Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 50,720
- 21,779
how can i joke kwa ishu serious kama hii mkuu! Ni kweli kabisa last year alikuwa nayo nashangaa siku hizi haipo. Mi ni msikilizaji mzuri wa mada zake. We unadhani anatoa wapi pesa ya kuwa na vipindi vya one hour live tv stations mbili kila wiki. This man is making a lot of money!
amewapiga sana watu wengi maana ukiongea nae alikuwa aongei si chini ya dk kumi na kila sasimu u can imagine..unajua atrukatai ujasiriamali ila yule anavyojitambulisha mtumishi wa mungu tena ananukuu vifungu ila kwa style hii namshauriatangaze kibiashara zaidi kuliko kumuhusish mungu n a bishara zake..akuna sehemu mungu anasema watumishi wake wakawaudhi watu..zab anasema bora jiwe lifungwe shingoni mwake yule amuudhie mwenzie ameudhi wangapi na kibaya zaidi asemi hata sh ngapi watu wajue wanaendaje ama wasiende kabisa ..unakuta mtu ndio hela ya matumizi wikinzima..anayway si wote najuwa kuna pk wengi lakini anaitaji msaada wa kiroho sana sana angekuwa ni mtu wa mungu amwige father nkwera ...na kuwaponya watu akuna senti anayoombaa..na watumishi wa bwana wengi tu..hii kujua mizizi ya dawa na kufanya watu wautafute ufisadi kinguvu mbaya sana sana..sidhan n mapenzi ya mungu ndodi kutibu matajiri peke yake ..hili alisikie na aliefanyie kazi mr ndodi tunapenda ushauri wako mzuri kipindi chako na tunaomba sikia na hili letu.....