Dr. Hamis Kigwangalla Kufanya Maamuzi Magumu Jumanne wiki ijayo

"Nimetafakari na kupata ushauri wa familia, ndugu, wazee, jamaa na rafik zangu na sasa nimefikia uamuzi, nitauweka wazi kwenye press conference nitakayofanya Jumanne wiki ijayo"....

Dr.Hamis Kigwangala - Facebook Page

Kwi kwi kwi, kazi kweli kweli. Umefikia uamuzi mgumu, halafu unasubiri hadi wiki ipite ndio uuweke bayana! :
Hata kama umezimia kujinyonga, ukiahirisha kwa wiki ni ukweli kuwa hutajinyonga tenaaa!! Kwa maana hiyo hakuna uamuzi mgumu hapo zaidi ya blabla tu
 
alitakiwa afanye kama Rostam yeye hakutangaza maamuzi magumu
 
Selelii asingefanyiwa usanii na mabwepande yasingekuwepo haya tunayoyaona na kuyasikia ya kigwa!
 
Maamuzi gani magumu hayo mpaka jumanne? Huu ni unafiki na uongo! Kunani jumanne!
What is so special?

Nilitegemea mtu anasema nimeamua kufanya maamuzi magumu yafuatayo!
Kwa nini msiwaige lowasa na Rostam?
Huu ni uongo, umbea wakututangazia kuwa utafanya maamuzi magumu wakati huwezi! Anaye fanya maamuzi magumu hatangazi!
 
Huyu namwonea huruma kwa kweli.

He's a "problem of multiple identities" which tends to confuse him. He's still youth which is a plus but need to take some serious lessons and learn fast.
 
"Nimetafakari na kupata ushauri wa familia, ndugu, wazee, jamaa na rafik zangu na sasa nimefikia uamuzi, nitauweka wazi kwenye press conference nitakayofanya Jumanne wiki ijayo"....

Dr.Hamis Kigwangala - Facebook Page

No no Kigwangala, do not throw in the towel yet; stay and fight them from within, usimgwaye Bashe!
 
uamuzi mgumu huwa ni wa ghafla bila kutegemewa na wengi!sasa unatoa notice ya wiki moja?!huo sio uamuzi mgumu!
 
I quit active politics at the end of 1995, I learnt my lessons then and made my mind, and I'm so happy ever since.

Many youth falls into a false ploy of winning it through politics, and CCM who is the sole creator and sustainer of such a lazy an greedy culture. Boy, look at the horizon and be amazed at ample but untapped opportunities.
 
"Nimetafakari na kupata ushauri wa familia, ndugu, wazee, jamaa na rafik zangu na sasa nimefikia uamuzi, nitauweka wazi kwenye press conference nitakayofanya Jumanne wiki ijayo"....

Dr.Hamis Kigwangala - Facebook Page

muongo tu huyo na mbishi kimsuli, si alisemaga atawasomea albadili walomteka na kumtesa dr. uli na hakufanya hivyo?
 
Huyu namwonea huruma kwa kweli.

He's a "problem of multiple identities" which tends to confuse him. He's still youth which is a plus but need to take some serious lessons and learn fast.
Jamani andikeni kiswahili
 
I quit active politics at the end of 1995, I learnt my lessons then and made my mind, and I'm so happy ever since.

Many youth falls into a false ploy of winning it through politics. And it's CCM who is the sole creator and sustainer of such a lazy an greedy culture. So boy, look at the horizon and be amazed at ample but untapped opportunities.
 
Mwenye kutoa maamuzi mazito hua haproject days to say so, sema anataka attention kwa umma uliomsahau kwa hoja zake za majitaka. Just playing SMART now...........!
 
kigwangala alikuwa ni chagua la tatu kugombea huo ubunge, hivi bado hajijui kuwa ni mabaki? mboa haelewi, labda akija na uamuzi wa kutubu kwa magamba, lakini akiamua kuondoka, mbona hiyo itakuwa ni kuvuja kwa pakacha?
 
Wanasiasa wa Tanzania wanapenda kupima joto? Sasa nini lengo la kusema nitatangaza jumanne wiki ijayo? Anataka kuona kama bado wanamthamini?
 
Sio mara ya kwanza huyu jamaa kuongea maneno kama haya.Hivi ndivyo alivyo tumzoee tu.Ingekuwa ni mtu mwingine ingeweza kuwa ni news alert lakini kwa huyu mpenda attention hamna jipya.Huwa anabwabwaja kisha maisha yanaendelea kama ambavyo yalikuwa.Anajua alibebwa hana guts na anajua akitoka tu kwa waliombeba hatapata wengine watakaombeba na kumpamba.
 
Back
Top Bottom