Kwanini CCM inalazimisha kuingiza Jeshi la Tanzania (JWTZ) kwenye Siasa? Je, inalipa? Chonde Chonde Rais Samia

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,492
54,895
Salaam

Sijapenda Style ya CCM kuiga siasa za Afrika Magharibi za kuwatumia Wanajeshi kwenye Siasa. Wanataka kutuharibia nchi.
FB_IMG_1705169353466.jpg

Nakubali Mwenyekiti wa CCM ni Amri Jeshi Mkuu, ila Kutumia Jeshi kuwaziba Wapinzani wake wa Kisiasa si sahihi.

Wawatumie Polisi kuzuia maandamano na Shughuli za Siasa. Lakini kuwatumia Wanajeshi ni kuwaonea.
FB_IMG_1705169364691.jpg

Hii itafanya Jeshi lijue Tanzania mambo yanaenda ovyo ovyo.

Je, Jeshi likifanya kazi Ovyo ovyo Samia atasalimika?

Tuwaache Jeshi letu la Wananchi lilinde mipaka yetu.
FB_IMG_1705169413900.jpg

Ni aibu kwa Serikali kuu kutumia Jeshi kuzima Siasa za chama Pinzani cha CCM.

UJINGA NI KUFIKIRI WANAJESHI WOTE NI CCM.

JESHI LA ULINZI LA WANANCHI WA TANZANIA HAWAJAFUNDISHWA SIASA. NI KWELI NI WATII NA WATATII MTAKACHOWAAMBIA LAKINI UTII WAO MSIUCHUKULIE KAMA NI WAOGA AU HAWANA UWEZO WAKIFANYA CHOCHOTE.
FB_IMG_1705169519476.jpg

Majukumu ya Msingi ya JWTZ

1. Kulinda Katiba na Uhuru wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

2. Ulinzi wa Mipaka ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

3. Kufanya Mafunzo na Mazoezi ili kujiweka tayari Kivita wakati wote.
FB_IMG_1705169568107.jpg

4. Kufundisha umma shughuli za Ulinzi wa Taifa.

5. Kushirikiana na Mamlaka za Kiraia katika kutoa misaada ya kibinadamu na uokoajiwakati wa maafa.
FB_IMG_1705169454993.jpg

6. Kukuza elimu ya kujitegemea na uzalishaji kupitia Jeshi la Kujenga Taifa (JKT).
FB_IMG_1705169469502.jpg

7. Kushiriki katika shughuli za Ulinzi wa Amani Kimataifa.
FB_IMG_1705169534661.jpg

Nawaomba Kamandi ya Vikosi chini ya Makao Makuu ya Jeshi (Kamandi ya MMJ), Kamandi ya Nchi Kavu, Kamandi ya Anga, Kamandi ya Wanamaji, Jeshi la Kujenga Taifa, Kamandi ya Jeshi la Akiba. Msiingize watoto wetu kwenye huu Mchezo mchafu wa Uroho wa madaraka. Wanajeshi wamefundishwa Bunduki na Silaha za Kivita sio kuhangaika na Demokrasia ndani ya Nchi.

Asante

Nawaomba Wakubwa wa Komandi Mchukue mfanye kitu kwaajili ya wananchi sio wanasiasa. Sijawakataza kutomtii Amri Jeshi Mkuu ila wahusika wamshauri Huyu Mwenyekiti wa CCM
FB_IMG_1705169387701.jpg

ONYO: WATANZANIA TUHESHIMU NA KUENDELEA KULIAMINI JESHI LA ULINZI LA WANANCHI WA TANZANIA
 
Salaam

Sijapenda Style ya CCM kuiga siasa za Afrika Magharibi za kuwatumia Wanajeshi kwenye Siasa. Wanataka kutuharibia nchi.

Nakubali Mwenyekiti wa CCM ni Amri Jeshi Mkuu, ila Kutumia Jeshi kuwaziba Wapinzani wake wa Kisiasa si sahihi.

Wawatumie Polisi kuzuia maandamano na Shughuli za Siasa. Lakini kuwatumia Wanajeshi ni kuwaonea.

Hii itafanya Jeshi lijue Tanzania mambo yanaenda ovyo ovyo.

Je, Jeshi likifanya kazi Ovyo ovyo Samia atasalimika?

Tuwaache Jeshi letu la Wananchi lilinde mipaka yetu.

Ni aibu kwa Serikali kuu kutumia Jeshi kuzima Siasa za chama Pinzani cha CCM.

UJINGA NI KUFIKIRI WANAJESHI WOTE NI CCM.

Majukumu ya Msingi ya JWTZ

1. Kulinda Katiba na Uhuru wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

2. Ulinzi wa Mipaka ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

3. Kufanya Mafunzo na Mazoezi ili kujiweka tayari Kivita wakati wote.

4. Kufundisha umma shughuli za Ulinzi wa Taifa.

5. Kushirikiana na Mamlaka za Kiraia katika kutoa misaada ya kibinadamu na uokoajiwakati wa maafa.

6. Kukuza elimu ya kujitegemea na uzalishaji kupitia Jeshi la Kujenga Taifa (JKT).

7. Kushiriki katika shughuli za Ulinzi wa Amani Kimataifa.
Ipo siku ita Backfire hawataamini.

Acha waendelee tu
 
Ipo siku ita Backfire hawataamini.

Acha waendelee tu
Hii ikemewe kabisa kabisa tutasababisha uvunjifu wa amani kisa tu kulinda maslahi ya makundi fulani. Wanasiasa washindane kisiasa na siyo kimabavu, Kwa mtanzania it doesn't make any difference Rais kuwa CCM ama upinzani we are all Tanzanians. Siwapendi CHADEMA lakini haina maana hisia zangu ziwanyime haki zao za msingi
 
JWTZ wataungana na majeshi mengine 23 na 24 JAN 2024 kufanya usafi,wewe hilo umelitoa wapi? usafi na maandamano havihusiani.
 
Wanasoma siasa ya kazi gani kwa ngazi ya uafisa?

Siasa ni kila kitu hadi huko jeshini kama unabisha kamuulize kanali mkisi?

Toka kitambo waliteuliwa vyeo vya kisiasa kama Wakuu wa wilaya ila hamkuona kama jeshi linahusishwa na siasa?

Hao polisi nao kazi yao sio kujihusisha na siasa Bali kulinda maisha ya watu na Mali zao?
Au wenyewe sio jeshi? hivyo wafaa kutumika kwenye siasa?

Magereza na wafungwa vipi nao wanaruhusiwa au lah? Au tuwaache wastiki kwenye majukumu Yao?

Tukisema majeshi yasiingizwe kwenye siasa basi yaondolewe kwenye kila kitu sio hili tunaruhusu na hili tunakataza.
 
Nanukuu kutoka kwa Major General XYZ .....Mimi na Mzee Yakubu . Lt general, tulikataa jeshi letu kunajisiwa na wana siasa tangu kipindi yupo mwendazake na tulimwambia pasina kificho. lakini Wakuu wangu wakatuona sisi ni wangengefu watata. Kwenda kustaafu na kuzibwa mdomo kwa kazi za kibalozi, lakini tulikua tunayona haya kwa upeo wa mbali...
 
Salaam

Sijapenda Style ya CCM kuiga siasa za Afrika Magharibi za kuwatumia Wanajeshi kwenye Siasa. Wanataka kutuharibia nchi.
View attachment 2870873
Nakubali Mwenyekiti wa CCM ni Amri Jeshi Mkuu, ila Kutumia Jeshi kuwaziba Wapinzani wake wa Kisiasa si sahihi.

Wawatumie Polisi kuzuia maandamano na Shughuli za Siasa. Lakini kuwatumia Wanajeshi ni kuwaonea.
View attachment 2870872
Hii itafanya Jeshi lijue Tanzania mambo yanaenda ovyo ovyo.

Je, Jeshi likifanya kazi Ovyo ovyo Samia atasalimika?

Tuwaache Jeshi letu la Wananchi lilinde mipaka yetu.
View attachment 2870871
Ni aibu kwa Serikali kuu kutumia Jeshi kuzima Siasa za chama Pinzani cha CCM.

UJINGA NI KUFIKIRI WANAJESHI WOTE NI CCM.

JESHI LA ULINZI LA WANANCHI WA TANZANIA HAWAJAFUNDISHWA SIASA. NI KWELI NI WATII NA WATATII MTAKACHOWAAMBIA LAKINI UTII WAO MSIUCHUKULIE KAMA NI WAOGA AU HAWANA UWEZO WAKIFANYA CHOCHOTE.
View attachment 2870867
Majukumu ya Msingi ya JWTZ

1. Kulinda Katiba na Uhuru wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

2. Ulinzi wa Mipaka ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

3. Kufanya Mafunzo na Mazoezi ili kujiweka tayari Kivita wakati wote.
View attachment 2870865
4. Kufundisha umma shughuli za Ulinzi wa Taifa.

5. Kushirikiana na Mamlaka za Kiraia katika kutoa misaada ya kibinadamu na uokoajiwakati wa maafa.
View attachment 2870869
6. Kukuza elimu ya kujitegemea na uzalishaji kupitia Jeshi la Kujenga Taifa (JKT).
View attachment 2870868
7. Kushiriki katika shughuli za Ulinzi wa Amani Kimataifa.
View attachment 2870866
Nawaomba Kamandi ya Vikosi chini ya Makao Makuu ya Jeshi (Kamandi ya MMJ), Kamandi ya Nchi Kavu, Kamandi ya Anga, Kamandi ya Wanamaji, Jeshi la Kujenga Taifa, Kamandi ya Jeshi la Akiba. Msiingize watoto wetu kwenye huu Mchezo mchafu wa Uroho wa madaraka. Wanajeshi wamefundishwa Bunduki na Silaha za Kivita sio kuhangaika na Demokrasia ndani ya Nchi.

Asante

Nawaomba Wakubwa wa Komandi Mchukue mfanye kitu kwaajili ya wananchi sio wanasiasa. Sijawakataza kutomtii Amri Jeshi Mkuu ila wahusika wamshauri Huyu Mwenyekiti wa CCM
View attachment 2870870
ONYO: WATANZANIA TUHESHIMU NA KUENDELEA KULIAMINI JESHI LA ULINZI LA WANANCHI WA TANZANIA
Yaani CHADEMA wamekoroma kidogo tu, serikali ya CCM imeamua kuwakurupua wanajeshi kujihami na kujilinda kwa eti kufanya usafi!!!???

Usafi gani huo. Siku zote mlikuwa wapi? Njooni mfanye usafi Tabora maana mitaa ni michafu kupindukia .!!

Hili jeshi nalo [JWTZ] litakuwa ni la kipuuzi na kijinga sana. Linakubalije kutii amri isiyohusiana na jukumu la JWTZ la kikatiba hata kama imetoka kwa amiri jeshi mkuu wao?

JWTZ, tafadhali tafadhali waacheni CCM wapambane kisiasa na wapinzani wao. Nyie bakini kwenye jukumu lenu la kikatiba. Mnaingia kwenye maeneo yasiyowahusu kabisa..

Na ieleweke tu kuwa, mtindo huu wa CCM kutumia JWTZ kujitetea na kujihami ki - siasa hauna mwisho na hautadumu hata kidogo..

Ilikuwa hivyo Misri lakini mwisho wa siku, jeshi likachoka na likaamua kuwa upande wa wananchi!!

CCM mtaiweza hii mbinu kweli? Ngoja tuone mwisho wa mchezo wenu huu.
 
Sema mbowe ni kichwa sana, hii mbinu ya kutumia jeshi letu kwenye siku za maandamano nayo ni ya kipuuzi na ushamba, Laiti ningekuwa mbowe ningewapiga surprise mpaka washangae yaani wengejua hawajui
 
Salaam

Sijapenda Style ya CCM kuiga siasa za Afrika Magharibi za kuwatumia Wanajeshi kwenye Siasa. Wanataka kutuharibia nchi.
View attachment 2870873
Nakubali Mwenyekiti wa CCM ni Amri Jeshi Mkuu, ila Kutumia Jeshi kuwaziba Wapinzani wake wa Kisiasa si sahihi.

Wawatumie Polisi kuzuia maandamano na Shughuli za Siasa. Lakini kuwatumia Wanajeshi ni kuwaonea.
View attachment 2870872
Hii itafanya Jeshi lijue Tanzania mambo yanaenda ovyo ovyo.

Je, Jeshi likifanya kazi Ovyo ovyo Samia atasalimika?

Tuwaache Jeshi letu la Wananchi lilinde mipaka yetu.
View attachment 2870871
Ni aibu kwa Serikali kuu kutumia Jeshi kuzima Siasa za chama Pinzani cha CCM.

UJINGA NI KUFIKIRI WANAJESHI WOTE NI CCM.

JESHI LA ULINZI LA WANANCHI WA TANZANIA HAWAJAFUNDISHWA SIASA. NI KWELI NI WATII NA WATATII MTAKACHOWAAMBIA LAKINI UTII WAO MSIUCHUKULIE KAMA NI WAOGA AU HAWANA UWEZO WAKIFANYA CHOCHOTE.
View attachment 2870867
Majukumu ya Msingi ya JWTZ

1. Kulinda Katiba na Uhuru wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

2. Ulinzi wa Mipaka ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

3. Kufanya Mafunzo na Mazoezi ili kujiweka tayari Kivita wakati wote.
View attachment 2870865
4. Kufundisha umma shughuli za Ulinzi wa Taifa.

5. Kushirikiana na Mamlaka za Kiraia katika kutoa misaada ya kibinadamu na uokoajiwakati wa maafa.
View attachment 2870869
6. Kukuza elimu ya kujitegemea na uzalishaji kupitia Jeshi la Kujenga Taifa (JKT).
View attachment 2870868
7. Kushiriki katika shughuli za Ulinzi wa Amani Kimataifa.
View attachment 2870866
Nawaomba Kamandi ya Vikosi chini ya Makao Makuu ya Jeshi (Kamandi ya MMJ), Kamandi ya Nchi Kavu, Kamandi ya Anga, Kamandi ya Wanamaji, Jeshi la Kujenga Taifa, Kamandi ya Jeshi la Akiba. Msiingize watoto wetu kwenye huu Mchezo mchafu wa Uroho wa madaraka. Wanajeshi wamefundishwa Bunduki na Silaha za Kivita sio kuhangaika na Demokrasia ndani ya Nchi.

Asante

Nawaomba Wakubwa wa Komandi Mchukue mfanye kitu kwaajili ya wananchi sio wanasiasa. Sijawakataza kutomtii Amri Jeshi Mkuu ila wahusika wamshauri Huyu Mwenyekiti wa CCM
View attachment 2870870
ONYO: WATANZANIA TUHESHIMU NA KUENDELEA KULIAMINI JESHI LA ULINZI LA WANANCHI WA TANZANIA
CDF ujitokeze hadharani kulaani hili jambo.
Hakuna Shari wala fujo hapa
Msijeleta yale ya Akwilina.
Katiba inasemaje.
Haya ni maandamano ya Amani na wananchi wasikilizwe serikali iyafanyie kazi wanaweza kuwa na maneno yenye muktadha wa hili Taifa!

Majeshi yetu na polisi acheni kutumika kisiasa.
Wakuu wenu mje mlikatae kabisa hili.
 
Mkuu
Chama cha CCM kinajua kimepoteza uhalali kutawala. Hivyo kilishajifia na sasa jeshi ndo linaitumia CCM kutawala nchi...
 
CDF ujitokeze hadharani kulaani hili jambo.
Hakuna Shari wala fujo hapa
Msijeleta yale ya Akwilina.
Katiba inasemaje.
Haya ni maandamano ya Amani na wananchi wasikilizwe serikali iyafanyie kazi wanaweza kuwa na maneno yenye muktadha wa hili Taifa!

Majeshi yetu na polisi acheni kutumika kisiasa.
Wakuu wenu mje mlikatae kabisa hili.

Shida jeshi letu limekubali kuendeshwa na CCM. Hivyo ndio shida.
 
Nanukuu kutoka kwa Major General XYZ .....Mimi na Mzee Yakubu . Lt general, tulikataa jeshi letu kunajisiwa na wana siasa tangu kipindi yupo mwendazake na tulimwambia pasina kificho. lakini Wakuu wangu wakatuona sisi ni wangengefu watata. Kwenda kustaafu na kuzibwa mdomo kwa kazi za kibalozi, lakini tulikua tunayona haya kwa upeo wa mbali...
Kuna misimamo ukiwa nayo tena kwa rank walizofikia hiyo kawaida hivi Yakubu nae alikuja kukaza maana (Mnyampala) - Mwakibolwa siku ya kuapa alimwambia anamjua ni mpole ila akaze sauti kidogo.
 
Back
Top Bottom