Andrew Nyerere
JF-Expert Member
- Nov 10, 2008
- 3,007
- 2,429
Dr. Slaa anasema,akichaguliwa kuwa Rais,CHADEMA itakuja na treni inayoweza kutoka Mwanza mpaka Dar kwa muda wa saa tatu. Anasema hii ni ''bullet train'' ambayo mfano wake ameiona katika nchi zinazoendelea. Anasema kuna treni zinakwenda mbio kuliko ndege inavyokwenda wakati wa take off. Lakini spidi hiyo ya ndege katika take off haiiwezeshi treni kutoka Dar mpaka Mwanza kwa Mwanza wa saa tatu.
Kwa hiyo swali langu ni kwamba Dr. Slaa alipokuwa anasema atakuja na treni ya ajabu,alikuwa anaongea nini? It was an extravagant statement kwake Dr Slaa kusema treni yake itatoka Mwanza mpaka Dar kwa muda wa saa tatu. And what I am going to say now is also extravagant. Labda Dr. Slaa anahitaji kupimwa akili.