Dk Slaa asema Mufti hakufanya utafiti

we vipi sasa unaweza kumlinganisha Pengo ha hilo tikiti maji Sheikh Simba??? we vipi ?Sheikh Simba hawezi kufanya utafiti maana hata kuandika kwenyewe hajui sasa tafiti atafanya saaa ngapi na kupiga lamli atapiga saa ngapi?
this is really JF the HOME OF GREAT THINKERS
 
We Mmanga una matatizo!! Kwani hujui CDM ilianzishwa lini na akinani?? Unataka kutwambia kuwa hujuwi Dr. Slaa alikwenda CDM lini na kwa sababu gani?? Acha propaganda za jikoni!! Kwa jinsi unavyoandika inaonekana kabisa kuwa wewe unajuwa nani yuko behind all these na kazi yako ni kupandikiza hiyo propaganda hapa. Tumekustukia!!

Pamoja na yote lakini ishu inabaki pale pale nini mtazamo na mwelekeo wa Chadema katika mustabali wa Tanganyika?
 
Ndugu yangu Tahwa. Sheikh Mkuu amepiga tu Madrasa lakini Pengo kasoma masomo yote kama wewe na kuongezea Divinity. Tofauti yao kifra ni kubwa sana yaani kama kulinganisha Mt. Kilimanjaro na kichuguu cha mchwa. Tukubali kuwa kakurupuka atafakari upya kauli yake.

kwa msaada Pengo ana Phd kabla hujazaliwa"
 
we vipi sasa unaweza kumlinganisha Pengo ha hilo tikiti maji Sheikh Simba??? we vipi ?Sheikh Simba hawezi kufanya utafiti maana hata kuandika kwenyewe hajui sasa tafiti atafanya saaa ngapi na kupiga lamli atapiga saa ngapi?

Jamani tuwe makini. kumtukana kiongozi wa dini sio jambo la busara hata kama wewe huiamini hiyo dini.
 
Viongozi wetu wa dini wanaegemea pande za kisiasa, ni mbaya sana kwa mustakabali wa nchi yetu...
 
Huyu atafanya utafiti saa ngapi? Anazo hizo akili?

huenda ukawa na lengo zuri sana la kufikisha ujumbe lakini maneno uliyotumia hayapendezi, hayajengi zaidi ya kujaza chuki baina ya mtu na mtu, yule sheikh ni kiongozi wa watu na unaposema hana akili ya kufanya hivyo ina maana hata waliyeridhia yeye kuongoza hawana akili. Kauli hizi zichungwe kwa sababu ndo huwa mwanzo wa chuki ambazo baadae huzaa machafuko katika nchi. Yaliyotokea rwanda yalisababishwa kwa kiwango kikubwa na kauli zenye chuki ambapo hamna mtu mwenye akili aliye tayari kuzipokea na kukubaliana nazo. Unapaswa kuwa na kauli za busara hasa linapokuja suala linalogusa imani ya mtu kama hili.
 
Huenda Mufti ana taarifa za "ki-inteligensia" kuhusu maandamano ya Chadema lakini haya maandamano hayana hata harufu ya fujo wala uchochezi. Ni bahati mbaya sana viongozi wetu wa dini wameingia katika "mdundiko" wa CCM ambao hawajui umeanzia wapi na unakwenda wapi. Unaweza kumchukia Dr. Slaa kwa mambo mengine lakini kwenye siasa ni makini sana na ndio maana CCM wanahaha. Kama alivyosema Mhe. John Mnyika wacheni hizi habari za maadamano ya Chadema iwe ni Propaganda ya CCM lakini siyo viongozi wa dini na mawaziri kuijiingiza kwenye "umbea" wa kisiasa!
 
Ni kweli Mufti Mzee Issa Shaba Simba hawezi kufanya utafiti.
Aidha huenda ni kweli hana hizo akili za kufanya utafiti.
Lakini ni kweli kuwa Mufti simba HATEMBEI NA KINYESI kama hao wanaomshauri afanye utafiti pamoja na wapambe wao.
Elimu aliyo nayo Mufti Simba inamtosha kujua kuwa kuna tofauti ya kujipaka kinyesi na kujisafisha kuondoa kinyesi.
Walioelimika sawa sawa, hasa kwa Waafrika, wanazijua adabu za kumzungumzia mtu mzima.
Hili ndilo Mzee Cheyo alilowakumbusha vijana wa Chadema bungeni.
Endeleeni na matusi!
 
chadema= JF= ukristo na ndio maana hamuachi kutukana na kubeza lolote linalofanywa na waislam, mmezidi chuki zenu kwa taarifa tu hii nchi sio yenu pekee yenu ni yetu sote na kila mtu ana haki ya kuongea,
mnashindwa kabisa kuficha yaliyomo katika nafsi zenu chuki, chuki chuki, tukisema chadema udini mnakataa! wakati majibu kama haya tunayaona hapa JF ni chadema chadema chadema hata chadema wakiropoka mnaona ni point tu na hili ndio litakalowaangusha mnawashtua hata waliolala, Tafakarini! na kujidai kwenu waasomi wajuzi nk mnashindwa kuficha ubinafsi na chuki mlizonano! MSIJISAHAU mkahisi uhuru niwenu peke yenu
 
Jamani tuwe makini. kumtukana kiongozi wa dini sio jambo la busara hata kama wewe huiamini hiyo dini.
ni kweli kabisa lakini na upande wapili uwe makini tumia maneno makali, maana hakuna mwenye moyo wachuma kuvumilia maneno yao ya ajabu ajabu...
 
Hii topic itasababisha burn za kutosha kabisa, naona wengi mnaleta udini na lugha chafu za matusi, hasa kakundi fulani ka kifisadi
karibu mods kwa burn ambazo hazizuiliki kabisa.

Sielewi kwa nn watu wanaleta udini while mtoa mada (dk Slaa) kawataja viongozi wote wa dini wawe watafiti na sio upande mmoja
 
chadema= JF= ukristo na ndio maana hamuachi kutukana na kubeza lolote linalofanywa na waislam, mmezidi chuki zenu kwa taarifa tu hii nchi sio yenu pekee yenu ni yetu sote na kila mtu ana haki ya kuongea,
mnashindwa kabisa kuficha yaliyomo katika nafsi zenu chuki, chuki chuki, tukisema chadema udini mnakataa! wakati majibu kama haya tunayaona hapa JF ni chadema chadema chadema hata chadema wakiropoka mnaona ni point tu na hili ndio litakalowaangusha mnawashtua hata waliolala, Tafakarini! na kujidai kwenu waasomi wajuzi nk mnashindwa kuficha ubinafsi na chuki mlizonano! MSIJISAHAU mkahisi uhuru niwenu peke yenu

Kwa nini mnapenda kudai JF ni CHADEMA just kwa sababu ya mawazo ya wachace humu?:lol:
 
we Slaa mpuuzi sana acha kudharau dini za wenzako, Pengo alipotoa maoni yake kuhusu maandamano alifanya utafiti lini? yani nyie mnaposifiwa hakuna comment yoyote ila mkikoselewa tuu,ndo mnakuja na matamko ya kipuuzi! hiyo siasa badilikeni na acheni ulimbukeni coz mnatubero sana

Mkuu naona umeingia kwa kasi sana. Usitake watu tuamini kuwa na wewe Ilmu dunia imekupita kushoto. Hata mtoto wa Chekechea atajua kuwa Sheikh wetu ametumwa kutoa kauli tata huenda ikafanya CHADEMA waache kujiimarisha kwa kutoa elimu ya uraia nchi nzima. Kauli ya Pengo imefanyiwa utafiti kwani utafiti upo wa aina nyingi including observation, sasa kama wewe utakubali kuambiwa kuwa mkeo/mumeo huwa analala kwa mwanaume/mwanamke wa nje kila siku wakati unajua kuwa huwa unalala naye nyumbani na kuamini unayoambiwa basi ashakum wewe utatakiwa kuwa kwenye kundi la mbumbumbu au umepoteza uwezo wa kuhifadhi kumbukumbu kichwani mwako.

Haiingii akili kuwaambia watu kuwa mikutano ya CHADEMA inavuruga amani wakati hakuna hata mtu mmoja aliyenyonyoka unywele kwa kuhudhuria mikutano hiyo. Acha ushabiki wa kimbumbumbu mkuu.
 
we Slaa mpuuzi sana acha kudharau dini za wenzako, Pengo alipotoa maoni yake kuhusu maandamano alifanya utafiti lini? yani nyie mnaposifiwa hakuna comment yoyote ila mkikoselewa tuu,ndo mnakuja na matamko ya kipuuzi! hiyo siasa badilikeni na acheni ulimbukeni coz mnatubero sana
Na wewe fanya utafiti...........Kabla ya kuandika...... Usiwe na akili za kuangalizia......
 
chadema= JF= ukristo na ndio maana hamuachi kutukana na kubeza lolote linalofanywa na waislam, mmezidi chuki zenu kwa taarifa tu hii nchi sio yenu pekee yenu ni yetu sote na kila mtu ana haki ya kuongea,
mnashindwa kabisa kuficha yaliyomo katika nafsi zenu chuki, chuki chuki, tukisema chadema udini mnakataa! wakati majibu kama haya tunayaona hapa JF ni chadema chadema chadema hata chadema wakiropoka mnaona ni point tu na hili ndio litakalowaangusha mnawashtua hata waliolala, Tafakarini! na kujidai kwenu waasomi wajuzi nk mnashindwa kuficha ubinafsi na chuki mlizonano! MSIJISAHAU mkahisi uhuru niwenu peke yenu

off point. Kuna viongozi wengi tu waislamu ndani ya CHADEMA hao nao unawaongelea vipi? Mufti anayumbishwa na CCM mafisadi kuwapotosha wananchi.

Wewe pia huijui CHADEMA and ndiyo maana unaungana na Mufti wako kutamka mambo ambayo hata hamjayafanyia utafiti. Tunarudi kule kule mauaji ya Arusha Waziri mkuu kamsikilia Chitanda na wana CCM then akatoa tamko bila kusikiliza upande wa pili.

Kiongozi yeyote makini kabla ya kutoa Tamko lazima hoja zile azifanyie kazi. Namheshimu sana Mufti ila kwa hilo kadanganywa na kadanganyika kwa proto-kali ya CCM.

Hoja hii ya udini itawatafuna wenyewe.
 
chadema= JF= ukristo na ndio maana hamuachi kutukana na kubeza lolote linalofanywa na waislam, mmezidi chuki zenu kwa taarifa tu hii nchi sio yenu pekee yenu ni yetu sote na kila mtu ana haki ya kuongea,
mnashindwa kabisa kuficha yaliyomo katika nafsi zenu chuki, chuki chuki, tukisema chadema udini mnakataa! wakati majibu kama haya tunayaona hapa JF ni chadema chadema chadema hata chadema wakiropoka mnaona ni point tu na hili ndio litakalowaangusha mnawashtua hata waliolala, Tafakarini! na kujidai kwenu waasomi wajuzi nk mnashindwa kuficha ubinafsi na chuki mlizonano! MSIJISAHAU mkahisi uhuru niwenu peke yenu

Kaka/Dada hebu jipe muda kupitia mabandiko kabla hujaja na malalamiko...
 
Sidhani kama kuna haja ya malumbano hapa,naamini watanzania walio werevu na watu wazima huwezi kuwapangia wala kuwachagulia kusoma au kusikia maoni ya mtu yeyote,awe mwanasiasa, kiongozi wa dini au mpita njia na bila ya shaka jibu watakuwanalo mwenyewe.nini cha kufanya.
 
we vipi sasa unaweza kumlinganisha Pengo ha hilo tikiti maji Sheikh Simba??? we vipi ?Sheikh Simba hawezi kufanya utafiti maana hata kuandika kwenyewe hajui sasa tafiti atafanya saaa ngapi na kupiga lamli atapiga saa ngapi?

Mtu kama huyu tatizo lake ni Makuzi yake, Mama anauza mataputapu, Baba anapika GONGO na huyu jamaa ndio Productive, hapo kuna nini tena zaidi ya Insanity
 
Bado swala halijajibiwa...Mufti alifanya utafiti wa madai yake kuwa CHADEMA maandamano yake kinayofanya hivi sasa yana lengo la kuvuruga amani ya nchi? Yaani:
  1. Walipanga wapi huo mpango
  2. Walipanga kuutekeleza kivipi
  3. Je kuna ushahidi au nini dalili zake
  4. Nani amemjulisha huyo Mufti wakati hajawahi kuhudhuria vikao au mikutano ya CHADEMA
Haya turudi barabarani
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom