Danadana za Serikali kwenye kuanza kutumika kwa Treni ya SGR kipande cha Dar - Moro, nini kinaendelea pande hizo?

Miss Zomboko

JF-Expert Member
May 18, 2014
4,502
9,280
Ujenzi wa reli hii ya kisasa kwa awamu ya kwanza kati ya Dar es salaam - Morogoro (Km 300), ulizinduliwa na Rais wa awamu ya tano, John Pombe Magufuli Aprili 12, 2017. Ilielezwa ujenzi wa mradi huu ungekamilika ndani ya miezi 30 mpaka kufikia Novemba 2019, haikuwezekana.

Uliongezwa muda wa miezi 18 mpaka Aprili 2021, ikashindikana pia. Aliyekuwa waziri wa Ujenzi wakati huo, Leonard Chamuriho akaeleza reli hiyo ingeanza kufanya kazi ndani ya miezi minne, yaani Agosti 2021, ikashindikana tena.

Maelezo zaidi yakaonesha ingeanza kufanya kazi Disemba 2021, na waziri wa ujenzi na uchukuzi, Makame Mbarawa wakati akieleza mafanikio ya miaka 60 ya sekta ujenzi na uchukuzi.

Januari 17, 2022 Msemaji Mkuu wa Serikali ya Tanzania, Gerson Msigwa akaeleza awamu ya kwanza ya kipande cha Dar es Salaam-Morogoro utakamilika na majaribio yataanza April, 2022.

September 2022, Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Atupele Mwakibete, alisema Treni ya umeme kutoka Dar es Salaam, hadi Morogoro itaanza kufanya kazi rasmi mwezi Februari 2023, kwani vichwa vya Treni, mabehewa ya abiria na mizigo yanatarajiwa kufika nchini mwezi Novemba.

Mei 2023, Serikali kupitia Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi ilisema imepokea mabehewa sita ya reli ya kisasa ya (SGR) ambayo yamewasili kutoka nchini Ujerumani tayari kwa kuanza majaribio Juni 2023.

Kimya kizito mpaka sasa, kwani nini kinaendelea huko?

Majibu ya TRC haya hapa - TRC: Kichwa cha Treni ya SGR kimefika Bandarini, Majaribio ya safari ya Dar - Moro yataanza hivi karibuni
 
sio kwamba wamiliki wa mabasi ndio wana sabojeji?
 
Wanasubiri 2024/2025
 
SGR na Stiglers ni White elephants
 
IMG_0330.jpg
 
ccm ni majizi mkuu
 
Niliona walitaja bei ya SGR Dar-moro buku 30 huku mabasi hutoza buku 10!

Nafikiri sisi wabongo Nyerere Kuna kitu alitufanyia sio Bure!! Yaani mambo mazuri hatuyataki, maendeleo Yako mdomoni! Nani atapanda hizo treni? Nyerere Dam ndie pacha wa SGR na wenye vipara Hawataki bwawa liishe kama vile wataishi duniani milele!
 
Yaani hii inji ina watu wa hovyo sana. Ndio nini hizi sasa.

Kuhusu ahadi, hapo unaona kuna wasemaji zaidi ya 6 wanatupa ahadi ya jambo moja. Ni Tanzania tu haya mambo yanafanyika.
Siku maajabu yakiisha bongo itakuwa mwisho wa Dunia!!

Kuna baadhi ya Viongozi Bado wanadhani wanaongea na Yale mazuzu Ya kipindi kile Cha kupata uhuru! Wale walioliwa na Simba kuanzisha vijiji vya ujamaa maporini! Sijui nani huwatuma Hawa watu kuongea vitu visivyo na uhalisia! Sijui Huwa wanamwambia nani uongo wao! Ni Bora wakae kimya tu!! Wanaboa kinoma!
 
Back
Top Bottom