na kutetea mwenge mara ngapi?Mapovu ya nini sasa?
Nimemsikia JK kupitia TBC ametaja jina la Mwalimu Nyerere mara mbili tu!
na kutetea mwenge mara ngapi?Mapovu ya nini sasa?
Nimemsikia JK kupitia TBC ametaja jina la Mwalimu Nyerere mara mbili tu!
Badala muwe na Chadema Tv mnalialia Kama watoto.Katibu mkuu kajenga Hekalu kuliko Makao Makuu ya Chama chenu.Nikipitaga pale Makao yenu utafikiri Banda la KUKU.
Yani inakera ITV ndo ilitutoa matongotongo ya television hapa tz lakini kila siku yarudi nyuma kazi kufukuza wafanyakazi tu!! ilitakiwa toka ilipoaanza miaka ile ya 90 mpaka leo iwe imesambaa nchi nzima lakini wapi??? Kama tatizo ni fedha au inafanya kwa hasara wauze share bana! siku hizi hata huku arusha sometimes kuipata tabu! hawa wakurugenzi wake vipi bana!! kazi kula tu hawana vision mnashindwa na wapiga disko wa clouds wanaonyesha progress. Mnaudhi bana.
Nashangaa watu kutaka kuitumia vibaya siku ya mwalimu kufanya siasa au kuendeleza malumbano yasiyo na faida kwa nchi yetu. Kama ITV wakiamua kurusha makongamano ya Kitila Mkumbo Live na hii si mara ya kwanza hiyo ni ridhaa yao. Lakini kwenda mbali na kutaka kuwaghiribu wa Tanzania kuamini eti ITV ni ya Kitaifa zaidi hayo ni mambo ya mtu bunafsi anayesema hivyo na anajua anachokifanya. Si vema watu kutaka kuharibu hii siku muhimu ya Baba wa Taifa.
Jamani hata mkiwa CHADEMA ipendeni nchi yenu. Hata CHADEMA ikichukua nchi haina ubavu wa kuja kutuletea vitu vyao watatumia vitu vilivyopo tulivyovizoea. Hakuna mwanasiasa anayeweza kuja kupindua maisha ya wa Tanzania
nachowafurahia ITV ni huu mpango wao mahsusi wa ku-sync matangazo ya TV na redio,
ni mzuri mno kwa sababu wanafikia hadhira kubwa sana, hasa kwa njia ya redio kwa kuwa Watanzania wengi, hasa wa vijijini hawana access na TV.
Mkuu Ng'wanangwanachowafurahia ITV ni huu mpango wao mahsusi wa ku-sync matangazo ya TV na redio,
ni mzuri mno kwa sababu wanafikia hadhira kubwa sana, hasa kwa njia ya redio kwa kuwa Watanzania wengi, hasa wa vijijini hawana access na TV.