Dr Slaa mgeni rasmi Kongamano la Wanafunzi Chuo Kikuu Cha Mzumbe Morogoro

Tunafatilia ya Mzumbe. Tupo pamoja mkuu.

Mkeshaji,

Kwa kweli inatia moyo sana.Najua hofu ya watawala utaisikia soon.Utawala dhaifu siku zote ukishindwa kushawishi wanafunzi hasa wa vyuo vikuu huanza kutumia vitisho na kuwatungia sheria kandamizi.Harakati nyingi za ukombozi wa bara la Afrika ziliasisiwa vyuoni.Akina Dr.Kwame Nkrumah (RIP true son Of Africa),JK Nyerere,Samora Machel,Joshua Nkomo etc.Hata Museveni tunayemuona leo pamoja na mapungufu yake,alitoa mchango mkubwa kwa Uganda ktk harakati Tangu akiwa UDSM.nje ya Afrika kuna Akina Ahmedjad wa Iran ya sasa n.k

Wanafunzi ndiyo injini ya Mabadiliko,Mapinduzi ya kweli.Tuko pamoja,tupeane hamasa,tupeane Moral support.
 
Dr Slaa like Dr Martin Luther King Jr for Tanzania, big up our Presider in our hearts. Ukombozi ndani ya nyumba
 
Mwaka 1986, nilikuwa chipukizi wa chama cha mapinduzi nikashiriki ufunguzi wa ofisi mpya za ccm katika kijiji kimoja. Nakumbuka ofisi hizo zilifunguliwa wakati wa mbio za mwenge wa uhuru, namkumbuka kiongozi wa mbio za mwenge kitaifa alikuwa Ali. H. Shaari. Mwaka 2006 nilitembelea tena eneo hilo, dah! ofisi ilishabomoka na ccm ilishaanza kumegukameguka na ukarabati ukiwa haufanyiki. Nilitafakari kwa dhati nikagundua kuwa kumbe kazi si kuzaa kazi ni kulea. Naomba nitumie uzoefu huo kumshauri Dr.Slaa awasihi wanachama wa cdm kote wanakopita kuwa jukumu kubwa ni kuyalea matawi hayo na hapa naikumbuka kauli mbiu ya uhuru ni kazi na pia nakumbuka ile ya uhuru na kazi. Kuna baadhi ya maeneo ambayo cdm wamekubalika na watu wamehamasika, bahati mbaya hawajui waanze vipi ili kujijenga, kujiimarisha na kuna hatari wakapoa wakisubiri uchaguzi.
 
Kongamano limeanza about two hours ago.Dr Azaveli Lwaitama naye ndani ya nyumba.Ndiye anahutubia hivi sana.Amepiga nondo kali sana kwa vijana. Baada ya Kongamnao hili la Wanafunzi tutakwenda kuzindua tawi and the tutakuwa na mkutano wa hadhara.
 
Nakubaliana na wewe kabisa soma post yangu #25
 
Kongamano limeanza about two hours ago.Dr Azaveli Lwaitama naye ndani ya nyumba.Ndiye anahutubia hivi sana.Amepiga nondo kali sana kwa vijana. Baada ya Kongamnao hili la Wanafunzi tutakwenda kuzindua tawi and the tutakuwa na mkutano wa hadhara.

Get up- stand up- tara tara.... (do I hear) ..stand up for your right!!!
 
MZUMBE?? Kweli CDM itashika dola,kwa uzoefu wangu wa uongozi vyuo vikuu ilidhihirika mzumbe ni Ngome ya CCM.
BRAVO CDM
 
Mh. Regia Mtema mbona umepotea? Au hapo Mzumbe hakuna network. Tunaomba update tafadhali mlioko huko.
 
asante mkuu tutumie picha za matukio huko tuone jinsi rais wetu anavyopiga kazi
 
wameshindwa kumbania-nakumbuka mwaka juzi alitakiwa aje zitto kabwe hapo mzumbe-lakini kuna mchakato ukapigwa-ikabidi aambiwe kuwa hakuna ukumbi na uzushi mwingine mwingi tu-wakati walishamkubalia-alilalalmika sana mana walimstop siku moja kabla ya siku iliyokuwa imepangwa-alilalamika kwamba ashaingia gharama-lakini hawakumsikiliza-nashukuru kwa Slaa kufika hapo
 
Kongamano limeanza about two hours ago.Dr Azaveli Lwaitama naye ndani ya nyumba.Ndiye anahutubia hivi sana.Amepiga nondo kali sana kwa vijana. Baada ya Kongamnao hili la Wanafunzi tutakwenda kuzindua tawi and the tutakuwa na mkutano wa hadhara.
Dada hongera sana leo nimekuona laive! big up madame.
 
Mimi nijuaVyo, katika nchi hii wakati inaongozwa na Chancellor Kaduma ilikuwa ngome ya CCM. Sasa ghafla imekuwa tena ngome ya chadema. Kweli CCM wana kazi ngumu sana 2015
 
Back
Top Bottom