Dk Slaa asema Mufti hakufanya utafiti

Teh teh jf akisemwa 2 slaa utajuta! na siku hizi yule taperi wa loliondo! hey i just monitoring the trend!
 
Mropokaji? Mbona anakubalika sana. Umetumwa na Mufti. Msituletee udini hapa, Rudini Darasani

kuna lile shairi lenye kuelezea wasifu wa slaa nililiona hapa jana sikumbuki kwenye thread ipi mwenye analo atupostie tuweze kuona jinsi alivyo mropokaji
 
Kwani hujui huyu ni pandikizi la PAPA huyu. Anaitwa Dr Padre Slaa, sasa unashangaa nini?

Slaa hatudanganyikiiiiiiiiiiiiiii

sema mimi juha sio hatudanganyiki! hatunganyiki wewe na nani? au unamaanisha wewe, makamba na ******?:embarassed2:
 
Kauli ya sheikh ni ya kuangaliwa kwa umakini mkubwa, tunamheshimu sana kwa wadhifa wake ndani ya dini yetu na jamii kwa ujumla lakini kamwe asijiaminishe kuwa yeye anaipenda sana amani ya nchi hii kuliko umma wa watanzania wote. Amani yetu inakuwepo pale tu HAKI inapokuwa inapatikana na kufikika kwa kila mtanzania, huwezi kunishawishi kwa hali ya tofauti ya kipato miongoni mwa wakazi wa mjni (vijijini utofauti/ kiwango cha umaskini ni kikubwa zaidi) watu hawa wana amani, utulivu wa kundi kubwa la watz usikupofushe na ukadhani wana amani. Mwenye njaa hana amani kiongozi wangu

Hapo kwenye Red ndiko Kitivo cha yote sasa wasitukanganye kazi kukaaa kutoa lawama za kuvunjika kwa AMANI huku hawaitetei HAKI sijui wanatuona sie mazuzu au Shekhe ni Mtu Mkubwa sana kwenye baraza lao huko sasa inapofika muda anatoa matamko amabayo yanawanfa watanzania waone ni Tungo TATA inashangaza sana au ndio anamsaidia JK kusimika neno UDINI au ndio tuseme hivyoo?

Imefika wakati penye HAKI papewe nafasi yake ya HAKI ili neno AMANI litawale kabisa viongozi wasitupotezeeeee kabisa na kauli zao.

Mfano Mzuri tu Libya Gaddafi kawapa wale wa Libya kila kitu lakini kukosea kutowapa HAKI yao ya kimsingi katika kuwashirikisha katika maswala ya kiserikali na kuwapa uhuru wa Democrasia kushiriki katika serikali na uhuru wa kusema watakalo ndio ulifika kikomo hamstahajabiki kwa hilo Je sisi Tanzania tuna kila maliasili tele na viongozi wetu wanatupigia porojo kila kukicha hamuoni wanatudhurumu HAKI zetu KIKATIBA sasa mwategemea kweli AMANI itadumu kweli lets be Honestly kwa hili tusipindishe mambo kabisa Serikali inatupeleka kubaya tena kwa kututumia sie
 
Hi,HM hafif,Seniorita,Genius Brain.

Naomba nianze kwa kusema Historia huwa haifutiki,Tunajua wote kuwa Slaa aliwahi kuwa padri,hilo halita saulika kabisa na zaidi ikichangiwa na kazi alizozifanya na nyazifa mbalimbali za juu alizozitumikia katika kanisa katoliki,kwa ufupi atakapoongelea CV ya maisha yake hawezi kusahau historia hii,hata yeye alishatueleza mara nyingi.

Tunapokuja katika kuchangia masuala ya msingi ninyi wenye agenda au wengine wanasema BIFU binafsi na Slaa basi msianze kututoa nje ya mada kwa historia ambayo hata watoto wadogo wanaijua.

lakini kwa Ndugu zangu waislamu wale ambao kweli hofu ya Mungu iko ndani mwao watajua uhalali wa matamko ya Mufti,Uzuri na ubaya wake.Hili halijadiliki mwenye macho haambiwi tazama na mwenye masikio haambiwi asikie.

mwisho utafiti mdogo tu ambao Mufti angeufanya ni wakutaka kujua ni kwanini watu hawa wanaenda kwenye maandamano bila matangazo kutoka msikitini? najua matangazo mengi huwa yanatangazwa msikitini lakini siyo mikutano ya Chadema.majibu yako dhahiri.

Tuwe macho na kufuata mikumbo jamaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaani watu wengine wanayo yao nyuma ya pazia.

naona mama slaa umeamua uingie kumsaidia mzee,si ni wewe juzi tuu hapa ulijitambulisha kwenye thread fulani kuwa ni mke wa slaa au nalo utalikanusha?? anyway kama hulijua ni padre kwanini ulikubali kuvunja ndoa yako? turudi kwenye mada slaa ni mropokaji sana na mara nyingi hapendi changamoto na wala kukosolewa na hii tabia amewaambukiza wanachadema coz ikija habari yoyote ambayo cdm hawaipendi utaona itakavyoshambuliwa
 
Nakushauri ukapate haraka sana kikombe kwa Babu Loliondo.

Kifupi unatakiwa uwe mtu wa kufikiria yale ya mbele na sio kusukumwa kama kondoo. Padre Slaa ana siri nzito sana na amelenga mbali sana katika kuhakikisha nchi hii inaingia kwenye vurugu na uvunjifu wa amani.

Kifupi ebu tazama sura na muundo wa Chadema hususan mtazamo wake. Utaona imelenga zaidi na kujikita kikanda, kikabila na kidini jambo ambalo ni la khatari sana kwa mustakabali wa taifa hili na kwa kuliona hilo Mufti anazindua waumini wake wawe makini na hilo.

Soma alama za nyakati kabla kuropoka
 
Ninahaki yakuwa mwanachama JF kama ulivyo wewe,na ninao uhuru wakutoa maoni kama mwanaJF yeyote.Na sina uhalali wa kumzuia mtu kutoa maoni yake kwani ndiyo yaujazao moyo wake.Thanks tusonge mbele.Siko JF kumuhukumu mtu bali kujifunza zaidi.
 
naona mama slaa umeamua uingie kumsaidia mzee,si ni wewe juzi tuu hapa ulijitambulisha kwenye thread fulani kuwa ni mke wa slaa au nalo utalikanusha?? anyway kama hulijua ni padre kwanini ulikubali kuvunja ndoa yako? turudi kwenye mada slaa ni mropokaji sana na mara nyingi hapendi changamoto na wala kukosolewa na hii tabia amewaambukiza wanachadema coz ikija habari yoyote ambayo cdm hawaipendi utaona itakavyoshambuliwa

Jamani naomba niliweke hili bayana. SI KILA MWANAMKE NI MKE, BALI MKE NI LAZIMA AWE MWANAMKE. Vile vile kuna taratibu ambazo ni lazima zipitiwe iwe za kimila au kidini katika kuhalalisha watu kuwa mme na mke.

Sasa mama mimi nashindwa kukuelewa. Kwa Lugha ya kwetu kule Zanzibar wewe unaitwa KIMADA maana yake hujachukuliwa kwa kufata taratibu zaidi ya wewe kujipeleka na kuendekeza Zinaa.

Pole sana kama nitakuwa nimetumia maneno makali lakini huo ndio ukweli. Na ni lazima utetee kila asemalo Dr padre Salaa kwa sababu akipata yeye na wewe utapata kama alivyokupatia Ulaji ulio nao sasa.

Soma alama za nyakati kabla kukurupuka na kuleta hoja.
 
tujuze ni mila gani au taratibu gani za kidini zilizohalalisha CUF kuwa mke wa CCM
 
tatizo lako ni dogo sana,sikukualika wakati natengua ndoa yangu rasmi mbele ya wachungaji na wala sikukualika wakati nabariki Ndoa yangu mpya mbele ya wachungaji.Ndiyo maana wahenga walisema usilolijua ni kama usiku wa giza.

nakupa ruhusa wa wewe kunena yote unayoyajua,ili nikujifunze zaidi.
 
okey the WISEMAN,am asking you did Pengo make any research? how come his statement was not welcomed with doubts? be fair na sio kuegemea upande fulani

yes? Dats y chiligati n his fellow did nt intervene! Did muft made a research? Answer ps'
 
tujuze ni mila gani au taratibu gani za kidini zilizohalalisha CUF kuwa mke wa CCM

Ni zile zile zilizotimika kule Uingereza , Kenya na nchi nyingi duniani lakini zooooote zikiwa na nia ya kuleta umoja wa kitaifa na amani kwa wananchi.
 
HM Hafif, Josephine, Itahwa, LAT,
Nawaombeni turejee kwenye mada, tuelimishane juu ya hili ndani ya thread hii. Si makosa/haramu kuanzisha thread nyingine yenye mlengo wa mliyoyaingilia kwenye hii thread nasi tutachangia. Ni vema tufungue milango ya kuiacha thread ili tuupate ukweli na the way forward.
Ni maoni yangu binafsi ila natanguliza 'samahani' kama nimeingilia uhuru wowote katika hili.

Mpevu.
 
Ni zile zile zilizotimika kule Uingereza , Kenya na nchi nyingi duniani lakini zooooote zikiwa na nia ya kuleta umoja wa kitaifa na amani kwa wananchi.

asante kwa kukiri kuwa CUF ni mke wa CCM
 
Nakushauri ukapate haraka sana kikombe kwa Babu Loliondo.

Kifupi unatakiwa uwe mtu wa kufikiria yale ya mbele na sio kusukumwa kama kondoo. Padre Slaa ana siri nzito sana na amelenga mbali sana katika kuhakikisha nchi hii inaingia kwenye vurugu na uvunjifu wa amani.

Kifupi ebu tazama sura na muundo wa Chadema hususan mtazamo wake. Utaona imelenga zaidi na kujikita kikanda, kikabila na kidini jambo ambalo ni la khatari sana kwa mustakabali wa taifa hili na kwa kuliona hilo Mufti anazindua waumini wake wawe makini na hilo.

Soma alama za nyakati kabla kuropoka

We Mmanga una matatizo!! Kwani hujui CDM ilianzishwa lini na akinani?? Unataka kutwambia kuwa hujuwi Dr. Slaa alikwenda CDM lini na kwa sababu gani?? Acha propaganda za jikoni!! Kwa jinsi unavyoandika inaonekana kabisa kuwa wewe unajuwa nani yuko behind all these na kazi yako ni kupandikiza hiyo propaganda hapa. Tumekustukia!!
 
Mpevu, binafsi nimekupata. Lakini kauli hii kama ni ya kuasa ingefanya kwa Watanzania wote bila kutaja neno Waislamu. Kwanini: itajenga hisia kuwa kwa sasa wanaoandamana ni Wakristo na siyo Waislamu, hivyo baadhi ya Waislamu wanaweza kujitokeza kuleta vurugu katika maandamano hayo kwa kusema kuwa Wakristo wanataka kuiangusha serikali inayoongozwa na Muislamu. Huu ni upande mmoja.
Upande mwingine ni kwamba Waislamu pia wanaweza wakapuuzia agizo la Mufti na hapo Mufti anaweza akawagawa Waislamu katika makundi ya kuhasimiana yenyewe kwa wenyewe!! Na kama Waislamu wakiendelea kuwepo kwenye maandamano Mufti atachukua hatua gani?
Ni vizuri watu wakajua kuwa maandamano yanayotokea yakiongozwa na Chadema, Je yanasema serikali iliyopo madarakani hatuitaki au inasema mapungufu ya serikali ili kuiamsha serikali ifanye kazi yake ya kuhudumia wananchi.
Lakini ya Mufti sishangai maana aliyeanza kulalamika ni JK mwenyewe wakati akiwa kama Rais na Mwanasiasa Mwenyekiti wa Chama Kinachotawala cha CCM ilitakiwa ajibu hoja zilizokuwa zinashadadiwa na Chadema kuwa kama ni uongo aseme kama serikali wamefanya nini na kama hawajafanya nini mipango yao na tutarajie nini wakati gani. Wananchi tungeweza kuelewa na kuipa serikali muda lakini kwa serikali kulalama kwa wananchi, sasa wananchi walalame kwa nani?
Hayo matatizo yaliyopo yafanyiwe kazi na hilo ndilo suluhisho la manung'uniko ya wananchi. Wakumbuke tu kuwa Misri ilipiga marufuku maandamano kwa miaka 30 iliyopita na hata juzi wananchi wake walipoandamana mpaka Mubaraka akaachia ngazi bado sheria hiyo ilikuwapo na kwa sasa imefutwa.
Jamani viongozi wafunguwe masikio na macho wawasikilize na kuwatazama wananchi na wasitumie uwezo na vyeo vyao vibaya. Usipowasikiliza wananchi, masomo utayajifunza Mwanza kwa Masha na Diallo. Waliona wao walifika lakini walisahau kuwekeza kwa wananchi wapiga kura!!!

Umenena vema mkuu.
 
Wadau,
Sheikh mkuu alialika waislamu wote na maulamaa wafike msikiti wa Al-farouq kwa ajili ya kujadili hali ya machafuko huko Libya na muenendo wa siasa za Tanzania, Tusimlaumu Mufti kwani hakufanya hayo binafsi. Ni baada ya mkutano huo ndipo akaja na conclusion yake, mkutano huo ulitangazwa saana via Radio kheir kwa kuwaalika wote wafike. Kauli ya mufti isichukuliwe kimzaha, it means something.
Kiuhalisia wa Tanzania ni kwamba...kumetokea tabaka kubwa na linalosambaa kwa kasi isiyozuilika kirahisi (UDINI). Mufti katoa kauli baada ya Pengo kutoa kauli, HEBU TUYAJADILI MATAMKO YAO KIUJUMLA YALILENGA NINI? Mufti vs Kardinali.

Thread mpyaa hiyo!
 
Kauli ya sheikh ni ya kuangaliwa kwa umakini mkubwa, tunamheshimu sana kwa wadhifa wake ndani ya dini yetu na jamii kwa ujumla lakini kamwe asijiaminishe kuwa yeye anaipenda sana amani ya nchi hii kuliko umma wa watanzania wote. Amani yetu inakuwepo pale tu HAKI inapokuwa inapatikana na kufikika kwa kila mtanzania, huwezi kunishawishi kwa hali ya tofauti ya kipato miongoni mwa wakazi wa mjni (vijijini utofauti/ kiwango cha umaskini ni kikubwa zaidi) watu hawa wana amani, utulivu wa kundi kubwa la watz usikupofushe na ukadhani wana amani. Mwenye njaa hana amani kiongozi wangu
Wengi hata wale ambao hatuabudu huko tunamheshimu kwa kuwa ni kiongozi wa jumuia kubwa ndani ya nchi yetu. Hivyo ni vyema akatoa kauli zake kwa umakini zaidi, sio kwa misingi ya udini. Tuache upuuzi wa kila kitu kukihusisha na dini. Hata hivyo ni vema viongozi wa dini wakakemea maovu yote na sio kuwalinda wanasiasa kwa kuwa wanatoka katkia dini zao. Kazi za wanasiasa ni za watanzania wote bila kujali dini.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom