zanzibar sehemu nyeti, yeye Kibonde akaashiria kuwa wamemwagwa kwenye........... ,(Nimeshindwa kuandika neno lenyewe nisije fungiwa na mod),
Yule jamaa akaendelea kusoma gazeti lingine, akasoma kuwa mgombea alikuwa makunduchi, yeye (Kibonde) akaashiria vingine na kusema kuwa kwao yapo mengi ila kwetu lipo moja linaitwa kunduchi. (Alichomaanisha siwezi kukiandika hapa.)
Ndio maana nimeuliza hiki kipindi kina maadili?
huyu kibonde hajui ka dental formula hailipi,,lakini kujiweka front page haoni haya.
you are absolutely right sijaelewa maana ya kipindi zaidi ya kibonde kutoa macho tu na kufanya vituko ambavyo havieleweki sijajua kipindi kinalenga nini au kama ni cha kuchekesha sijui kiufupi sijaelewa kabisa