Dr. Isaack Ndodi: Hisia mchanganyiko

3:Ndodi ana uzoefu na kazi ile sana, anachukulia kwamba akikwambia kitu mara moja utaelewa, vinginevyo kama unauliza sana tafuta muda private, si wakati akiwa na foleni ya watu nje!(Najua hii ni unprofessional kidogo, lakini na tukumbuke kuwa anahitaji kuzingatia muda ili aweze kufidia gharama za kupata dawa na kulipia kodi zote zinazomwangukia).

Nashukuru kwa hayo maandishia meusi zaidi mjadala wangu umeisha..nilitaka nawe uelimike anachofanay sio na rohomtakatifu kaamua kukuonyesha mwenyewe kila la kheri Pk
 
Samahani wakubwa, nina shida na wimbo wa mafumu bilali unaitwa maya, kuna mtu anaweza kunisaidia?
Mbona unatia Sumu hapa kwenye thread ya maana? Umeambiwa hapa wana diskas nyimbo au ugonjwa?
Halafu tukisema JF imeingiliwa na "vichaa" tunaonekana "wehu"!

Mods... mmesinzia sana siku izi jamani..kuchakachua threads kumezidi! Itoeni hapa asap plzzzz
 
Sasa huyo ndugu yako anataka kupona au abaki na 3M?
NINACHOJUA NI KWAMBA AKITOA HIYOFEDHA atapona BILA YA SHAKA...
Labda alijisikia duni kwa vile hana hiyo hela...
Mara ingine hata umasikini unasababisha ulalamiishi usiokuwa na sababu!

PJ, wakati kwenye hoja yako kuna point zenye ukweli lakini nasikitika ulivyoijibu hoja hapa hukuzingatia facts za Pdidy.....! angalia Msindima alivyoweka vizuri hoja ya Pdidy! Of all the people I didn't expect this from you bro.....anyway siku moja moja tunaweza kuteleza!

Pili, wewe Pdidy hujamfanyia diagnosis mgonjwa wa Pdidy unaweza kutamka kwa uhakika hivyo hayo maneno niliyohighlight hapo juu? unless wewe ni Dr. Ndodi, ambaye hata aliweza kumwona mgonjwa yule ndo unaweza kutoa kauli hiyo yenye kujiamini na uhakika hivyo! Uhakika unautoa wapi wewe? si Dr. uliyemwona mgonjwa yule, si Dr. Ndodi....how can you be that sure kuwa ati angelipa 3m angepona?

Tatu, PJ labda mwenzetu ni matawi ya juu fulani, mimi nipo kwenye average income earning people, kutoa Tshs 3m kufanya matibabu ka mara moja sio kitu kidogo kabisa, labda uwe na insurance cover, hii ni hela nyingi sana kuitoa kwa mara moja mkuu......! Dr. Ndodi kama kweli ana nia ya kusaidia watu aliangalie vizuri hii la gharama za matibabu! Na kama kweli ana dawa hizo zinazotibu magonjwa yanayotusumbua kila siku, sidhani input costs za kutengeneza dawa hizo zinaweza kujustify gharama za matibabu anazocharge! Huyu anatengeneza margin kubwa sana hapa, anajivunia ''MONOPOLY'' kwenye aina ya dawa anazotumia kuwaumiza wananchi.....! he is supposed to be fair kwa kweli!

Bro unajua tunapoenda kwa Dr tunahitaji ile attention yake, na ninadhani Pdidy anachoongelea hapo ni ule umakini wa Dr anapokua na mgonjwa, je anamtreat inavyotakiwa? unajua unapoenda hospital halafu unakuta Dr hajali inakatisha sana tamaa.Yawezekana huyo mgonjwa hizo 3M sio issue kwake anaweza kuzitoa ila sasa tatizo ni kwamba Dr hayuko makini.

Ubarikiwe Msindima on this post.....!
 
Labda tuwekane sawa kwa haya kwanza:
1: Ukiingia gharama kwa dawa za Ndodi (na kufuata Masharti vyema)UNAPONA!..guaranteed!
2:Yule jamaa ana watu wengi mno, kiasi ukianza kubembeleza bei pale ndani hutakuwa entertained...utamchukia!. Ukitaka saundi ya bei za dawa umtafute akiwa nyumbani au nje ya pale ofisini...naongea kwa uzoefu!
3:Ndodi ana uzoefu na kazi ile sana, anachukulia kwamba akikwambia kitu mara moja utaelewa, vinginevyo kama unauliza sana tafuta muda private, si wakati akiwa na foleni ya watu nje!(Najua hii ni unprofessional kidogo, lakini na tukumbuke kuwa anahitaji kuzingatia muda ili aweze kufidia gharama za kupata dawa na kulipia kodi zote zinazomwangukia).
4:Hiyo 20K ni consultation fee kama ilivyo kwa hospitali zingine unapotaka kumwona specialist mazee!...Tuangalie zaidi Gravity ya ugonjwa!
5.Sina uhusiano wa kinasaba na Ndodi, ila nimetokea kumwelewa, na nina shuhuda za 100% za walioenda kwake kupona magonjwa ambayo hayatibiki hospitali..
Aksante.
PakaJimmy, kwanza asante kwa hii shuhuda ya Dr. Ndodi na hiyo asilimia 100% ya wanaopona. Naomba nami nikupe shuhuda yangu ya mgonjwa mmoja tuu ambaye sio tuu alifariki, bali pia aliingia umasikini hapo hapo kwa Ndodi.

Jamaa alikuwa na matatizo ya moyo na figo, akapimwa hospital, wakamwambia atafute milioni 14, akatibiwe nje ya nchi, ndipo wasamaria wakamtaja Ndodib jamaa akaanza kuhudhuria clinic yake. Kwanza aliuza gari, pili aliuza shamba na hatua ya tatu alikuwa mbioni kuuza nyumba ndipo kifo kikamkuta tena hapo hapo kwa Ndodi, cost aliyoingia was over and above M.14 zilizohitajika hospitalini. Inawezekana labda by the time anakwenda kwa Ndadi, it was allready too little too late, angemwambia na sio kumlia hela zake na kifo juu!.

Kwa vile huu ni uthibitisho wa kifo kimoja kati ya hiyo asilimia 100% uliyoisema wewe, then ili tuwe realistic, ishushe angalau isomeke wanapona kwa asimilia 99.9% ili wa uhakika wa asilimia 100% ambaki ni Mungu Peke yake.

Kwa upande wangu mimi binafsi, Dr. Ndodi namkubali sana vipindi vyake kwenye TV, ila pia sio tuu ni mtu kama wa masikhara masikhara, pia ukim observe kwa makini, utakubaliana na mimi, kutibu anatibu lakini pia ana uchizi fulani, not consistance at all. Siibezi tiba yake, lakini nabeza ustaarabu wake, upokee 20k ya mtu, kuingia tuu unamwambia katafute 3 M!, sifa kubwa ya tabibu ni kusikiliza. Dr. Ndodi ana papara na hatatulia, ukifuatilia vipindi vyake hilo utalibaini wazi.

Nilibahatika kukutana naye mahali, nami kama binadamu, nikamweleza tatizo langu la kiafya, alinikaribisha na kunihakikishia, litakwishwa mara moja. Pamoja na shida yangu, dhamira bado haijanituma, ila ikinituma, nitamtembelea na nitawaletea ushuhuda wa first hand news na sio habari za kuambiwa.
 
Hakuna guarantee ya dawa kwa mgonjwa elewa huo u-guarantee unaanza pale mgonjwa anapohudumiwa vizuri akajenga saikolojia ya kumwamini dr. Ikiwa kinyume na hapo dawa zinaweza zisifanye kazi. Akaja kuponywa na majani ya mpera wa nyumbani kwa jirani yake ambao hauna thamani ya mil 3 na akaambiwa dawa na muungwana kwa mdomo bila kuhitaji malipo.

Nawachukia wanaofanya matatizo ya ugonjwa wa wenzao kuwa miradi!
 
Ndugu wapendwa najua mbaya kuuliza lakini sikuapenda kabisa kabisa jinsi ya huyu bwana anavyotreat watu na huu ugonjwa,...nimeulizwa na watu sana kuhusu kisukari nikawaelekeza kwa huyu mh naishia kutukanwa na kulaumiwa pasipo na haki

Ndugu mpendwa kumwona huyu bwna ni sh 20,000 NILIMPELEKA mtu jana lakiini wakati anatoka wakaanza kulalamika waliomtangulia alipokuja yeye alisema yaani nimeshoka nimechoka kabisa
akasema ameonana na dk alipomwona akaanza kumwambia shida zake wakati akiwa anaendelea
kumeweleza jamaa akamweleza shida yako inaitaji sh million 3 ,...kwa kweli baada yaa hapo akabonyeza kidude akaitwa mwingine wakati akiwa ndani ...,akamwamba aunt muda umeisha ...kwa kweli hii si uungwana nhisi mtu akija kwko dk anataka umweleze na pia umsikilize ......,na si kuangalia wako wangapi nje wanakusubiri

Nakutakia kazi njema bosi

Pole mkuu ni PM nikutafutie dawa bure ili ajari na hii tuone mafanikio yake
 
Hakuna guarantee ya dawa kwa mgonjwa elewa huo u-guarantee unaanza pale mgonjwa anapohudumiwa vizuri akajenga saikolojia ya kumwamini dr. Ikiwa kinyume na hapo dawa zinaweza zisifanye kazi. Akaja kuponywa na majani ya mpera wa nyumbani kwa jirani yake ambao hauna thamani ya mil 3 na akaambiwa dawa na muungwana kwa mdomo bila kuhitaji malipo.

Nawachukia wanaofanya matatizo ya ugonjwa wa wenzao kuwa miradi!

ooooooh GOD
Wish kungekuwa na wakina mohamed 10 Dunian
 
Labda tuwekane sawa kwa haya kwanza:
1: Ukiingia gharama kwa dawa za Ndodi (na kufuata Masharti vyema)UNAPONA!..guaranteed!
2:Yule jamaa ana watu wengi mno, kiasi ukianza kubembeleza bei pale ndani hutakuwa entertained...utamchukia!. Ukitaka saundi ya bei za dawa umtafute akiwa nyumbani au nje ya pale ofisini...naongea kwa uzoefu!
3:Ndodi ana uzoefu na kazi ile sana, anachukulia kwamba akikwambia kitu mara moja utaelewa, vinginevyo kama unauliza sana tafuta muda private, si wakati akiwa na foleni ya watu nje!(Najua hii ni unprofessional kidogo, lakini na tukumbuke kuwa anahitaji kuzingatia muda ili aweze kufidia gharama za kupata dawa na kulipia kodi zote zinazomwangukia).
4:Hiyo 20K ni consultation fee kama ilivyo kwa hospitali zingine unapotaka kumwona specialist mazee!...Tuangalie zaidi Gravity ya ugonjwa!
5.Sina uhusiano wa kinasaba na Ndodi, ila nimetokea kumwelewa, na nina shuhuda za 100% za walioenda kwake kupona magonjwa ambayo hayatibiki hospitali..
Aksante.

Hapo penye red panatia shaka sana, Je Kagonjwa ketu kaleee kanakotoa kinga mwilini nako anatibia? au tuseme cancer yoyote ile kwake unapona? na je uliweza kufanya investigation yoyote ya kitaalamu ukagundua eg Cancer cells zimekwisha na hazipo tena mwilini?
Kuhusu suala la umaskini kweli ni factor moja wapo ya kuwa mlalamishi, nenda Mwananyamala zubaa pale nje ya dirisha la dawa uwaone wanyonge wanavyolaani wakiambiwa akanunue dawa nje ya hospitali yaani inatia huruma kweli kweli lakini pia wakati mwingine mie huwa siwaonei huruma kwani hao hao ndio walipokea Kofia za kijani
 
PakaJimmy, kwanza asante kwa hii shuhuda ya Dr. Ndodi na hiyo asilimia 100% ya wanaopona. Naomba nami nikupe shuhuda yangu ya mgonjwa mmoja tuu ambaye sio tuu alifariki, bali pia aliingia umasikini hapo hapo kwa Ndodi.

Jamaa alikuwa na matatizo ya moyo na figo, akapimwa hospital, wakamwambia atafute milioni 14, akatibiwe nje ya nchi, ndipo wasamaria wakamtaja Ndodib jamaa akaanza kuhudhuria clinic yake. Kwanza aliuza gari, pili aliuza shamba na hatua ya tatu alikuwa mbioni kuuza nyumba ndipo kifo kikamkuta tena hapo hapo kwa Ndodi, cost aliyoingia was over and above M.14 zilizohitajika hospitalini. Inawezekana labda by the time anakwenda kwa Ndadi, it was allready too little too late, angemwambia na sio kumlia hela zake na kifo juu!.

Kwa vile huu ni uthibitisho wa kifo kimoja kati ya hiyo asilimia 100% uliyoisema wewe, then ili tuwe realistic, ishushe angalau isomeke wanapona kwa asimilia 99.9% ili wa uhakika wa asilimia 100% ambaki ni Mungu Peke yake.

Kwa upande wangu mimi binafsi, Dr. Ndodi namkubali sana vipindi vyake kwenye TV, ila pia sio tuu ni mtu kama wa masikhara masikhara, pia ukim observe kwa makini, utakubaliana na mimi, kutibu anatibu lakini pia ana uchizi fulani, not consistance at all. Siibezi tiba yake, lakini nabeza ustaarabu wake, upokee 20k ya mtu, kuingia tuu unamwambia katafute 3 M!, sifa kubwa ya tabibu ni kusikiliza. Dr. Ndodi ana papara na hatatulia, ukifuatilia vipindi vyake hilo utalibaini wazi.

Nilibahatika kukutana naye mahali, nami kama binadamu, nikamweleza tatizo langu la kiafya, alinikaribisha na kunihakikishia, litakwishwa mara moja. Pamoja na shida yangu, dhamira bado haijanituma, ila ikinituma, nitamtembelea na nitawaletea ushuhuda wa first hand news na sio habari za kuambiwa.

Pasco, Thanks kwa ushuhuda! Mimi sina tangible ushuhuda hapa, ni zile tu za kusikia mtaani....hii ngoja niiache!

Pili, Kwenye observation yako hapo nakubaliana na wewe 100% ndvyo na mimi ninavyomwelewa huyu jamaa! Yes, kuna mambo huwa anafundisha ni ya maana sana lakini ni mropokaji, hayupo consistent, hajatulia kabisa...uswahilini tungemwita ''ana mapepe''! Huyu sifa za udaktari kuna kasoro kidogo hapo.....!
 
hakuna guarantee ya dawa kwa mgonjwa elewa huo u-guarantee unaanza pale mgonjwa anapohudumiwa vizuri akajenga saikolojia ya kumwamini dr. Ikiwa kinyume na hapo dawa zinaweza zisifanye kazi. Akaja kuponywa na majani ya mpera wa nyumbani kwa jirani yake ambao hauna thamani ya mil 3 na akaambiwa dawa na muungwana kwa mdomo bila kuhitaji malipo.

Nawachukia wanaofanya matatizo ya ugonjwa wa wenzao kuwa miradi!

jama yupo kibiashara zaidi,kuna wagonjwa wa pumu kibao walitibiwa kwake hawajapona. Sikatai vingine anatibu ila ajaribu tu kuwa muungwana.
Nakumbuka kuna wakati alikuwa na special namba ukimpigia unakatwa 1000tsh/minutes,(last year),sasa cjui tena.
 
ULIJUAJE HII NILIKUWA NAWAMWAGIA MATAJIRI WAKINA PK...LABDA WANAWEZASAIDIA WATU WASIKATISHWE MAISHA NA MARADHI WANAYOWEZA KUEPUKWA
 
Mbona unatia Sumu hapa kwenye thread ya maana? Umeambiwa hapa wana diskas nyimbo au ugonjwa?
Halafu tukisema JF imeingiliwa na "vichaa" tunaonekana "wehu"!

Mods... mmesinzia sana siku izi jamani..kuchakachua threads kumezidi! Itoeni hapa asap plzzzz

Well sema wewe mkuu hao wote ndio walewale wanaoleta dhihaka mbele ya mambo ya maana.
 
jama yupo kibiashara zaidi,kuna wagonjwa wa pumu kibao walitibiwa kwake hawajapona. Sikatai vingine anatibu ila ajaribu tu kuwa muungwana.
Nakumbuka kuna wakati alikuwa na special namba ukimpigia unakatwa 1000tsh/minutes,(last year),sasa cjui tena.

1000 per minute? you are joking wewe TATIANA the guy he is billionaire basi kwa jinsi watu wanavyohangaika kusaka uzima 1000 sio issue nadhani ndio maana anakuwa na uwezo wa kulipia air time ya matangazo yake ya dawa.... Anyway InshaAllah Mungu awape shifaa wagonjwa wetu kwa uwezo wake Mwenyezi Mungu.
 
Ndugu wapendwa najua mbaya kuuliza lakini sikuapenda kabisa kabisa jinsi ya huyu bwana anavyotreat watu na huu ugonjwa,...nimeulizwa na watu sana kuhusu kisukari nikawaelekeza kwa huyu mh naishia kutukanwa na kulaumiwa pasipo na haki

Ndugu mpendwa kumwona huyu bwna ni sh 20,000 NILIMPELEKA mtu jana lakiini wakati anatoka wakaanza kulalamika waliomtangulia alipokuja yeye alisema yaani nimeshoka nimechoka kabisa
akasema ameonana na dk alipomwona akaanza kumwambia shida zake wakati akiwa anaendelea
kumeweleza jamaa akamweleza shida yako inaitaji sh million 3 ,...kwa kweli baada yaa hapo akabonyeza kidude akaitwa mwingine wakati akiwa ndani ...,akamwamba aunt muda umeisha ...kwa kweli hii si uungwana nhisi mtu akija kwko dk anataka umweleze na pia umsikilize ......,na si kuangalia wako wangapi nje wanakusubiri

Nakutakia kazi njema bosi

Jamani fuateni njia sahihi toka kwa watu sahihi waliothibitishwa na mamlaka sahihi!
How on earth unaanza kumconsult mtu kama Ndondi?..hadeserve kuitwa dokta!
Tatizo mamlaka husika zinamuacha tu aendelee kupotosha! Bongo tambarare!
 
1000 per minute? You are joking wewe tatiana the guy he is billionaire basi kwa jinsi watu wanavyohangaika kusaka uzima 1000 sio issue nadhani ndio maana anakuwa na uwezo wa kulipia air time ya matangazo yake ya dawa.... Anyway inshaallah mungu awape shifaa wagonjwa wetu kwa uwezo wake mwenyezi mungu.

how can i joke kwa ishu serious kama hii mkuu! Ni kweli kabisa last year alikuwa nayo nashangaa siku hizi haipo. Mi ni msikilizaji mzuri wa mada zake. We unadhani anatoa wapi pesa ya kuwa na vipindi vya one hour live tv stations mbili kila wiki. This man is making a lot of money!
 
nakumbuka kuna wakati alikuwa na special namba ukimpigia unakatwa 1000tsh/minutes,(last year),sasa cjui tena.

Ulijuaje hii nilikuwa nawamwagia matajiri wakina pk...labda wanawezasaidia watu wasikatishwe maisha na maradhi wanayoweza kuepukwa

labda kama utajiri si wa kuvuja jasho lao! Kama ni wa halali u must feel a pinch. Jamaa ni mjasiria mali wala si uongo.
 
how can i joke kwa ishu serious kama hii mkuu! Ni kweli kabisa last year alikuwa nayo nashangaa siku hizi haipo. Mi ni msikilizaji mzuri wa mada zake. We unadhani anatoa wapi pesa ya kuwa na vipindi vya one hour live tv stations mbili kila wiki. This man is making a lot of money!

Wajinga ndio waliwao................... nimekumbuka mbali sana anyway Mungu atatunusuru maana watu wamegeuza matatizo ya wenzao miradi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom