Engineers wa St. Joseph College na GPA kubwa kubwa

nawashangaa sana watanzania vyuo ambavyo wanafelisha wanafunzi kwa makusudi e.g Mzumbe,Sua,UDSM,muhimbili ndiyo vinaonekana vinafundisha,ila vyuo ambavyo wanafunzi wanafaulu vinaonekana vya vilaza,kunalecuter mmoja raia wa marekani alikuwa anafundisha UDSM somo lake wanafunzi walikuwa nanafaulu sana,baadhi ya malecturer wakawa wanakasirika jamaa hajui kufundisha,
 
Waambie, nimewapa mfano wa kitivo cha sheria mpaka mama wa watu akaamua kuacha kufundisha hapo ajili ya huo UJINGA.

AU KUFELI NDIYO KUELEWA SOMO? YAANI MNAJISIFIA KUFELI KWA WATU AMMA KUPATA PASI KIDOGO. HAKIKA TUNAELEKEA KWENYE KIZAZI CHA UJUHA WA KIFIKRA.
 
Huko vyuo vingine kukamatana kwiiingi na hii huadhiri sana GPA. Usionekane unamfatilia msichana mzuri, utakamatwa. Nafikiri hawa waelimishaji wana matatizo ndo maana kusoma kwao hakuisaidii kabisa nchi hii. Madaraja yatajengwa na wajapani, uchumi watshauriwa na world bank, afya watasaidiwa na WHO etc. Wamesoma ila application ndo inkuwa tabu saaana. Kinachowezekana ni kuiba fedha. By default naambiwa potentially kila mtu ni mwizi lakini hii si genetical sasa. Hii hawajasomea iko kwenye damu why waibe ikiwa wamesoma? Ni wajinga na huu ndio ujinga ambao Mwalimu alisema tuuufute UJINGA. But is n't easy task hata kwa maprofesa.
 
Unaposema madesa una maana gani?

yaani hujui madesa ni nini?, duuh
okey labda nikupe lekcha, madesa ni mambo ya:
=kupiga chabo
=kula mlungula
=kula deo
=kuibia
=yaani unaingia na kijikaratasi kwenye mtihani au test
=kuigilizia kwa mwenzako
etc
upo hapo?, so UDSM kwa madesa ni noma!
 
watu wanadesa,then their gpa get INFLATED.wakiitwa kwenye interview unaweza toa machozi.hawajui hata walichokiandika kwenye cv zao.ukiwaleta kwenye practical MUNGU WANGU!UTAMSLAP MTOTO WA MTU kwa kuabuse professional

kuna chuo X kina ma lecturers,sijui ndo ma TA madem KIBAO!haki ya mungu wale madada wanamagpa ya kufa mtu KWA KUDESA,na hizo honda wanakoziweka UNAWEZA MUOMBA MUNGU AKUONDOE DUNIANI.

sasa wakiwa madarasani wanafundisha,utadhani MWANASIASA anapoisoma hotuba kwa wadanganyika waliompa KULA

..............mwalimu anapewa somo la DESIGN OF STRUCTURES,halafu hesabu KUSHOTO.washkaji kibao waliacha kozi.

kitaje wewe, unaogopa nini sasa bana?, arrrgggghhhhhhh.
okoa elimu ya tanzania kuwa na wataalam feki wanaofundishwa na baadhi ya wakufunzi feki
 
Nimekuwa na ukaribu na baadhi ya graduates wa fani ya uhandisi kutokana na kwamba either nimefanya nao kazi au nimewahi kuwa class-mate wao katika level mojawapo from secondary to university. Kati yao, wengi wamegraduate either CoET (UDSM), DIT au St. Joseph's College of Engineering. Wapo wachache pia wa SUA (NB kuna Engineering pia pale). Katika vyuo hivyo, nimegundua hawa wa St. Joseph's waliograduate juzi kati hapo kwa mara ya kwanza tangu kianzishwe (esp waliosoma 4 yrs), wamekuwa na GPA kubwa kubwa sana. Wengi darasani wamepata GPA za 4 point something zinazofikia hadi 4.8 , huku vyuo vingine vya Uhandisi graduates wake wakipigana hasa utakuta 'mkali' darasani anapata GPA ya 4.2 au around that, wengine wakiishia lower second. Lakini pia tusisahau kwamba baadhi ya walimu wa Uhandisi UDSM na DIT ndo hao hao wanaoenda kufundisha St. Joseph's as part time lectures. Nimeleta thread ili tubadilishane mbinu ili graduates vyuo vingine nao wafaulu sana.
Si kla king'aacho ni dhahabu. Kwa hiyo Kufeli sio alama ya kuwa chuo kizuri. Hebu nenda ulaya mzungu huona fahari denti akifaulu wakati bongo denti akifaulu sana ati jamaa linachukia
 
tatizo ni kwamba wale walimu wa UDSM wakifika kule wanafundisha kwa bidii tofauti na UDSM kwa sababu kule unalipwa kutokana na unavyofanya kazi na sio ili mradi mwisho wa mwezi umefika
pia idadi ya wanafunzi pamoja na miundo mbinu ya kujifunzia ni ya kutosha.

Unategemea nini kati ya mwanafunzi ambaye anasikilizia lecture dirishani na yule aneukua darasan na wanakua kama 20 tu nani atafaulu vizuri.

Pia vyuo vikuu vya binafsi mwalimu sio adui na haruhusiwi kuleta vitisho visivyo na maana kielimu kama kuwatishia wanafunzi kua lazima nusu ya darasa niwapunguze.

Huku mwalimu anatakiwa kuhakikisha wanafunzi wanaelewa na ndo maana hata ada ni tofauti. na si hapo tu hata ukienda shule za seminari na serikali sababu ni hizo hizo
 
Jamani napata wapi link ya web yao...hichi chuo ni kizuri kwa mtizamo...kinaendeshwa kisasa zaidi...
UDSM bwana na vingine...yaani unasoma weee lacturer anakwambia ana max zake yaani huwezi vuka hapo...lazima atashahihisha kivyake vyake...uki apili sasa ndio utapata misuko suko mpaka basi...

Nani asiye jua chemistry ni ngumu?ila watu wanajitahidi kusoma kwenye course fllan flani lakini max unapewa kama sijui nini...
 
Kama wanasoma vizuri sio mbaya na kufaulu vizuri, hivyo ni vizuri kufaulu ili waweze kupata mambo mengi
 
Kuna malekcha wa muhimbili ndo zao hizo wakati wakienda IMTU au Kairuki wanatoa maksi kubwa kubwa, ukiwauliza wanajibu hawataki kupoteza part time.................................. hii tabia inanikera sana, sikujua kama iko na vyuo vingine kumbe lol!!
 
Nafikiri madesa ni karatasi ambazo huwa zina information za miaka ya nyuma..yaani desa linaweza kuwa ni lecture notes za miaka nenda rudi ambazo lecturer anazitumia..bila kubadilisha hata nukta, miaka nenda rudi.

Pia inaweza kuwa ni solutions za maswali...ambayo yanaweza kuwa hayashabihiani na level ya lecture....hivyo inakulazimu ukariri jinsi yalivyo (without questioning) a.ka. kumeza, unaingia kwenye paper unatema jinsi ulivyomeza..unapata A...ingawa hukuelewa.
 
4 wat i thnk instead of arguing who is having higher GPA,we can argue on somethng else.why havng dought on higher GPA? Why not lower? The fact is you in university to become a good engineer,then with ur 2.8 even ur applications wont be accepted bse pple in office(bare in mind they study what we call soft courses and graduate wth A's). We should perform good in class and at the same time upgrade n updating our brains so as to be not only engineer but also a good engineer.i thnk the title should be ENGINEERS FROM ....X...WITH LOW GPA

Ni mtazamo tu aight
 
Sera ya vyuo vingi vya binafsi vinapoanza ni kuonyesha kwamba wanafunzi wake wanafaulu vizuri...no kukamata shati wala top.

EEh si mali mpya imeingia sokoni??sasa unataka waanze kwa kula ada za watu bure na watu wasiondoke na degree??
 
4 wat i thnk instead of arguing who is having higher GPA,we can argue on somethng else.why havng dought on higher GPA? Why not lower? The fact is you in university to become a good engineer,then with ur 2.8 even ur applications wont be accepted bse pple in office(bare in mind they study what we call soft courses and graduate wth A's). We should perform good in class and at the same time upgrade n updating our brains so as to be not only engineer but also a good engineer.i thnk the title should be ENGINEERS FROM ....X...WITH LOW GPA

Ni mtazamo tu aight

Mkuu, inawezekana ukawa na point za maana hapa. Unaweza kuiweka post yako hii kwa Kiswahili...kwa faida yetu sie ambao ung'eng'e bado tunaona ni lugha ya kikoloni?
 
Typical bongo mentality.

Badala ya kudiscuss actual creativity level za watu, watu wana discuss GPA.

Give me somebody with low GPA and high creativity anytime versus one with high GPA and low creativity.

Ukishangaa watu wanaopata GPA kubwa inaonyesha jinsi gani ulivyozoea mifumo ya mapprofesa kufelisha wanafunzi kirahisi.

Ongea kuhusu utendaji, hizi sarakasi za academics hazina mpango. Wengine hawana GPA kubwa si kwa sababu hawawezi masomo, bali wanasoma huku wana mambo mengi, wengine wana GPA kubwa si kwa sababu wana akili sana au wako creative sana, bali kwa sababu wanajua ku-cram na kusomea mtihani.

Kwa hiyo GPA mara nyingine si kigezo, lete habari za utendaji kwenye field.
 
GPA kubwa ina maana kwa sehemu, kama ningepata GPA ndogo sana wakati niko SUA, ingekuwa vigumu kupata Scholarship,lakini pia kabla ya kupata scholarship nilipimwa katika vigezo vingi(nilikuwa na GPA3.7/5). Kuna watu hawawezi kujieleza vizuri, lakini ukimpa kazi, atafanya kwa bidii na kwa ukamilifu(Tunahitaji kipimo kizuri cha kuwapima watu kama hawa ili tusiwapoteze). Nafanya master program hapa Zurich, mimi naona ma-profesor wanajali sana bidii ya mtu, ingawa hata yule ambae uwezo wake uko chini kidogo, bado anapata grade itakayoweza msaidia asonge mbele. Nimeona watu wakipata 6/6. Wanafunzi wa masters wa mwaka jana wa chini kabisa amepata 5/6. Mara nyingi ubunifu na uzoefu tunaupata kazini. Narudia GPA kubwa ina maana hasa katika utafutaji wa scholarship na katika baadhi ya ajira(kufundisha vyuo vikuu), lakini kuna baadhi ya kazi utapimwa practically, na GPA haitaangaliwa.

Ni mtazamo tu.

asante.
 
Maandiko yako yenyewe yanaonyesha kwamba kuna tatizo kati ya mambo yaliyo katika fundaments (ubunifu, intelligence etc) na mambo yaliyofanywa kuwa muhimu lakini si fundaments (scholarships)

Scholarship inaweza kuwa muhimu in the sense kwamba ungekosa scholarship usingeweza kuendelea na masomo, lakini umuhimu wake ni artificial kwa sababu kwanza inatolewa kwa kufuata kipimo kilicho artificial kama ulivyopoint out (GPA si kipimo cha uelevu au ubunifu) lakini pia, mtu aliye truly creative anaweza kufanya makubwa bila hata ya scholarship.

Mara nyingine, kwa mtu aliye truly creative shule ni kupoteza muda tu kwa sababu atatakiwa aende na conventions.

Albert Einstein, mmoja kati ya watu brillian kabisa walioishi alisema, nanukuu

One had to cram all this stuff into one's mind for the examinations, whether one liked it or not. This coercion had such a deterring effect on me that, after I had passed the final examination, I found the consideration of any scientific problems distasteful to me for an entire year.

And on trying to make tangible the intangible, Einstein again has this eloquent quote.

Not everything that counts can be counted, and not everything that can be counted counts.

And again, on the absurdity of over-institutionalized education, another jewel from this rebel genius.

The only thing that interferes with my learning is my education.
 
Back
Top Bottom