Dr. SLAA sasa atoa facts suala la CCM & silaha, amvaa Amiri Jeshi Mkuu na Mwenyekiti

In a very stupid development, Jana nimemsikia Nape akikili uwepo wa makundi ya vijana under the organization of UVCCM. sikuamini nilichokisikia.

Hilo siyo kwa CCM tu mkuu, Hivi hujui ndani CDM kuna makundi ya vijana pia? kuna lile la ZITTO na MDEE na lile la NASSARI na LEMA?
 
ala! Kwanini kama wanasingiziwa wasimburuze Dr.Slaa mahakamani na ikibainika ni uongo afungwe,kwanini hawafanyi hivyo¡? Au unataka kuniambia nchi hii ni ruksa kuongea chochote ukitakacho?

Tumieni akili ndugu zagu!
Dr Slaa anarusha cheap shots.
Kumbu kumbu hazijatoweka kwamba miaka miwili tu iliyopita alikuja na imagination ya makontena ya chama tawala kuingia nchini.
Huwa anaota vibaya mzee huyu, ama sivyo ni kujitakia kesi za kumweka busy,Chadema hakuna kazi.
Ukimpa kazi ya kuhudhuria mahakamani bure ni kumpa umaarufu bure tu
Mzee Slaa endelea kuota.
Kesho ataota ma-scud ya chama tawala yanavyo mzengea.
 
Bado unaugua!

Mkuu hamna suala la uelewa hapo, mambo lazima yawekwe wazi
Dr Slaa si anafahamu armory hiyo ya CCM iko wapi, avurumishe mizinga yake tu watu wapelekwe pale kushuhudia-akipeleka waandishi wa Tanzania Daima itakuwa bora zaidi maana wao mlengo wao ni wa kuamini zaidi uongo wowote tu wa Dr Slaa.
wasisahau kuzipiga picha sisi matomaso tusioamini tupate kuamini.
 
ndio matatizo ya vizee mnao kumbuka shuka kumeshakucha........... unaona ukiisifu CCm hpa watakuongezea mkataba wako wakati umri wa kustaafu umeshafika.........

mas.ab.uri mkubwa........... kalime au la omba wanao wakukomboe

Ana haki ya kufanya hivyo kama ndiyo anajipatia kipato mkuu, kwani wewe unaishije kama siyo kutii bosi wako? Hivi unataka kutuambia kelele za SLAA siyo kutaka aendelee kulipwa zile mil.12 kwa mwezi na zaidi MSHUMBUZI aendelee kuwa mmliki wa mfumo wa fedha ndani ya CDM? kila mtu anakula kwa urefu wa kamba yake bwana.
 
Ni mtu mjinga mjinga tu anaweza kuamini hii trend of thoughts, kuwa silaha moja ndo ina wawinda viongozi wa CDM wakati mwenyewe DrSlaa alikutwa ana mbili!

Wakuu April Fools day ilishapita!

Hiyo si hoja ya utetezi, kwani bunduki moja inaweza kuuwa watu wangapi??
 
Ana haki ya kufanya hivyo kama ndiyo anajipatia kipato mkuu, kwani wewe unaishije kama siyo kutii bosi wako? Hivi unataka kutuambia kelele za SLAA siyo kutaka aendelee kulipwa zile mil.12 kwa mwezi na zaidi MSHUMBUZI aendelee kuwa mmliki wa mfumo wa fedha ndani ya CDM? kila mtu anakula kwa urefu wa kamba yake bwana.

natii sna akili yangu kwn ndio inayoniajiri........... am self made
 
Tumieni akili ndugu zagu!
Dr Slaa anarusha cheap shots.
Kumbu kumbu hazijatoweka kwamba miaka miwili tu iliyopita alikuja na imagination ya makontena ya chama tawala kuingia nchini.
Huwa anaota vibaya mzee huyu, ama sivyo ni kujitakia kesi za kumweka busy,Chadema hakuna kazi.
Ukimpa kazi ya kuhudhuria mahakamani bure ni kumpa umaarufu bure tu
Mzee Slaa endelea kuota.
Kesho ataota ma-scud ya chama tawala yanavyo mzengea.......

Nakumbuka hata nchi kama za Tunisia, LIBYA, Misri na nyingine zilizojiingiza matatani na leo hii zinajuta.

Wananchi wake walikuwa hawataki kusikia baya lolote juu wa waliokuwa waasi, ndiyo haya haya Slaa anataka kuwahadaa Watanzania, hana lolote zaidi ya kutaka kujenga mazingira ya wao kuingiza silaha nchini kutoka kwa wahisani wao kwa ajili machafuko.

Hawa jamaa wajanja sana, baada ya kushikwa pabaya na Nape juu ya fedha haramu sasa na wao wanaanza kutapatapa, teh tehe tehe, nicheke mie.
 
tehe tehe tehe , Masopakyindi, unajua hyu SLAA nadahani anatumia nguvu za giza, haiwezekani kila utumbo anaousema, wapambe wake wanaukubali.
Kweli Mkuu ingekuwa vizuri wapambe wake humu JF wangemshauri aendelee kula honeymoon na kile chombo kipya ili akili iweze kurudi na kumbukumbu nzuri.
La sivyo huyu kasisi mstaafu atawaomba wanywe sumu, na kuna watu humu JF watakunywa tu.
 
natii sna akili yangu kwn ndio inayoniajiri........... am self made
Kweli akili yako ndiyo inakuajiri, sawa ila sasa tunaongelea facts, unapoanza kutukana humu JF unonekana huna mchango wa kujenga bali umeregister ili kuonesha ulivyo na tabia isiyofaa kuigwa na jamii, sina haja ya kulumbana na mtu kama wewe.
 
Hilo siyo kwa CCM tu mkuu, Hivi hujui ndani CDM kuna makundi ya vijana pia? kuna lile la ZITTO na MDEE na lile la NASSARI na LEMA?

Katika Mazingira ya sasa ambapo wanatuhumiwa kuwa na makundi wanayoyapa silaha, alitakiwa kukana moja kwa moja kwamba hakuna kitu kama hicho, lakini yeye alisema makundi hayo huwa yapo wakati wa chaguzi lakini sio sasa, bila kujijua mimi kanieleza kwamba ni kweli mauaji yaliyofanyika Igunga na Arumeru mashariki yalikuwa organized from the high official offices.
 
Mkuu ina maana hiyo bunduki J137 haiui binadamu? ..... ha haaaa haaaa

Vichaa ni wengi jamani

umeona ee!!
ahhaahhaaa..mie naingiaga hli jukwaa ili nicheke tu.
Kazi ipo kujikomboa TZ.
 
Tumieni akili ndugu zagu!
Dr Slaa anarusha cheap shots.
Kumbu kumbu hazijatoweka kwamba miaka miwili tu iliyopita alikuja na imagination ya makontena ya chama tawala kuingia nchini.
Huwa anaota vibaya mzee huyu, ama sivyo ni kujitakia kesi za kumweka busy,Chadema hakuna kazi.
Ukimpa kazi ya kuhudhuria mahakamani bure ni kumpa umaarufu bure tu
Mzee Slaa endelea kuota.
Kesho ataota ma-scud ya chama tawala yanavyo mzengea.
nani anarusha hard shots?? Nepi?
 
Mbona hapa kuna upuuzi mtupu.
Andiko lote haluna fact hata moja kusubstantiate hizi serious allegations.

Ndo matatizo ya monologue, wanakijiji watshangilia tu Dr Slaa.
Leo akija mtu akasema CDM wameficha mabomu sehemu fulani kwa kujiandaa na uchaguzi , bila vielelezo si mtaamini ? Au siyo
Mkuu kama wewe una uhakika kuwa ni upuuzi wakati anayeongea hadharani yupo, mpeleke mahakamani, ukiushambulia kwa kujificha chini ya kitanda huo unaouamini kuwa ni upuzuuzi wakati mwenzako anataka ulielie halafu aseme zaidi watu wenye akili watakuona wewe ndiye mpuuzi. Mzibe mdomo kwa kumpeleka mahakamani, kwanza mahakama yenyewe si ni ileile wanayopewa waendeshaji kwa zawadi nao watawaenzi kwa kuwatetea tu? Mnaogopa nini? Mh. Lisu kasema yooooooote, hakuna aliyejibu mapigo, walidhani hataweza lakini kawakaanga maini kwa mafuta yao wenyewe. Mkilalamikia mvunguni sisi tutajua kisemwacho ni kweli kabisa. Mliyo waitu?
 
Inakuwa vigumu kuamini hizo tuuma ama ni propaganda.
Sasa propaganda wakat mtu amekupa hadi ushahidi wa training yenyewe inapotolewa,silaha waliyokutwa nayo namba zake na wanasema wanacubiri tena ccm wakiendelea watatoa evid zaidi.hiki c kipindi cha watu kubwabwaja tu bla ushahidi watu wako na ushahidi bwana.
 
Mkuu kama wewe una uhakika kuwa ni upuuzi wakati anayeongea hadharani yupo, mpeleke mahakamani, ukiushambulia kwa kujificha chini ya kitanda huo unaouamini kuwa ni upuzuuzi wakati mwenzako anataka ulielie halafu aseme zaidi watu wenye akili watakuona wewe ndiye mpuuzi. Mzibe mdomo kwa kumpeleka mahakamani, kwanza mahakama yenyewe si ni ileile wanayopewa waendeshaji kwa zawadi nao watawaenzi kwa kuwatetea tu? Mnaogopa nini? Mh. Lisu kasema yooooooote, hakuna aliyejibu mapigo, walidhani hataweza lakini kawakaanga maini kwa mafuta yao wenyewe. Mkilalamikia mvunguni sisi tutajua kisemwacho ni kweli kabisa. Mliyo waitu?

Tayari SINGLE BOY anakesi kibao mahakamani dawa ni kumpotezea tu.
 
Ni mtu mjinga mjinga tu anaweza kuamini hii trend of thoughts, kuwa silaha moja ndo ina wawinda viongozi wa CDM wakati mwenyewe DrSlaa alikutwa ana mbili!

Wakuu April Fools day ilishapita!

Kama CCM wameonewa, si watatumia sheria zilizopo kuwataka wanaowatuhumu watoe ushahidi kuzithibitisha allegations zao? Na kama hawatafanya hivyo hatutakuwa na sababu za kutoamini kuwa hizi allegations ni za kweli! Halafu pia huwezi kujitakasa kwa kumtuhumu aliyekutuhumu kabla hujathibitisha tuhuma zinazokukabili kwanza...Kusema Dr. alikutwa na silaha mbili ilhali tuhuma ulizotupiwa hujazisafisha haitakuondoa kwenye msingi kwamba wewe ni mtuhumiwa. Kama ndivyo, ulipoziona ulichukua hatua gani? Be critical!
 
07ragekam.jpg

2015 naona wamejiandaa na "vita" unaomba kura kwa bastora? grrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr!!!!
 
Back
Top Bottom