Hakuna maamuzi magumu kama kutelekeza familia yako!
"Sifa za kijinga ni mbaya sana"
"Nimetafakari na kupata ushauri wa familia, ndugu, wazee, jamaa na rafik zangu na sasa nimefikia uamuzi, nitauweka wazi kwenye press conference nitakayofanya Jumanne wiki ijayo"....
Dr.Hamis Kigwangala - Facebook Page
Hana lolote,"Nimetafakari na kupata ushauri wa familia, ndugu, wazee, jamaa na rafik zangu na sasa nimefikia uamuzi, nitauweka wazi kwenye press conference nitakayofanya Jumanne wiki ijayo"....
Dr.Hamis Kigwangala - Facebook Page
Kwa huyu jamaa alivyo na uwezo mdogo wa kufikiri msijeshangaa anaitisha press conference kuzungumzia mgogoro wa kifamili kati yake na baba yake ambaye hivi karibuni kuna habari zilibandikwa hapa JF kuwa amemtelekeza.
Tusubiri tuone.