Dr. Slaa na treni ya Mwanza-Dar

Andrew Nyerere

JF-Expert Member
Nov 10, 2008
3,008
2,429
Dr. Slaa anasema,akichaguliwa kuwa Rais,CHADEMA itakuja na treni inayoweza kutoka Mwanza mpaka Dar kwa muda wa saa tatu. Anasema hii ni ''bullet train'' ambayo mfano wake ameiona katika nchi zinazoendelea. Anasema kuna treni zinakwenda mbio kuliko ndege inavyokwenda wakati wa take off. Lakini spidi hiyo ya ndege katika take off haiiwezeshi treni kutoka Dar mpaka Mwanza kwa Mwanza wa saa tatu.
Kwa hiyo swali langu ni kwamba Dr. Slaa alipokuwa anasema atakuja na treni ya ajabu,alikuwa anaongea nini? It was an extravagant statement kwake Dr Slaa kusema treni yake itatoka Mwanza mpaka Dar kwa muda wa saa tatu. And what I am going to say now is also extravagant. Labda Dr. Slaa anahitaji kupimwa akili.
 
Umeyasikia wapi haya mzee wa chama la kijani?
 
Hapana mkuu, its a matter of time! Mimi mwenyewe nafanyia research yangu ya hayo madude! inawezekana ila kwa sababu unaonekana uko negative thinking (maana ulishaingiza kupima akili) kuwa ni cha ajabu ndo maana unaungana na hao wanaosema kusomesha mtanzania bure toka chekechekea hadi tu form six haiwezekani wakati mambo hayo yanawezekana.

Watu tumechelewa, wewe unasema apimwe akili!! :coffee:
 
labda wewe ndio unahitaji kuwaza zaidi kuhusu akili yako, kwanza hesabu pana vituo vingapi kati ya dar na mwanza, kisha calculate muda, tumia train simple kama x2000 ambayo speed yake ya kawaida ni 250km/hr inaweza kwenda hadi 300km/hr, pia ipe muda kuwa walau itasimama dakika 5 hadi 10 kila kituo...., penye nia pana njia, sema tu longolongo za ccm zimekuharibu kichwa..., kila linalowezekana linaonekana ndoto za alinacha! kama naweza safiri kwa landrover tu toka dar hadi mwanza kwa kutumia njia ya kati kwa kutumia masaa 10, kwa nini train isiweze kwa masaa 3??
 
BEIJING, Aug. 2 (Xinhua) - China's first high-speed (HS) rail line, the Beijing-Tianjin Intercity High-Speed Rail, has carried 40.96 million passengers since it began operating two years ago, a statement from the Ministry of Railways said Monday.

The HS line, launched on Aug. 1, 2008, is capable of transporting up to 125,000 passengers per day between the two cities in north China, the statement said.

Designed with a maximum running speed of 350 km/h, the bullet trains reduce travel time between Beijing and Tianjin to only 30 minutes, compared to the normal 3-hour journey by road.

The fast track has also brought Tianjin city more visitors from Beijing and neighboring areas during the past two years, providing a boost to local commerce, trade, tourism, and services industries, the statement said.

A survey by the Tianjin Commission of Commerce showed shopping accounted for almost 34 percent of the total spending by passengers who are traveling on the rail line to Tianjin.

Retail sales in Tianjin soared 21.5 percent in 2009 year on year to 243 billion yuan. Retail sales in the first half of the year also expanded by 19 percent over the same period of last year to reach 139.4 billion yuan.

Further, boosted by the rail link, foreign investment already spent by Tianjin jumped 20 percent in the first half, reaching 5.9 billion U.S. dollars, the statement said.

Passengers on the line have also diversified to include businessmen, tourists, students, and others who want to experience traveling by high speed train.

kwani kuna umbali gani kati ya Dar-Mwanza?

Well umbali wa treni toka Dar to Mwanza ni Kilomita 1229 Hii ni sawa na Maili 764 hivi. Matreni ya kawaida ya Diesel yapo yanayoweza kwenda hadi Kilomita 200/h sawa na 125/h. Kwa kutumia treni hii tuu kwa mwendo kasi ni wazi kuwa mtu anaweza kuondoka Dar na kufika Mwanza siku hiyo hiyo kama ilivyo kwa mabasi.

Lakini kwa kutumia treni ya umeme ambayo yapo yanayoenda hadi kilomita 350/hr ina maana tayari humu humu duniani yapo matreni na teknolojia ya kuweza kufanya mtu kusafiri kutoka Dar hadi Mwanza ndani ya masaa matano (tukiweka na muda wa kupumzika n.k).

So ilani ya Chadema na ahadi za Chadema hawajajaribu kuahidi kitu kisichowezekana kwa teknolojia ya leo.
 
Kwani hilo la treni ya Dar-Mwanza itakayotumia masaa 3 wameahidi kulikamilisha ndani ya muda gani?

Kama muda sio kigezo kila kitu kinawezekana, binafsi nitashawishika au kuungana na Ganeshi kwa kuzingatia tu muda walioahidi kulikamilisha hilo!!
 
Dr. Slaa anasema,akichaguliwa kuwa Rais,CHADEMA itakuja na treni inayoweza kutoka Mwanza mpaka Dar kwa muda wa saa tatu. Anasema hii ni ''bullet train'' ambayo mfano wake ameiona katika nchi zinazoendelea. Anasema kuna treni zinakwenda mbio kuliko ndege inavyokwenda wakati wa take off. Lakini spidi hiyo ya ndege katika take off haiiwezeshi treni kutoka Dar mpaka Mwanza kwa Mwanza wa saa tatu.
Kwa hiyo swali langu ni kwamba Dr. Slaa alipokuwa anasema atakuja na treni ya ajabu,alikuwa anaongea nini? It was an extravagant statement kwake Dr Slaa kusema treni yake itatoka Mwanza mpaka Dar kwa muda wa saa tatu. And what I am going to say now is also extravagant. Labda Dr. Slaa anahitaji kupimwa akili.

Nadahani wewe ndiyo ukapimwe akili, by the way zile ndege za jeshi mpya vipi hamjanunua bado??????
 
Ama kweli watu mnakosa kazi yaani katika maswali yoote mnayoweza kuuliza hili la Treni kwenda Mwanza kwa masaa matatu ndio limekuwa hoja ya mgombea kweli. Jamani eeeh, mimi nachoomba ni reli ya kati na kaskazini zifanye kazi. haya ya masaa wala sina utaalam nayo kwani nchi yangu sasa hivi imetumbukia ktk shimo la choo - Inanuka..

Nchi haina usafiri isipokuwa wa malori, uchumi wetu umelala vibaya sana kazi kudanganywa tu kwamba uchumi unakuwa hali nchi nzima Usafiri, maji, Umeme yote sii mahitaji tena ila ni ndoto na tumerudi ktk maisha ya Ujima, leo hii taabu kubwa kuliko hata wakati wa Nyerere.
 
Nimeishi duniani sasa ni robo karne, siku zote nasikia kuna mpango wa reli toka Tanga-Arusha-Musoma-Mwanza, then inaunganisha ziwani hadi Uganda, yote ni mipango kwenye sera za ccm, hii lini itafanyiwa kazi? Bandari ya Musoma kama vile Ilizikwa!
 
Yaani wee acha tu!
 
Ganesh wewe ulipopimwa mara ya mwisho walikuambia umepona? Kama walikuambia hivyo basi nadhani hao jamaa sio makini a'la Jakaya!!
 
Ilani ya Chadema inasema hivi kuhusu hili:

o
Kuboresha usafiri wa reli ya kati na reli ya Tanga, Moshi hadi Arusha ili hatimaye iweze kuwa njia ya haraka, nafuu na ya starehe katika ya miji hiyo na Dar. Hii itakuwa ni pamoja na kurudisha Mamlaka ya Reli ya Tanzania (TRA) na kuhakikisha mamlaka hiyo inajiendesha kibiashara kwa kushirikiana na sekta binafsi.

Hivyo inaaidiwa reli ya kati na hizo nyingine kuwa ni "za haraka, nafuu na ya starehe"... Kwa hiyo hata ikiboreshwe na kuwa safari ya siku moja kwa treni Kitu ambacho kinawezekana hata ndani ya mwaka mmoja tu basi ni bora kuliko sasa.. fikiria kuwa na safari mbili za kwenda Mwanza na mbili za kwenda Dar kila siku.. moja inaondoka mchana nyingine inaondoka usiku..
 
Unafananisha na BASI mkuu; very dangerous kutoelewa tren za kasi zinakimbia vipi; na kumbuka hii ni investment kubwa sana

Ni investment kubwa na linaweza kukuza uchumi kwa kasi kubwa. Hii kitu inawezekana, Dr Slaa kasema ni mpango mkakati, ni nia njema kabisa. Na inaonyesha jinsi gani serikali inavyoweza kurudisha uchumi kwa wananchi kwa njia kama hizo.

Sema watanzania wengi bado tunaamini mambo lazima yaanzie kwa wazungu harafu sie watumiaji, lakini kumbe tunaweza kuwa nchi ya kwanza katika mambo fulani tukajivua nchi yetu na siyo kuwa soko la kila kibovu.
 
Nchi haina usafiri isipokuwa wa malori, uchumi wetu umelala vibaya sana kazi kudanganywa tu kwamba uchumi unakuwa hali nchi nzima Usafiri, maji, Umeme yote sii mahitaji tena ila ni ndoto na tumerudi ktk maisha ya Ujima, leo hii taabu kubwa kuliko hata wakati wa Nyerere.

mwanzo nilidhani unaongelea watu wa mwanza tu, kumbe hata sisi wa DSM matatitzo ni yaleyal, nimefikiria roho ikaniuma sana. tunaishi kwa mazoea

1. maji yanatoka siku moja siku nyingine hayatoki, kwa hiyo inabidi uwe na tank ili uweze kupata maji kila siku bila kulazimika kwenda kuchota mbali.
2. umeme unakatika kila siku mjini kwa sme hii hali inarudisha nyuma sana, watu wengi ambao wanafanya kazi kwenye haya makampuni makubwa hawajui kwa ajili ya genereta.
3. usafiri need i say more
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom