Elections 2010 Dr. Slaa in Mbeya (picha)

hehehehehehe... uwingi wa watu katika mkoa wa mbeya ndio unawapa matumaini ataingia ikulu.. anways tusubiri october 31st
 
Siyo siri Dr.Slaa anakubalika.

Ndiyo maana JK anaweweseka na kuanza kutumia vyombo vya usalama kuvidhibiti vyama vya siasa kama CHADEMA.
Mimi nasema mwaka huu kazi ipo,hakuna kulala mpaka kieleweke.

Kila lakheri Dr. Slaa na Wana-CHADEMA wote.

God bless you all.
In God we Trust.
 
Nimeambiwa hapa ni Uyole

slaa_uyole-1.jpg

CCM kinawaumaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!
 
Watanzania wamechoshwa na CCM na serikali yake ya kidhalimu.
Nilikuwa nawach documentary TBC leo kuanzia 730-8am ilikuwa ikiongelea wazee.
Kumbe just 4 % ya wazee ndo wanapata pension na wanaobaki hawapati.
No wonder viongozi wa CCM wanajilimbikizia mali bse wanajua serikali haitawajari.
Slaa ukiingia madarakani pls pls wazee na watoto uwape kipaumbele ni laana kuwaacha wakitapatapa
 
hehehehehehe... uwingi wa watu katika mkoa wa mbeya ndio unawapa matumaini ataingia ikulu.. anways tusubiri october 31st

Inshu siyo kusubiri bali kufikisha ujumbe kuwa serikali inayofanya hayawapi manufaa yeyote watanzania, wanazidi kuwapa ugumu wa maisha bila kuwapa mbinu sahihi za kuondokana na huo ugumu. Kiongozi kama kiongozi hapaswi kila mwaka kujisifu kwa kuomba omba!! Tumeomba mara ngapi na tokea lini tunaomba? Mpenda mageuzi ya kiuchumi atakuwa anajisikia furaha moyoni hata kama ananufaika na serikali.

Lakini hali ilivyo sasa ni mbaya, mwenye nacho anaongezewa na asiyekuwa nacho ananyang'anywa kila kitu. kweli ndo binadamu tunataka tuishi hivyo hapa duniani. kwa maoni yangu, ni bora kila mtu aka[ata mahitaji muhimu ya kila siku ili tuwe na amani moyoni kulikoni kujisifu wakati watu wengi wanahangaika kupata hata huo mlo wa siku.
 
Huo ndio mkoa wa WANYAMBALA hata Mwandosya na Mwakyembe wakileta longolongo ya kujidai kuwasifia mafisadi kwa kutaka ujiko watapigwa chini; wala sio masihala!! Acheni tabia mlioanza ya kujipendekeza kwa Kiwete kwani nyie ni watu ambao ni BLACKLISTED na wanamtandao!!
 
tunashukuru kwa Pic zenu wakuu tunaomba mtutumie za Mbeya mjini kama kunamtu anazo, nataka nione vijana wa mwenjelwa!
 
Kazi iliyopo na ni kubwa ni kulinda kura jamaa nasikia wameandaa karatasi za kichina.
 
Nimependa bango, Khanga, Tshirt, Kofia na POMBE si mahitaji ya watanzania! Hahahahahahaahha Kiwete lazima aanguke

Hata mimi naona hiyo ina ujumbe tosha kuwa wananchi washashtukia zawadi za siku moja ya kampeni then wanasubiri tena miaka 5. Watu wa Kyela wao wanasema Bye bye JK na Bajaji Zako!!!!
 
Sio wanajaa kwenye mikutano tu na kura wakampigie Slaa!
 
KIkwete ana kazi!!!! Pamoja na kuweka matangazo lukuki lakini bado hauziki!!! Watanzania hawadanganyiki mwaka huu.....Sura aishie kuwauzia kina makamba, kinana, rizi1,miraji,mkewe na UVCCM. Makamba anajickiaje anapoona mteule wake anazidi kuyoyoma...pamoja na tambo zake kuwa eti JK ni bora kuliko hata chama chake..... Urusi ya kikomunisti inakumbukwa sana kwa siasa za kifashisti lakini haijatokea kamwe mwenyekiti akawa maarufu kuliko chama chenyewe

Thumbs up Dr. Slaa
 
aminia. bila shaka wengi katika umati huo wana kadi za mpiga kura.
 
Ujumbe wa Kakobe kwenye Star TV jana ulibeba ujumbe mkubwa sana katika maisha yetu na sisi lazima tufanye mabadiliko mwaka huu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom