Kitila Mkumbo kanunuliwa kwa bei mbaya kukubali uteuzi kwenda kusimamia maslahi ya wakoloni?

Status
Not open for further replies.

Filosofia ya Rorya

JF-Expert Member
Sep 20, 2021
3,214
3,587
Si ajabu kusikia kwamba Kitila Mkumbo kanunuliwa kwa bei mbaya kukubali uteuzi kwenda kusimamia maslahi ya wakoloni aliowapinga akiwa kwenye serikali ya awamu ya 5!

Hata kichaa anaweza kumshangaa Profesa huyu Kitila Mkumbo kukubali kwenda kutetea na kutekeleza kilichoratibiwa kwa mawazo ya viwango vya akina Steve Nyerere, Kitenge Kidoti et al. Profesa kabisaaa...

Bungeni Kitila alipinga ukoloni huu au aliuridhia? Binafsi najuwa kuwa Mhe. Mpina na Mhe. Halima Mdee ndiyo walikuwa na ujasiri wa kutanguliza uzalendo na maslahi ya taifa bila kuwa na ndimi 2 wala kigugumizi. Sijui Mhe. Ndugai aliukubali au la.

Njaa za Wabunge na hofu ya uchaguzi zinaanza kuwabainisha mmoja baada ya mwingine nani ni Wakala wa Ukoloni na nani ni Wakala wa Taifa!

Do you think kwenye hili na mengine mafu kama hili Kitila Mkumbo anaenda kupingana na rais au hata cabinet?

Augustine Mrema alipopingana na rais Mwinyi kwenye cabinet kwa kutetea maslahi ya nchi ilimgharimu.

Hii DP World itawachambua watu kwenye tasnia zao kubaini weledi ni wepi na madeganyanga ni wepi (Wabunge, Maprofesa, Viongozi wa Dini, Wanahabari, Wafanyabiashara, Wanasheria, Mawakili, Majaji, Mahakimu nk nk)

Nimejifunza kumbe haina gharama kwa taifa Musukuma na Kishimba (la 7) kuugua uzuzu kuliko Profesa mzima kuugua uzuzu. Ndiyo maana Musukuma na Kishimba wanawashangaa wasomi milele. Hata alama za ufaulu zile wanazotupatia vyuoni Maprofesa tunaanza kuzihoji.

Kidogo kidogo ninagundua kuwa mama anarejesha timu Magufuli aliowatupa nje ambayo ni ishara kuwa maji yako shingoni.

Swali la uchokonozi ni hili: je, wanarejea kwa dhamiri zile zile zilizobatizwa kwa maji mengi ya Magufuli au ubatizo mpya wa maji kichele wa Samia ili waweze kuendana na matakwa yake?

Washenga wa Kitila Mkumbo kwenye uteuzi huu wanaweza kuwa ni akina nani hasa? Walijuwa bei ya Mkumbo ndiyo maana wakaamua kujielekeza kwake? Kwanini hawakupeleka posa hii kwa Mpina na Ndugai? Kwani mama hataki check and balance (mawazo mbadala ya ndani ya serikali yake kama siyo ndani ya Chama chake?) Kwanini Mkumbo?

Je, Kabudi na Bashiru walijaribiwa kabla ya Mkumbo? Je, kuna namna pekee ambayo Mkumbo ameahidiwa kuhusu jimbo la Ubungo kama akikubali uteuzi huu wa kwenda kulisaliti taifa teule la Mungu? Kwanini Mkumbo hakuchagua kama Petro kusulubishwa kichwa chini kwenye msalaba wa X badala ya msalaba wa +?

Kuanzia sasa nitatilia shaka wanafunzi wataoomba shahada zao za uzamivu kusimamiwa na Prof. Kitila Alexander Kanyama Mkumbo.

Kweli chokoraa hasahau milele mapipa ya taka hata ukimtoa kwenye maisha hayo.

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
 
Kazoea kununuliwa Magufuli alimnunua Act ya Zitto
 
Kuna watu wawili wamefeli mtihani wa uadilifu na uzalendo, mmoja ni yule msimamizi wa wafanya maamuzi wetu, na mwingine ni huyu hapa Huyo wa kwanza alianza kutishwa kwakupelekewa mpinzani akalegea nyang'anyang'a na wa pili muafaka ukampagawisha akaona kama vile ndiyo kwisha habari yake, shikamoo siasa!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom