nawashangaa sana watanzania vyuo ambavyo wanafelisha wanafunzi kwa makusudi e.g Mzumbe,Sua,UDSM,muhimbili ndiyo vinaonekana vinafundisha,ila vyuo ambavyo wanafunzi wanafaulu vinaonekana vya vilaza,kunalecuter mmoja raia wa marekani alikuwa anafundisha UDSM somo lake wanafunzi walikuwa nanafaulu sana,baadhi ya malecturer wakawa wanakasirika jamaa hajui kufundisha,
Unaposema madesa una maana gani?
watu wanadesa,then their gpa get INFLATED.wakiitwa kwenye interview unaweza toa machozi.hawajui hata walichokiandika kwenye cv zao.ukiwaleta kwenye practical MUNGU WANGU!UTAMSLAP MTOTO WA MTU kwa kuabuse professional
kuna chuo X kina ma lecturers,sijui ndo ma TA madem KIBAO!haki ya mungu wale madada wanamagpa ya kufa mtu KWA KUDESA,na hizo honda wanakoziweka UNAWEZA MUOMBA MUNGU AKUONDOE DUNIANI.
sasa wakiwa madarasani wanafundisha,utadhani MWANASIASA anapoisoma hotuba kwa wadanganyika waliompa KULA
..............mwalimu anapewa somo la DESIGN OF STRUCTURES,halafu hesabu KUSHOTO.washkaji kibao waliacha kozi.
Si kla king'aacho ni dhahabu. Kwa hiyo Kufeli sio alama ya kuwa chuo kizuri. Hebu nenda ulaya mzungu huona fahari denti akifaulu wakati bongo denti akifaulu sana ati jamaa linachukiaNimekuwa na ukaribu na baadhi ya graduates wa fani ya uhandisi kutokana na kwamba either nimefanya nao kazi au nimewahi kuwa class-mate wao katika level mojawapo from secondary to university. Kati yao, wengi wamegraduate either CoET (UDSM), DIT au St. Joseph's College of Engineering. Wapo wachache pia wa SUA (NB kuna Engineering pia pale). Katika vyuo hivyo, nimegundua hawa wa St. Joseph's waliograduate juzi kati hapo kwa mara ya kwanza tangu kianzishwe (esp waliosoma 4 yrs), wamekuwa na GPA kubwa kubwa sana. Wengi darasani wamepata GPA za 4 point something zinazofikia hadi 4.8 , huku vyuo vingine vya Uhandisi graduates wake wakipigana hasa utakuta 'mkali' darasani anapata GPA ya 4.2 au around that, wengine wakiishia lower second. Lakini pia tusisahau kwamba baadhi ya walimu wa Uhandisi UDSM na DIT ndo hao hao wanaoenda kufundisha St. Joseph's as part time lectures. Nimeleta thread ili tubadilishane mbinu ili graduates vyuo vingine nao wafaulu sana.
4 wat i thnk instead of arguing who is having higher GPA,we can argue on somethng else.why havng dought on higher GPA? Why not lower? The fact is you in university to become a good engineer,then with ur 2.8 even ur applications wont be accepted bse pple in office(bare in mind they study what we call soft courses and graduate wth A's). We should perform good in class and at the same time upgrade n updating our brains so as to be not only engineer but also a good engineer.i thnk the title should be ENGINEERS FROM ....X...WITH LOW GPA
Ni mtazamo tu aight
GPA kubwa ina maana kwa sehemu, kama ningepata GPA ndogo sana wakati niko SUA, ingekuwa vigumu kupata Scholarship,lakini pia kabla ya kupata scholarship nilipimwa katika vigezo vingi(nilikuwa na GPA3.7/5). Kuna watu hawawezi kujieleza vizuri, lakini ukimpa kazi, atafanya kwa bidii na kwa ukamilifu(Tunahitaji kipimo kizuri cha kuwapima watu kama hawa ili tusiwapoteze). Nafanya master program hapa Zurich, mimi naona ma-profesor wanajali sana bidii ya mtu, ingawa hata yule ambae uwezo wake uko chini kidogo, bado anapata grade itakayoweza msaidia asonge mbele. Nimeona watu wakipata 6/6. Wanafunzi wa masters wa mwaka jana wa chini kabisa amepata 5/6. Mara nyingi ubunifu na uzoefu tunaupata kazini. Narudia GPA kubwa ina maana hasa katika utafutaji wa scholarship na katika baadhi ya ajira(kufundisha vyuo vikuu), lakini kuna baadhi ya kazi utapimwa practically, na GPA haitaangaliwa.
Ni mtazamo tu.
asante.
One had to cram all this stuff into one's mind for the examinations, whether one liked it or not. This coercion had such a deterring effect on me that, after I had passed the final examination, I found the consideration of any scientific problems distasteful to me for an entire year.
Not everything that counts can be counted, and not everything that can be counted counts.
The only thing that interferes with my learning is my education.