Elections 2010 Dr. Slaa in Mbeya (picha)

Niliwahi kuandika humu kwamba, Chadema ikicheza vizuri kuna kura nyingi sana pale Mbeya. na sasa nashauri kama sijachelewa kwamba, kuna haja ya Slaa kupiga kambi ya muda mrefu pale ili azungukie maeneo mengi zaidi yenye watu wengi.
 
And the truth is Dr Willibrod Slaa will be the FIFTH PRESIDENT of Tanzania... and the media behind Kikwete and his compatriots (fisadis) can quote us on that.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom