Elections 2010 Dr. Slaa in Mbeya (picha)

Kumbe na wewe umeishutukia mana mwaka 2005 ulipokuwa unapiga kura kwa Mgombea mwingine ukikunja inaamia kwa KIKWETE

Yeah Dr. Mvungi analijua sana hili pale Mlimani alipiga kura na mke wake matokeo yake yeye hakupata hata kura moja pamoja na mke wake.
 
ebwanaaaaa eeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeh Mungu kweli amesikia kilio chetu sisi walala hoi, kwa umati huu ni dhahiri shahiri CCM wamefulia mwaka huu, heko wana mbeya kwa kumsupport RAIS DR SLAA, kweli mmedhihilisha kuwa SIASA YA KWELI IKO MBEYA, siku ya kupiga kura atr 31 oktoba mjitokeze zaidi ya hapo ili tuwang'oe hawa MFISADI.Peoplesssssssssssssssssssssss Powerrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr.
 
Yeah!
I can feel the momentum!
Tutaanza upya.....Tutajipanga.....Tutatimiza wajibu wetu.....Tutawaachia watoto wetu urithi bora zaidi.....Tanzania yenye neema na mafanikio.
:llama:

"True freedom must be expressed through the human ability to think critically, to analyze and to make informed decisions about oneself, his society and the world "- Sidanganyiki2010
 
Walikuwa wanadai kuwa watu wanafuata helkopta, hapa mbona siioni? badala yake wanamshangilia yeye.
 
Natamani ningekuwa Mnyakyusa.
Wako against kabisa na ufashisti wa NDULI CCM.
Hata mimi naona hiyo ina ujumbe tosha kuwa wananchi washashtukia zawadi za siku moja ya kampeni then wanasubiri tena miaka 5. Watu wa Kyela wao wanasema Bye bye JK na Bajaji Zako!!!!
 
Naona Slaa anakimbiza kweli kweli!
In case sisiemu hawajui, Mbalizi ndio ngome kuu ya mgombea Ubunge wa Chadema wa Mbeya Vijijini kwa 2010, mheshimiwa Sabwee Shitambala. Kwa hiyo hapo upele umepata mkunaji.
 
Karibu Soko Matola, kwenye makao makuu ya CCM mkoa, uone jinsi watakavyosikitika baada ya kupiga kura zetu kwa Sugu na Slaa hapo tarehe 31.10.10
ebwanaaaaa eeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeh Mungu kweli amesikia kilio chetu sisi walala hoi, kwa umati huu ni dhahiri shahiri CCM wamefulia mwaka huu, heko wana mbeya kwa kumsupport RAIS DR SLAA, kweli mmedhihilisha kuwa SIASA YA KWELI IKO MBEYA, siku ya kupiga kura atr 31 oktoba mjitokeze zaidi ya hapo ili tuwang'oe hawa MFISADI.Peoplesssssssssssssssssssssss Powerrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr.
 
Mark my words, I am sure hakuna tatiza elsewhere other than katika mchakato wa kuhesabu, kujumlisha na kutoa matokeo. Hakina tactical team y Dr. Slaa, should go to the drawing board and come up with a bold, firm and result oriented strategy to overcome this process; it should bear in mind on the goverment threats as well.

Pamoja tutashinda, people power!!
 
Kweli bwana, tunataka Maggid atoe tathimini yake tena, maana alisema Slaa hakubaliki mikoa ya kusini. Atwambie wakati wa Kikwete kulikuwa na umati huo? Na ukizingatia hawa hawakuletwa na magari. Kazi ipo kwa CCM mwaka huu.

Achana na maggid ndugu yangu! maana katika msafara wa mamba kenge hawakosekani
Huyo Maggid kashiba sifa ndo maana anaweza kuandika kitu bila hata kusoma alama za nyakati. Inawezekana yuko katika group ya watu wa propaganda za CCM.
 
Mungu Ibariki Mbeya, Mungu Ibariki Tanzania Mungu mubariki Dr Slaa Prezident mtarajiwa
 
Walikuwa wanadai kuwa watu wanafuata helkopta, hapa mbona siioni? badala yake wanamshangilia yeye.

Hizo zilikuwa kelele za wanaccm, mbona nao sasa wanatumia helkopta lakini bado watu hawaendi na hata unaowaona ni wale waliolimwa vimemo na mabosi wao waende kumpokea rais
 

Yes it iz!
Hao jamaa hapo wako kikazi zaidi, usifikiri hawajajiandikisha, wana shahada za kura hao. Si unaona wanavyopinga khanga na pombe.

Well mkuu Idimi. I very well know it. I was just quoting what JK said after he was briefed by TISS of the campaign situation
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom