MH. MWENYEKITI WA CCM TAIFA,
Kwa unyenyekevu nakusalimu kwa salamu ya chama chetu ..... Kudumu Chama Cha Mapinduzi.
MH. MWENYEKITI,
Mimi leo nimeona ni vema nijitokeze kwako tu ili nikuombe wewe unipendekeze jina langu ili niweze kuwa KATIBU MKUU WA CCM TAIFA. Nimefanya hivyo kwa sababu naamini wazi kuwa naamini nitaweza kuitumikia nafasi hiyo kwa weledi mkubwa na kuleta tija kubwa katika chama chetu na Taifa kwa ujumla.
Vile vile nimeamua kuomba nafasi hii kwako kwa kupendekeza jina langu kwa sababu nitakusaidia sanw wewe Mh. Mwenyekiti kwa kuhakikisha kuwa chama chetu kinafuata misingi ya haki na kutimiza wajibu wake kwa wanachi na wanachama wote hasa kwa kuisimamia serikali kutekeleza yale yote ambayo chama imehaidi kuyatekeleza, na hili litafanikiwa kwa kuhakikisha viongozi wazembe walioko serikalini - hasa wa kuchaguliwa kama vile mawaziri au wabunge, na wateule wengineo au watumishi wasiowajibika wanashughulikiwa kwa mujibu wa taratibu za kichama ikiwemo kukushauri Mwenyekiti uwaweke pembeni kwa maslahi mapana ya Taifa letu.
Pia nakuhakikishia kuwa nitaleta umoja ndani ya chama na kuondoa makundi ndani ya chama chetu.
MH. M/KITI kwa hali ilivyo Sasa, chama chetu kimegawanyika katika makundi sana na hii sio siri - makundi yamerudi na Yana nguvu na yanajiandaa kwa ajili ya 2025. Wana mtandao wapo kazini - kuanzia kusini hadi kaskazini, magharibi hadi mashariki, bara hadi visiwani. Jambo hili sio siri lipo na jiandae kwa upinzani mkubwa kutoka ndani ya Chama unachokiongoza.
Kwa moyo wa utumishi uliotukuka (17 years as a government employee) NISEME kwa kurudia tena: NAOMBA UNIPENDEKEZE JINA LANGU KUWA KATIBU MKUU WA CCM TAIFA.
Kwa kifupi wasifu wangu ni kama ufuatao:
Kama itakupendeza - CV yangu ipo hapo jengo la CCM WHITE HOUSE unaweza kuomba vijana wako wakakuletea mezani au vinginevyo naweza kukutumia more recent CV.
CODES: Mgombea nafasi ya Spika ndani ya Chama Cha Mapinduzi - CCM baada ya MH. Ndugai ku-step down, Mgombea aliyesomea Scandania - 6 years, and one year in Netherlands.
Nakutakia kila lakheri na Mungu akulinde na kukubariki ili uweze kuiongoza vema nchi yetu, na pia naomba Mungu akuongoze Ili usisahau OMBI LANGU.
Astrid.

- Elimu ya juu ya Chuo kikuu ( ndani na nje ya nchi - 7 years abroad in two different countries - Scandinavia and Netherlands).
- Government employee - higher learning Institution
- Mgombea wa nafasi ya Spika ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) baada ya MH. Ndugai ku-step down.
- Mgombea wa nafasi ya Mwenyekiti wa CCM Mkoa, na nafasi ya Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM TAIFA ( japo nilifanyiwa figisu mkoani).
- Mgombea wa nafasi ya Ubunge kwa mwaka 2020, - ni Mgombea pekee ambaye sikutoa rushwa hata ya sh. 100 kuhonga wajumbe wa CCM na nilikuwa mtu wa 14 kati ya wagombea 32.
- SINA MAKUNDI - neutral person na sitegemei kuegemea upande wowote, kwangu nafasi hii itakuwa kiutendaji zaidi ( Mtendaji Mkuu wa Chama), no need to be biased to anyone.