Dr. Hamis Kigwangalla Kufanya Maamuzi Magumu Jumanne wiki ijayo

Isiwe anatishia CCM kuwa anahama chama ili warudishe majeshi nyuma? Nape alishasema anaweza kuendesha chama hata akibaki mwenyewe hivyo wanaohama hawamtishi ni oil chafu tu.
 
Anataka kuachana na siasa anaenda kufungua hospitali yake mabwepande
 
bado ni kijana aje chadema tuchukue jimbo lile'nafikiri kuongeza idadi ya wabunge ni muhimu
 
Ha ha ha haaah!! Mpwa ulipotea sana jamvini, siku hizi sio Thanks Invisible aliichinjia baharini, kuna LIKE sasa.
teh teeh teeeh, mpwa MDOSI alikua anabana sana, akanikatia mtandao kwenye sipiyuu yangu, Mungu si Athumani nikalamba shavu sehemu nyingine, sasa JF ni masaa 24 kwenye kimodemu changu!, nimerudi upyaaaa na KESHO kuna "shughuli" fulani maalumu ya WAPWA nitakuwepo kuonyesha urejeo wangu kundini.
 
Last edited by a moderator:
teh teeh teeeh, mpwa MDOSI alikua anabana sana, akanikatia mtandao kwenye sipiyuu yangu, Mungu si Athumani nikalamba shavu sehemu nyingine, sasa JF ni masaa 24 kwenye kimodemu changu!, nimerudi upyaaaa na KESHO kuna "shughuli" fulani maalumu ya WAPWA nitakuwepo kuonyesha urejeo wangu kundini.

Sawa mkuu tupo pamoja.....
 
  • Thanks
Reactions: GP
yupo humu JF ajitokeze tumshauri
sidhani kama yuko radhi kuachia ubunge anakolipwa millioni kumi na ushee
arudi kushika mikasi ya operation kwa mshahara wa millioni 2.
lile jimbo alifaa apewe selelii lakini kwa vile walimfanyia roho mbaya maombi ya selelii yanawatafuna.
 
I quit active politics at the end of 1995, I learnt my lessons then and made my mind, and I'm so happy ever since.

Many youth falls into a false ploy of winning it through politics. And it's CCM who is the sole creator and sustainer of such a lazy an greedy culture. So boy, look at the horizon and be amazed at ample but untapped opportunities.
kuna watanzania wanajua kidhungu kuliko chinua achebe mwe!!!!!ila hapo kwenye red hata mimi kayumba primary school nimestuka...
 
Jumanne ni Mbali sana, kama hivyo, hiyo nia yako ulipaswa kuisema Jumapili au Jumatatu! Hao washauri wako walishindwa kukushauri vizuri!


Hiyo ni dalili ya kucheza michezo ya kitoto....Watu wazima huwa na mwendo wa chui au simba, strike when you are sure of the pray and victory with minimal risk!!

Huyu (Dr, MD, MPH, MBA) anatingisha kiberiti tu!!
 
mm nahisi anataka kumfuata Dr Ully huko South A. maana nasikia start salary ni 12,000,000.00 za kitanzania na likizo ni mwezi mzima baada ya miezi 3 (usafiri ndege Go-return kokote Duniani)[ Tumsubiri hiyo j4 si mbali mshahara wa kisiasa mwisho 7m
QUOTE=Ukwaju;4580633]
Hamisi-Kigwangalla-mbunge-wa-Nzega.png

Ok Mallya nimeikuta huyu jamaa anachanganya mboga na kauzu (sijui km ni mboga)
fungua tu https://www.facebook.com/hamisi.kigwangal
a
[/QUOTE]
 
Ohoooo! kuamua kusema tuu kazi! Ndo uweze kufa ya maamuzi magumu!,, acha unafiki, bado kijana kaka Kiowa
 
Back
Top Bottom