Dr. Slaa na treni ya Mwanza-Dar

Tuache ushabiki, kujenga reli mpya na kununua trains mpya za kuweza kwenda masaa matatu mpaka Mwanza ni ndoto ya mchana na hiyo kazi haiwezi kufanyika within five years kwa Tanzania.

Trains zinazoenda speed ya 300km/h ni chache sana hapa duniani na kwa sehemu kubwa ni China na Japan na mara nyingi zinakuwa direct trains yaani hazisimami sehemu wala njia yake inakuwa haina kupishana na trains zingine. Je hata tuna watu wa kupanda trains kama hizo toka Dar mpaka Mwanza bila kusimama njiani au kusimama kituo kimoja tu?

Kiongozi ambaye atajenga upya reli ya kati ili iwe chini ya masaa 12 kufika Mwanza au Kigoma au Mbeya tokea Dar atakuwa amefanya la maana sana kwa taifa.

Tatizo la wanasiasa wetu wameona hata wakiahidi uwongo hatuwezi kuwauliza maswali magumu na badala yake tunawapigia makofi.
 
Nadhani wewe uko dunia nyingine na hujui kinachoendelea, alichosema Dr. Slaa ni kwamba chadema itakuja na mkakati wa kuwezesha kupata treni iendayo kasi. suala la saa tatu ni relative, uwe unaelewa na kusoma ilani za vyama.
 
Huwezi kuleta trains ziendazo kasi bila kujenga reli kwanza. Kazi ngumu hapo ni kujenga reli ambayo inaweza kuhimili trains ziendazo kwa kasi na hapo ndipo kwenye tatizo kubwa. Ukisema trains ziendazo kasi bila kutaja muda unakuwa hujaongea kitu. Kwa mwendesha baiskeli, huenda Bajaji inaenda kasi.

Yeye Dr. Slaa alikuwa anaongelea trains tunazoziona kwa wenzetu hasa China na Japan. Ukiona vinaelea jua vimeundwa. Kuna massive investment kwenye projects kama hizo na sio kitu cha kuamua leo na miaka mitano eti kiwe kimefanyike.

Kwa TZ hata tukijenga reli za kawaida zenye uwezo wa kwenda spidi ya 150km/h itakuwa ni hatua kubwa mno na itasaidia kusukuma maendeleo mbele.

Ahadi za hawa wagombea zimezidi mno!
 
Dr. Slaa anasema,akichaguliwa kuwa Rais,CHADEMA itakuja na treni inayoweza kutoka Mwanza mpaka Dar kwa muda wa saa tatu. Anasema hii ni ''bullet train'' ambayo mfano wake ameiona katika nchi zinazoendelea. Anasema kuna treni zinakwenda mbio kuliko ndege inavyokwenda wakati wa take off. Lakini spidi hiyo ya ndege katika take off haiiwezeshi treni kutoka Dar mpaka Mwanza kwa Mwanza wa saa tatu.
Kwa hiyo swali langu ni kwamba Dr. Slaa alipokuwa anasema atakuja na treni ya ajabu,alikuwa anaongea nini? It was an extravagant statement kwake Dr Slaa kusema treni yake itatoka Mwanza mpaka Dar kwa muda wa saa tatu. And what I am going to say now is also extravagant. Labda Dr. Slaa anahitaji kupimwa akili.

Labda inawezekana mkubwa usiseme haiwezekani. swali au hoja inaweza kuwa ni kwa muda gani atawezesha hili?

  • Umbali kutoka Dar- Mwanza ni km kama 900 Km hivi?
  • Mwendo kasi wa treni mkubwa zaidi duniani ni kama Km 200 kwa saa ( wachina)
Kwa treni ya kisasa ya wachina na mundombinu ya kisasa inaa maana da-mwanza/kigoma itakuwa si chini ya masaa ma 4 na dk 30. Hili sio rahisi kihivyo.

Lakini Safari kati ya mwanza na dar imekuwa almost 48 hrs kwa miaka kibao. Serikali ya CCM wala haioni tatizo. siku mbili za usafiri wa treni wanaona ni kitu cha kawaida kabisa.

Realistic
target ya kuanzia Dr aliyotakiwa kusema walau ni 24 hrs or 12 hrs. 4hrs kati ya dar mwanza may be in 15 years.

Inakera sana kuona reli ambayo ndio uti wa mgongo kuliko hata anga haipewe priority. Sijui kama CCM wamewai kuwa na target ya upunguza muda safari kati dar mwanza na kigoma.

Yaani kwa kufanya hata safari ya dar mwanza na kigoma kuwa hata 24 hrs, udhaifu wa bandari yetu utafichwa kiasi na hivyo kuvuta baadhi ya watuamiji kutoka ya rwanda, uganda na burundi wanaotumia bandari ya mombasa
 
Dr. Slaa anasema,akichaguliwa kuwa Rais,CHADEMA itakuja na treni inayoweza kutoka Mwanza mpaka Dar kwa muda wa saa tatu. Anasema hii ni ''bullet train'' ambayo mfano wake ameiona katika nchi zinazoendelea. Anasema kuna treni zinakwenda mbio kuliko ndege inavyokwenda wakati wa take off. Lakini spidi hiyo ya ndege katika take off haiiwezeshi treni kutoka Dar mpaka Mwanza kwa Mwanza wa saa tatu.
Kwa hiyo swali langu ni kwamba Dr. Slaa alipokuwa anasema atakuja na treni ya ajabu,alikuwa anaongea nini? It was an extravagant statement kwake Dr Slaa kusema treni yake itatoka Mwanza mpaka Dar kwa muda wa saa tatu. And what I am going to say now is also extravagant. Labda Dr. Slaa anahitaji kupimwa akili.

Unacholalamika au unacho-question ni nini? Kama uwezo wa masaa matatu inawezekana kwanini nyie rangi ya kijani ahadi mlizotoa toka mwaka 2005 mbona hadi leo hazijakamilika
 
Dr. Slaa anasema,akichaguliwa kuwa Rais,CHADEMA itakuja na treni inayoweza kutoka Mwanza mpaka Dar kwa muda wa saa tatu. Anasema hii ni ''bullet train'' ambayo mfano wake ameiona katika nchi zinazoendelea. Anasema kuna treni zinakwenda mbio kuliko ndege inavyokwenda wakati wa take off. Lakini spidi hiyo ya ndege katika take off haiiwezeshi treni kutoka Dar mpaka Mwanza kwa Mwanza wa saa tatu.
Kwa hiyo swali langu ni kwamba Dr. Slaa alipokuwa anasema atakuja na treni ya ajabu,alikuwa anaongea nini? It was an extravagant statement kwake Dr Slaa kusema treni yake itatoka Mwanza mpaka Dar kwa muda wa saa tatu. And what I am going to say now is also extravagant. Labda Dr. Slaa anahitaji kupimwa akili.
HUYO MROPOKAJI AVERAGE YA GHARAMA ZA KUJENGA. HIGH SPEED TRAIN NI 25-39 million Usd kwa KILOMITA MOJA Sasa Zidisha Mara Kilomita Zaidi ya 1000 za Dar Mwanza Atwambie Hizo USD 25,000,000,000 DOLA BILIONI 25 angezitoa Wapi kwenye TAASISI Gani ??? Kama DOLA BILIONI 2 tu za Bomba la Gesi TUMEZUNGUKA MIAKA MPk China Kupitia EXIM WALIPOTUOKOA??? Anapenda Kuropoka Majukwaani ILI ASHANGILIWE TU Hajui ht Asemacho
 
Dr. Slaa anasema,akichaguliwa kuwa Rais,CHADEMA itakuja na treni inayoweza kutoka Mwanza mpaka Dar kwa muda wa saa tatu. Anasema hii ni ''bullet train'' ambayo mfano wake ameiona katika nchi zinazoendelea. Anasema kuna treni zinakwenda mbio kuliko ndege inavyokwenda wakati wa take off. Lakini spidi hiyo ya ndege katika take off haiiwezeshi treni kutoka Dar mpaka Mwanza kwa Mwanza wa saa tatu.
Kwa hiyo swali langu ni kwamba Dr. Slaa alipokuwa anasema atakuja na treni ya ajabu,alikuwa anaongea nini? It was an extravagant statement kwake Dr Slaa kusema treni yake itatoka Mwanza mpaka Dar kwa muda wa saa tatu. And what I am going to say now is also extravagant. Labda Dr. Slaa anahitaji kupimwa akili.
Andrew Nyerere vipi ulishakunywa sumu?RIP
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom