Mary Chatanda - Wapuuzeni Wanaoichafua CCM Juu ya Suala la Bandari

Stephano Mgendanyi

JF-Expert Member
May 16, 2020
1,900
944

NDUGU MARY CHATANDA - PUUZENI WAPINZANI WANAOICHAFUA CCM JUU SUALA LA BANDARI

Mwenyekit wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Taifa Ndugu Mary Chatanda na Makamu Mwenyekiti wa UWT Ndugu Zainab Shomari wakiambatana na Kamati ya Utekelezaji wamewasili Wilayani Namtumbo na Tunduru Mkoa wa Ruvuma kwa ziara tarehe 25 Julai 2023.

Aidha, Ndugu Mary Chatanda katika Mkutano alimpigia simu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Mohamed Mchengerwa na kumtaka kutatua kero ya uvamizi wa Tembo (Ndovu) katika makazi ya watu ili kuhakikisha ulinzi na usalama wa wananchi katika shughuli zao za uzalishaji

Vilevile, Ndugu Mary Chatanda amewataka wananchi na WanaCCM Wilaya ya Tunduru kuwapuuza wapinzani wanaoichafua CCM juu ya suala la Uwekezaji wa Bandari

UWT IMARA JESHI LA MAMA KAZI IENDELEE

WhatsApp Image 2023-07-25 at 22.14.15.jpeg
WhatsApp Image 2023-07-25 at 22.14.16.jpeg
 
Attachments

  • WhatsApp Image 2023-07-25 at 22.14.17.jpeg
    WhatsApp Image 2023-07-25 at 22.14.17.jpeg
    164.2 KB · Views: 3
  • WhatsApp Image 2023-07-25 at 22.14.18.jpeg
    WhatsApp Image 2023-07-25 at 22.14.18.jpeg
    138.8 KB · Views: 3
  • WhatsApp Image 2023-07-25 at 22.16.20.jpeg
    WhatsApp Image 2023-07-25 at 22.16.20.jpeg
    153.1 KB · Views: 2
  • WhatsApp Image 2023-07-25 at 22.16.25.jpeg
    WhatsApp Image 2023-07-25 at 22.16.25.jpeg
    125.6 KB · Views: 2
  • WhatsApp Image 2023-07-25 at 22.16.29.jpeg
    WhatsApp Image 2023-07-25 at 22.16.29.jpeg
    130.9 KB · Views: 2
Yaani hawa hivi wanafikiri watanzania wote hawana akili?CCM wao ni malaika na si binadamu kama sisi?Wewe dada Mary kajipange upya,kwani wewe huwa haukunyi ?Kisa ni CCM. Suala la bandari hatutalikalia kimya.
 
NDUGU MARY CHATANDA - PUUZENI WAPINZANI WANAOICHAFUA CCM JUU SUALA LA BANDARI

Mwenyekit wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Taifa Ndugu Mary Chatanda na Makamu Mwenyekiti wa UWT Ndugu Zainab Shomari wakiambatana na Kamati ya Utekelezaji wamewasili Wilayani Namtumbo na Tunduru Mkoa wa Ruvuma kwa ziara tarehe 25 Julai 2023.

Aidha, Ndugu Mary Chatanda katika Mkutano alimpigia simu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Mohamed Mchengerwa na kumtaka kutatua kero ya uvamizi wa Tembo (Ndovu) katika makazi ya watu ili kuhakikisha ulinzi na usalama wa wananchi katika shughuli zao za uzalishaji

Vilevile, Ndugu Mary Chatanda amewataka wananchi na WanaCCM Wilaya ya Tunduru kuwapuuza wapinzani wanaoichafua CCM juu ya suala la Uwekezaji wa Bandari

UWT IMARA JESHI LA MAMA KAZI IENDELEE

View attachment 2700118View attachment 2700119
Tunawapuuzia vp? Kwan CDM ndio huingia mikataba ya Nchi hii? Hawa watu wamekuaje asee!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom