Dr. Kitila Mkumbo aipa ITV hadhi ya Television ya Taifa

Ni kweli lakini kwa nini wasiuze share kama presion air au crdb kwa watu wengine ili ifunge mitambo yake nchi nzima!!!! yani huwezi amini moro na bukoba ndo wamefungiwa juzi!!!!
IPP kama pesa ushapata bana fanya mpango itv iwe ya watu bana! watu wa karibu kamshaurini huyu mzee Mengi.. yule dada pale anamlia pesa tu aampi mawazo endelevu!
 
Naunga mkono hoja,ile tbccm wao walikuwa wanaonesha kitchen part na harusi.
Na zilivyotokea vurugu mbagali za wale wavaa pedo itv walituleteaa mahojiyano ya live kati ya shehe wa mkoa wa dar,kova na mkuu wa mkoa na wakati kuo tbccm walikuwa wanarusha mziki .
Ndo kusema tv ya taifa ni ITV NA STAR TV!:D
 
Yani inakera ITV ndo ilitutoa matongotongo ya television hapa tz lakini kila siku yarudi nyuma kazi kufukuza wafanyakazi tu!! ilitakiwa toka ilipoaanza miaka ile ya 90 mpaka leo iwe imesambaa nchi nzima lakini wapi??? Kama tatizo ni fedha au inafanya kwa hasara wauze share bana! siku hizi hata huku arusha sometimes kuipata tabu! hawa wakurugenzi wake vipi bana!! kazi kula tu hawana vision mnashindwa na wapiga disko wa clouds wanaonyesha progress. Mnaudhi bana.
 
Naunga mkono hoja,ile tbccm wao walikuwa wanaonesha kitchen part na harusi.
Na zilivyotokea vurugu mbagali za wale wavaa pedo itv walituleteaa mahojiyano ya live kati ya shehe wa mkoa wa dar,kova na mkuu wa mkoa na wakati kuo tbccm walikuwa wanarusha mziki .
Ndo kusema tv ya taifa ni ITV NA STAR TV!:D

Aroo we acha tuu! halafu kwa kuchakachua habari hao!!! duuh!
 
Ni kweli lakini kwa nini wasiuze share kama presion air au crdb kwa watu wengine ili ifunge mitambo yake nchi nzima!!!! yani huwezi amini moro na bukoba ndo wamefungiwa juzi!!!!
IPP kama pesa ushapata bana fanya mpango itv iwe ya watu bana! watu wa karibu kamshaurini huyu mzee Mengi.. yule dada pale anamlia pesa tu aampi mawazo endelevu!

Swala la kusambaa ni pesa au leseni?
 
nachowafurahia ITV ni huu mpango wao mahsusi wa ku-sync matangazo ya TV na redio,

ni mzuri mno kwa sababu wanafikia hadhira kubwa sana, hasa kwa njia ya redio kwa kuwa Watanzania wengi, hasa wa vijijini hawana access na TV.
 
Naunga mkono mia kwa mia,dr.aliposema tu huwa siiangalii ila nikatupia jicho nikakutana na mipasho aaagh!!!mabwepande wameinajisi vibaya sana,inasikitisha.
 
Badala muwe na Chadema Tv mnalialia Kama watoto.Katibu mkuu kajenga Hekalu kuliko Makao Makuu ya Chama chenu.Nikipitaga pale Makao yenu utafikiri Banda la KUKU.
 
Badala muwe na Chadema Tv mnalialia Kama watoto.Katibu mkuu kajenga Hekalu kuliko Makao Makuu ya Chama chenu.Nikipitaga pale Makao yenu utafikiri Banda la KUKU.

Uzi unasema viungine dude lingine limechuchumaa huko... likishusha gogo lake la westi prodacti ya kande.... linapindisha!!! akili ya chooni utaijua tu!!!

Matangazo kuwafikia wote ni mhimu lakini hizo zinazo kamata mikoa yote zinafanya nini hasa TBC hawana taarifa kabisa taarifa zao za mikatomikato tu
 
ITV ndio TV ya taifa,ndio maana kova,mkuu wa mkoa na sheikh mkuu dar walikimbilia ITV sakata la msaafu kukojolewa.
 
Wanabodi ITV Imerusha mjadala wa vijana leo chuokikuu Dar es salaamu katika kumuenzi MwL Nyerere bure ambapo wachokoza mada wasomi, vijana, wazazi viongoz wameufikia umma kutukumbusha mwalimu kama mwalimu, mwanasiasa, kiongoz, mkulima, mwandishi, raisi na mwanasia alitenda kwa ajili ya Tanzania tuitakayo wakamulika Tanzania baada yake nini kinatendeka.

ITV Imesababisha hayo kufika nje ya ukumbi, mkoa,nchini nje ya nchi au hapo ulipo kama uliangalia bure Je kutokana na kutambua mchango wa mwalimu na mambo mbalimbali ITV Ilirusha ni wakati wa kusema ni TV ya Taifa kwa sasa mambo ya kizalendo na kimabadiliko na hata ya kidemokrasia ya uhuru wa maoni yanazimwa kama yanamulika watawala.

Mie naungana na Dr Kitilia Mkumbo, "ITV ni TV ya Taifa" Nini maoni yako juu ya chombo hiki kusababisha mabadiliko yanayotokana na jitihada za MwL katika nyanja tajwa hapo kwa Tanzania tuitakayo kulinganisha na TBC. Nia ni kupata maoni ya kukisaidia chombo hiki kwa vipindi kama kipima joto, malumbano ya hoja, mijadala na habari
 
Ni kweli kabisa ITV sasa ni TV ya taifa,hata lile sakata la msaafu kukojolewa akina kova,mkuu na sheikh wa mkoa dar walikimbilia ITV kuelezea tukio.Na ndio TV inayoangaliwa sana hapa TZ
 
Back
Top Bottom