Dr. SLAA sasa atoa facts suala la CCM & silaha, amvaa Amiri Jeshi Mkuu na Mwenyekiti

Broo, samahani lakini.
Mi naona arguments zako zina mapungufu sana ya uelewa!
Sijajua km unatangulia kusoma kabla ya kujibu!
Unaongeleaje silaha moja wakati hiyo ni sample tu?.....

Mkuu hamna suala la uelewa hapo, mambo lazima yawekwe wazi, Dr Slaa si anafahamu armory hiyo ya CCM iko wapi? avurumishe mizinga yake tu watu wapelekwe pale kushuhudia akipeleka waandishi wa Tanzania Daima, itakuwa bora zaidi maana wao mlengo wao ni wa kuamini zaidi uongo wowote tu wa Dr Slaa.

Wasisahau kuzipiga picha sisi matomaso tusioamini tupate kuamini.
 
Mimi naamini, aisee! Ametoa hadi namba ya silaha! Na kwamba imekutwa mikononi mwa CCM!....

Duh!kutaja namba tu,umeshaamini,angesema ni bunduki namba UK 007.Ungeamini bila shaka yeyote?

Mimi nadhani wewe reasoning capacity yako is equal to zero.Unakua spoonfed maneno na huna uwezo wa kudigest unameza tu,and you want us to believe you are great sinker.
 
In a very stupid development, Jana nimemsikia Nape akikili uwepo wa makundi ya vijana under the organization of UVCCM. sikuamini nilichokisikia.
 
Kumbe wenye akili za kuku mko wengi. Amesema ccm wanaingiza silaha nchini na kuzigawa kwa vijana wao wanaofundishwa uharamia; kutesa na kuua.
Akataja silaha mojawapo katika nyingi zilizoingizwa nchini, akataja hadi namba yake lakini bado tu unambwelambwela huku na huko usielewe kinachosemwa.

Heri wale wenye akili kidogo ya kuku kama mimi, lakini wewe sijui kundi la kukuweka sijui kenge au mnyoo wa haja.
Huna kumbukumbu kuwa ni huyu huyu Dr Slaa aliyesema kuna makontena ya silaha ya CCM toka nje ya nchi wakati wa uchaguzi 2010.

Kuna jamaa alisema ukiona ujinga kama huo, changanya za za kwako, bahati mbaya wewe za kwako hazipo maana kenge na hasa monyoo ya haja hawana macho wala brain za kuwatosha.
 
Wakuu Jana Jumanne, timu kadhaa zinazounda timu moja ya Operesheni Sangara-M4C ilikuwa inamalizi kiporo cha Mvomero, ambako kabla ya mapumziko ya siku mbili kwa ajili ya Siku Kuu ya Eid-El-Fitr, kata kadhaa zilibaki katika mashambulizi makali ya Jumamosi. Mashambuzi hayo yamemng'oa Amos Makala kutoka huko Dar es Salaam kuja jimboni kusalimia wananchi! Anakumbuka shuka kumekucha...Katika mikutano aliyofanya jana na timu yake, Dkt. Slaa alitoa more facts juu ya zile tuhuma nzito alizotoa juzi kwenye press conference kuwa CCM wamekuwa wakiingiza nchini silaha bila vibali wala kulipia leseni, kisha wanawapatia vijana wao wanaowekwa kwenye makambi mbalimbali (kama ile ya Ulemo, Iramba, Singida, wakati wa uchaguzi mdogo Igunga) ambayo hutumika kuandaa na kufundisha vijana kwa ajili ya kufanya utekaji, utesaji na hata kuua...Katika hatua ya mbele zaidi, amesisitiza kuwa kama ambavyo hawajawahi kuchomoka katika mtego mwingine wowote ule hasa katika masuala ya ufisadi na kuhujumu maendeleo ya watu wa nchi hii, katika hili la kuingiza silaha nchini kwa nia ya kudhibiti CHADEMA na kudhuru viongozi wake (wapinzani wao wa kisiasa) "CCM hawatachomoka pia"."Kwa hili pia CCM hawachomoki, wamo kwenuye mtego wetu tena kwa mara nyingine, leo naanza kwa kutoa kidogo tu, wakiendelea kuja na maneno matupu nitatoa facts na nyaraka zingine zaidi, na sasa katika hatua hii suala hili linamhusu Kikwete akiwa kama Mwenyekiti wa CCM na Amiri Jeshi Mkuu, ndiye anayehusika na masuala haya, afanyie kazi suala hili ili Watanzania wapate majibu ya kina na ukweli."Wakati wa uchaguzi mdogo Igunga waliweka vijana kwenye makambi kama pale Ulemo, Iramba mkoani Singida, wakifundishwa mbinu za kuteka, kutesa na kuua, ikiwa ni sehemu ya mikakati ya CCM kudhibiti wapinzani wao kisiasa, wakilenga CHADEMA na hasa kudhuru viongozi wake. Waliwapatia bunduki, mojawapo ni silaha iliyotengenezwa China, yenye uwezo wa kubeba risasi 8 kwenye magazine yenye namba J137, walikuwa nayo vijana hao kambini."Tunamtaka Kikwete, kama Amiri Jeshi Mkuu na pia akiwa Mwenyekiti wa CCM atuambie, silaha hii iliingiaje nchini na kwa nini ilikuwa mikononi mwa CCM, tutashusha nondo zaidi, kuendelea kuivua nguo CCM na mikakati ya kumaliza wananchi wa nchi hii wasiokuwa na hatia," alisema Dkt. Slaa katika vijiji mbalimbali vya Kata za Langali na Mlali, Mvomero, Morogoro."
Huwenda ukawa mwisho wa siasa za uzushi za huyo mzee kwa sababu atakaposhindwa kutoa ushahidi itabidi akaozee lupango.
 
Povu lote la slaa kumbe ni gobole moja aagh,wanasiasa bana! Mi nilidhani wameingiza kontena la smg, hizo si zinatengenezwa usambaani kule milimani. Ukiwa mwanasiasa hata akili nazo zinapungua!
 
Kwanza kabisa wewe ndio kabsaaaaaaaaa unahitaji MATIBABU ya ugonjwa wako wa Akili tena uliokithiri..
Pili unakurupuka kusoma bila kutafakari... hpa Dokta hajaongelea bastola wala bunduki moja.... ametolea mfano wa J137 kama mfano wa bunduki nyingi zilizoingizwa na CCM nchini pasipo halali....... kama unabisha prove him wrong sio kutoa unrelated references.
Tatu vita inayoongelewa na Dokta hpa ni kati ya nyie CCM na vyama upinzani pamoja na taasisi zote zile zinazopinga harakati zenu chafu za kufilisi taifa hili katika kila nyanja..... eg mlivyofanya kwa Kubenea, Ulimboka, Illemela etc
Nne..... eti Gun Traffickin ni tatizo!!! ...... So What....? Kwa kua ni tatzo tuache silaha ziingie tu..!????

Nyie ndio wale mlionunua vyeti vya chuo

mas.abur.i

Si lazima uwe na certificate ya hotel management kugundua shida inayomkabili KIBABU BACHELA, DR Slaa ni tofauiti na wazee wenzake ambao kadri umri unavyoeenda ndipo hekima na busara zinavyoongezeka. Yeye kageuka mungunya anaharibika ukubwani. Elimu yako haijakusaidia bado ikiwa hata pumba kama hizi unazikumbatia na ndio shida ya kutumia kichwa kufuga nywele nyingi uonekane mtanashati ukaweka fikra pevu pembeni.Nina uhakika siasa haujui,una mwaka 1 tangu utoke chuo haujui dunia inakwendaje, hasira za kukosa kazi zinakuleta JF na kuanza kutukana baba zako. Matusi mpelekee mzazi wako aliyekula mafao ya kujitoa kabla ya muda wake na kukupandikiza chuki kuwa ameonewa na serikali.
 
Anachokifanya Slaa ni kutafuta sababu ya kuitwa polisi kuhojiwa kwa shutuma anazotoa. Alipoona shutuma zake zimepuuziwa, sasa kaamua amtaje Rais ili apate attention. Dawa yake ni kumpuuzia tu. Kama kuna silaha zimeingizwa mpaka namba zake anazijua, yeye kama mtu mzima anajua nini ni sahihi cha kufanya na sio kuimba taarab majukwaani. Kikwete ni amiri jeshi mkuu, hana haja ya kuagiza bunduki ya risasi nane kama kweli ana lengo la kufanya mambo mabaya kutumia silaha, kuna revolvers, vifaru na ndege za kivita zinazofanya kazi kwa kusikiliza amri yake!
 
Heri wale wenye akili kidogo ya kuku kama mimi, lakini wewe sijui kundi la kukuweka sijui kenge au mnyoo wa haja.
Huna kumbukumbu kuwa ni huyu huyu Dr Slaa aliyesema kuna makontena ya silaha ya CCM toka nje ya nchi wakati wa uchaguzi 2010.

Kuna jamaa alisema ukiona ujinga kama huo, changanya za za kwako, bahati mbaya wewe za kwako hazipo maana kenge na hasa monyoo ya haja hawana macho wala brain za kuwatosha.
tehe tehe tehe , Masopakyindi, unajua hyu SLAA nadahani anatumia nguvu za giza, haiwezekani kila utumbo anaousema, wapambe wake wanaukubali.
 
Anachokifanya Slaa ni kutafuta sababu ya kuitwa polisi kuhojiwa kwa shutuma anazotoa. Alipoona shutuma zake zimepuuziwa, sasa kaamua amtaje Rais ili apate attention. Dawa yake ni kumpuuzia tu. Kama kuna silaha zimeingizwa mpaka namba zake anazijua, yeye kama mtu mzima anajua nini ni sahihi cha kufanya na sio kuimba taarab majukwaani. Kikwete ni amiri jeshi mkuu, hana haja ya kuagiza bunduki ya risasi nane kama kweli ana lengo la kufanya mambo mabaya kutumia silaha, kuna revolvers, vifaru na ndege za kivita zinazofanya kazi kwa kusikiliza amri yake!
Exactly, NAPE hajakosea,SLAA anazeeka vibaya.
 
Si lazima uwe na certificate ya hotel management kugundua shida inayomkabili KIBABU BACHELA, DR Slaa ni tofauiti na wazee wenzake ambao kadri umri unavyoeenda ndipo hekima na busara zinavyoongezeka. Yeye kageuka mungunya anaharibika ukubwani. Elimu yako haijakusaidia bado ikiwa hata pumba kama hizi unazikumbatia na ndio shida ya kutumia kichwa kufuga nywele nyingi uonekane mtanashati ukaweka fikra pevu pembeni.Nina uhakika siasa haujui,una mwaka 1 tangu utoke chuo haujui dunia inakwendaje, hasira za kukosa kazi zinakuleta JF na kuanza kutukana baba zako. Matusi mpelekee mzazi wako aliyekula mafao ya kujitoa kabla ya muda wake na kukupandikiza chuki kuwa ameonewa na serikali.

ndio matatizo ya vizee mnao kumbuka shuka kumeshakucha........... unaona ukiisifu CCm hpa watakuongezea mkataba wako wakati umri wa kustaafu umeshafika.........

mas.ab.uri mkubwa........... kalime au la omba wanao wakukomboe
 
Back
Top Bottom