Khakha
JF-Expert Member
- Jul 15, 2009
- 2,982
- 1,009
na propaganda za CHADEMA zinarushwa na nani?? si ndo hawa jamaa hahahaha
mkuu mwaisoba. unaitetea tbccm, je unaogopa polonium 210 nini?
na propaganda za CHADEMA zinarushwa na nani?? si ndo hawa jamaa hahahaha
kitila ni maskini wa mawazo huwezi kuongoza kongamano la mawazo ya upande mmoja na ushabiki kiasi hiki hawa ndo wanaowatia ujinga vijana na kuwapa matumaini hewa, umoja wa kitaifa haujengwi hivyo kw Kejeli cjaona mawazo mapya tena na wasomi wengine wa chuo kikiongea pumba kbs, mfano kitila kutaka tbc kuonyesha kongamano hilo huku akijuwa kunA kilele cha mbio za mwenge na mh, raisi akihutuhutubia taifa .sasa cjuwi ni dharau au umaskini wa mawazo? atajaza mwenyewe.
Mapovu ya nini sasa?
Nimemsikia JK kupitia TBC ametaja jina la Mwalimu Nyerere mara mbili tu!
Nashangaa watu kutaka kuitumia vibaya siku ya mwalimu kufanya siasa au kuendeleza malumbano yasiyo na faida kwa nchi yetu. Kama ITV wakiamua kurusha makongamano ya Kitila Mkumbo Live na hii si mara ya kwanza hiyo ni ridhaa yao. Lakini kwenda mbali na kutaka kuwaghiribu wa Tanzania kuamini eti ITV ni ya Kitaifa zaidi hayo ni mambo ya mtu bunafsi anayesema hivyo na anajua anachokifanya. Si vema watu kutaka kuharibu hii siku muhimu ya Baba wa Taifa.
Mkuu Ng'wanangwa
Hapo kwenye red and Bold we lazima utakuwa na same Taaluma kama yangu
Acha kutoa hoja dhaifu!. Kitendo cha TBC kupendelea CCM badala ya kusimamia utaifa ndicho kinachopigiwa kelele!. TBC kupoteza mvuto hakuwezi kukuzuia wewe kuishabikia wakati wengine wanachukizwa. TBC ni msiba na janga la taifa!sawa ITV ni Television ya kitaifa, lakini swali taifa lipi? Au mzee Mengi ameachana na hii biashara. Apa mtufafanulie jamani tunapata maswali na itabidi tuwe makini sasa. Kumbe ndo maana. Nakumbuka kuna mtu alikwisha uliza makongamano ya Katiba ambayo yalikuwa yanaandaliwa na Kitila Mkumbo hapo Nkurumah Hall na kurushwa Live ITV siku nzima wakati huyo bwana Mkumbo akiwa kiongozi wa Udasa. Sasa hapa huu mjadala wa ITV nadhani unafika patamu endeleeni kunielimisha zaidi. Lakini ukweli utabaki pale pale television ya Taifa ni TBC hata kama unaishukia waTanzania tutaendelea kuiangalia. Mkubo mwenyewe na LWEITAMA kila UKIFUNGUA THIS WEEK PERSPECTIVE UTAWAKUTA.
Badala muwe na Chadema Tv mnalialia Kama watoto.Katibu mkuu kajenga Hekalu kuliko Makao Makuu ya Chama chenu.Nikipitaga pale Makao yenu utafikiri Banda la KUKU.
Nashangaa watu kutaka kuitumia vibaya siku ya mwalimu kufanya siasa au kuendeleza malumbano yasiyo na faida kwa nchi yetu. Kama ITV wakiamua kurusha makongamano ya Kitila Mkumbo Live na hii si mara ya kwanza hiyo ni ridhaa yao. Lakini kwenda mbali na kutaka kuwaghiribu wa Tanzania kuamini eti ITV ni ya Kitaifa zaidi hayo ni mambo ya mtu bunafsi anayesema hivyo na anajua anachokifanya. Si vema watu kutaka kuharibu hii siku muhimu ya Baba wa Taifa.
Jamani hata mkiwa CHADEMA ipendeni nchi yenu. Hata CHADEMA ikichukua nchi haina ubavu wa kuja kutuletea vitu vyao watatumia vitu vilivyopo tulivyovizoea. Hakuna mwanasiasa anayeweza kuja kupindua maisha ya wa Tanzania
Wewe endelea kulala tu, ukiamka utanijulishaJamani hata mkiwa CHADEMA ipendeni nchi yenu. Hata CHADEMA ikichukua nchi haina ubavu wa kuja kutuletea vitu vyao watatumia vitu vilivyopo tulivyovizoea. Hakuna mwanasiasa anayeweza kuja kupindua maisha ya wa Tanzania
TBC ni janga lingine la Taifa....Alichosema DrMkumbo ni kweli...! Wakishinda wapinzani, TBC ni moja ya taasisi ya kuvunjwa na kuitengeneza upya.
TBC ni kibaraka....TBC ya kweli ni wakati wa TIDO MUHANDO
Mapovu ya nini sasa?
Nimemsikia JK kupitia TBC ametaja jina la Mwalimu Nyerere mara mbili tu!
kila akifikiria kulitaja jina la mwalimu anahisi anameza sindano au wembe vile. Na kama kalitaja mara mbili bs kajitahidi sana. (hivi siku hizi haanguki ovyo)Hawezi kulitaja jina la Mwalimu Nyerere kwa moyo wake wote kwasababu ya madudu anayoyafanya ambayo hayaendani na mafundisho ya Mwalimu kwa jamii ya waTanzania. Mwalimu aliamini kuwa Taifa letu linaweza kuendelea kama tutakuwa na umoja wa dhati irrespective ya dini,rangi na kabila za watu; lakini leo huyu mkweree anatumia kuwagawa watu kwa misingi ya dini zao kama turufu yake ya kutaka kudumu madarakani!! Hivyo basi hawezi kumtaja sana Mwalimu kwasababu ya unafiki anaouendeleza wa kiuliangamiza Taifa lililojengwa na hayati Mwalimu kwa umakini sana.
sawa ITV ni Television ya kitaifa, lakini swali taifa lipi? Au mzee Mengi ameachana na hii biashara. Apa mtufafanulie jamani tunapata maswali na itabidi tuwe makini sasa. Kumbe ndo maana. Nakumbuka kuna mtu alikwisha uliza makongamano ya Katiba ambayo yalikuwa yanaandaliwa na Kitila Mkumbo hapo Nkurumah Hall na kurushwa Live ITV siku nzima wakati huyo bwana Mkumbo akiwa kiongozi wa Udasa. Sasa hapa huu mjadala wa ITV nadhani unafika patamu endeleeni kunielimisha zaidi. Lakini ukweli utabakali pale pale television ya Taifa ni TBC hata kama unaishukia waTanzania tutaendelea kuiangalia. Mkubo mwenyewe na LWEITAMA kila UKIFUNGUA THIS WEEK PERSPECTIVE UTAWAKUTA.