Kwa mujibu wa SGR kutoka Dar kwenda Mwanza na Kigoma ni saa 7 tu

toplemon

JF-Expert Member
Mar 26, 2017
4,581
4,631
Kwa mujibu wa SGR kutoka Dar kwenda Mwanza na kigoma ni saa 7 tu

Kwa mujibu wa reli yetu kwenda Mwanza na kigoma itagharimu saa 7 tu au saa 8 kizidi sana masaa 9

Maana treni si rinatembea kilometa 160 kwa saa?

Sasa hapo kwa hesabu ni kuwa tunafika mwanza kwa halaka sana

Nataman ifike kanda ya Ziwa niwe naenda nyumbani kwa halaka sana
 
Kilometa 160 kwa saa ni theory tu. Kuna vituo njiani unakuta kituoni chuma inasimama 25 minutes tuseme vipo vituo 10 ni almost 250 minutes.

Uje kwamba at Max speed consumption ya umeme inakua kubwa, kwahiyo watakua wanaendesha economically 65 to 85 kph kwahiyo mzee tatizo pale pale.
 
Duuuh
 
Back
Top Bottom