Augustine Moshi
JF-Expert Member
- Apr 22, 2006
- 2,554
- 1,382
Maadam haya yasemwayo yameshaanza kutokea (Igunga na Arusha) basi yasipuuzwe.
Wakati Idd Amin anaanza kutumia vibaya Makindye Brigade kuna watu walisema ni fitina tu za nchi za Ulaya. Lakini tukaona Askofu Mkuu Luwum na wengine wengi wakiuawa.
Dr. Slaa anapunguza makali ya yanayoweza kutokea kwa kuyafichua mapema. Na hajawahi kuropoka. Alipota orodha ya mafisadi kuna watu walisema ni uongo, but History has been on his side.
CCM wataogopa kumdai Slaa athibitishe, kwani wanajua anavyo vithibitisho. Kwanza ameshawatajia namba za bunduki moja. Watoe maelezo basi. Kama ni ya kuwinda ngedere waseme, na kama waliingiza kihalali wathibitishe.