Dr. Kitila Mkumbo aipa ITV hadhi ya Television ya Taifa

Kwa sasa ndio inayoendana na umma. Yaani TV ya umma, angkuwa anauza shea ningenunua. TBC hata bure sichukui.
 
Mkuu: Kwa viwango vya TV zetu za hapa uswahilini, nadhani hadi sasa wanajitahidi kufanya vizuri. Na ule muungano wao na BBC inawaongezea kitu cha ziada sana.
 
Mnashindwa kuelewa kuwa TBC anamfuata TRC,ATC,NBC,TWICO na wengineo wengi,Mungu aziweke ROHO zao mahali pema peponi AMINA.
 
Back
Top Bottom