Nono
JF-Expert Member
- Feb 11, 2008
- 1,536
- 643
"Nimetafakari na kupata ushauri wa familia, ndugu, wazee, jamaa na rafik zangu na sasa nimefikia uamuzi, nitauweka wazi kwenye press conference nitakayofanya Jumanne wiki ijayo"....
Dr.Hamis Kigwangala - Facebook Page
Kwi kwi kwi, kazi kweli kweli. Umefikia uamuzi mgumu, halafu unasubiri hadi wiki ipite ndio uuweke bayana! :
Hata kama umezimia kujinyonga, ukiahirisha kwa wiki ni ukweli kuwa hutajinyonga tenaaa!! Kwa maana hiyo hakuna uamuzi mgumu hapo zaidi ya blabla tu