Dk Slaa asema Mufti hakufanya utafiti

Huyu atafanya utafiti saa ngapi? Anazo hizo akili?
Huyo Padri wako muasi Alipotangaza kifo cha RC wa Shinyanga alifanya utafiti? aliporopoka kuwa Rostam na JK walikuwa Mwanza wanaiba kura zake while Rostam alikuja na ushahidi wa visa kuwa alikuwa south alifanya utafiti? alipotumiwa sms kuwa kuna kontena la kura za wizi akaropoka baadae akaumbuka alifanya utafiti, alipowadanganya kuwa wamejipanga na hawataibiwa hata kura moja alifanya utafiti?, alipojidanganya kuwa hatamtambua JK zitto akamkanya mbona kanywea kamtambua alifanya utafiti??, alipomwita David Kafulila SISIMIZI alifanya utafiti???? ataishia kelele tu Ikulu atafika kwa kukaribishwa tu.
 
Kwa kuwa Ikulu ni ya Waislamu au vipi?
 
Unajua hili Dr Padre Slaa ni pandikizi la Papa ndio maana kila anachosema Pengo kwake ni hewala tu.

Hana utafiti wowote ni mropokaji mkubwa na muongo asiye na haya ata kidogo. Hafai kabisaaaaaaa kupewa nchi. Kazi kuiba wake za watu tu.
 
October 14,2003

Muslim agitation against what many believers consider to be government bias against Muslims has been relatively subdued in recent months as politically active believers concentrated on the election of a new Chief Mufti (Chief Sheikh) of Tanzania on October 13. Eventually, at a National Conference of the Muslim Council (BAKWATA), Sheikh Issa Shabaan Simba, who was Deputy Mufti, was elected Chief Mufti. Of the 150 ballots cast he got 71, defeating 11 rivals. The atmosphere was tense and the conference hall surrounded by security officials and riot police on the day of the election which was marred by accusations and counter accusations. There was an anonymous document alleging that Simba was not qualified because he had mismanaged BAKWATA funds. The election of the Mufti had been unsuccessfully challenged in the High Court by the Islamic Club, the Mosque Council (BAMITA) and the Muslim Associations who all said that he had no constitutional right to represent Muslims.

The Muslim activist Sheikh Ponda, Chairman of the ‘Committee of Imams' and seven of his colleagues who were facing murder charges were released on 19th August according to Nipashe. The Director of Public Prosecutions dropped the charges. The Sheikh had been arrested a day after riots that took place in Dar es Salaam on February 13, 2002, leaving a civilian and a constable dead. Sheikh Ponda later stated that he was going to sue the Government for the pain he had suffered while in detention for more than six months. Seven Muslim organisations promised to support his case -Mwananchi
 
Kwani hujui huyu ni pandikizi la PAPA huyu. Anaitwa Dr Padre Slaa, sasa unashangaa nini?

Slaa hatudanganyikiiiiiiiiiiiiiii
HAMAD RASHID-GOGORO, CUF-MASLAHI NA CCM-UFISADI MJUE FIKA USALAMA WA NCHI YETU UNAYUMBISHWA NA 'MUAFAKA WA MASLAHI BINAFSI' YA VYEO NA KUJIUNGA KULE NA NGURUWE KULA MABUA NA UFISADI
ULIOKITHIRI NCHINI

Jamani kuna uwezekano Wa-Tanzania tukawa na tofauti nyingi tu nchini zikiwemo zile za kitamaduni, kiimani, kijinsia na kadhalika lakini matatizo yanayotuhatarishia amani nchini, Wakristo kwa Waislmu na kote Bara na Visiwani ni zile zile!!

Nasema matatizo ya kusisitizwa tu AMANI na kufichwa kule kwa HAKI kwa raia ni chanzo cha matatizo kibao yanayotukaba kila siku nchini kama vile: (1) UFISADI uliokithiri ndani ya serikali ya CCM yatuathiri sote, (2) Muafaka wa CUF kujiunga na CCM kula mabua kwa pamoja na kuwaacha wananchi solemba kwenye umasikini wa kutupwa ni letu sote.

Kama haitoshi, pia (3) Utaratibu wa Serikali ya Muungano usiona tija, na fursa sawa wa moja kwa moja kwa mwananchi wa kawaida, (4) ukosefu wa ajira, (5) elimu duni, (6) Maisha kupanda gharama kila kukicha ni letu sote hivyo kwa hali ya kawaida kabisa Mtanzania hahitaji KAMPENI ZA KUTIANA HOFU pale tunapojiunga kama taifa kujikomboa kwa kudai haki zaidi na Katiba Mpya nchini!!!

... hatuwe kujua vizuri; wenzetu wa CCM na CUF waulizwe vizuri juu ya hilo jambo wanaloliona peke yao tu hapa nchini kuhusu usalama kutetereshwa ambalo sisi wengine hatulion.

Lakini kama kudai HAKI SAWA NA MASLAHI KWA UMMA wa Tanzania ndicho hasa kile kinachowakosesha amani wale MAFISADI walioko serikalini na kuitwa KUHATARISHA USALAMA WA NCHI na basi CHADEMA kazeni mwendo mdundo kwa sana tu.

Wa-Tanzania tunaakili sana kote Bara na Visiwani na pia tunafahamu fika kwamba wale wanaoingia muafakaka na serikali ya CCM gizani kwa maslahi binafsi ya kupata vyeo, mijumba, na mashamba ndio hasa wanaoHATARISHA USALAMA WA NCHI YETU.

Ndugu zetu akina Hamad Rashid, CUF-Maslahi na CCM-Ufisadi, acheni mara moja kuchezea akili za Mtanzania wa leo kote Bara na Visiwani tunasema kwamba Hatudanganyiki wala Hatugawanyiki kwenye Kutafuta Maslahi yetu kama Umma wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
 
Cheo chenyewe cha MUFTI kipo kwa huruma na fadhila za CCM na serikali yake na sio kwa ridhaa ya Waislamu wote. Dr Slaa anahangaika tu kumjibu huyu mzee ambaye hata afya yake ya akili na mwili ni tatizo kwa sasa.
 
Huyu atafanya utafiti saa ngapi? Anazo hizo akili?

..... ANOTHER REFLECTION:
A controversial US evangelical preacher oversaw the burning of a copy of the Koran in a small Florida church after finding the Muslim holy book "guilty" of crimes.

The burning was carried out by pastor Wayne Sapp under the supervision of Terry Jones, who last September drew sweeping condemnation over his plan to ignite a pile of Korans on the anniversary of September 11, 2001 attacks
 
we Slaa mpuuzi sana acha kudharau dini za wenzako, Pengo alipotoa maoni yake kuhusu maandamano alifanya utafiti lini? yani nyie mnaposifiwa hakuna comment yoyote ila mkikoselewa tuu,ndo mnakuja na matamko ya kipuuzi! hiyo siasa badilikeni na acheni ulimbukeni coz mnatubero sana

wale wale wasiofanya utafiti
 
  • Thanks
Reactions: LAT
Huyo Padri wako muasi Alipotangaza kifo cha RC wa Shinyanga alifanya utafiti? aliporopoka kuwa Rostam na JK walikuwa Mwanza wanaiba kura zake while Rostam alikuja na ushahidi wa visa kuwa alikuwa south alifanya utafiti? alipotumiwa sms kuwa kuna kontena la kura za wizi akaropoka baadae akaumbuka alifanya utafiti, alipowadanganya kuwa wamejipanga na hawataibiwa hata kura moja alifanya utafiti?, alipojidanganya kuwa hatamtambua JK zitto akamkanya mbona kanywea kamtambua alifanya utafiti??, alipomwita David Kafulila SISIMIZI alifanya utafiti???? ataishia kelele tu Ikulu atafika kwa kukaribishwa tu.
We Songoro acha ubwege! Ata mkeo atakucheka. Fikiri kwa kutumia ubongo sio makalio!
H
 
Huyo Padri wako muasi Alipotangaza kifo cha RC wa Shinyanga alifanya utafiti? aliporopoka kuwa Rostam na JK walikuwa Mwanza wanaiba kura zake while Rostam alikuja na ushahidi wa visa kuwa alikuwa south alifanya utafiti? alipotumiwa sms kuwa kuna kontena la kura za wizi akaropoka baadae akaumbuka alifanya utafiti, alipowadanganya kuwa wamejipanga na hawataibiwa hata kura moja alifanya utafiti?, alipojidanganya kuwa hatamtambua JK zitto akamkanya mbona kanywea kamtambua alifanya utafiti??, alipomwita David Kafulila SISIMIZI alifanya utafiti???? ataishia kelele tu Ikulu atafika kwa kukaribishwa tu.
kuna lile shairi lenye kuelezea wasifu wa slaa nililiona hapa jana sikumbuki kwenye thread ipi mwenye analo atupostie tuweze kuona jinsi alivyo mropokaji
 
Kwani hujui huyu ni pandikizi la PAPA huyu. Anaitwa Dr Padre Slaa, sasa unashangaa nini?

Slaa hatudanganyikiiiiiiiiiiiiiii

Hi,HM hafif,Seniorita,Genius Brain.

Naomba nianze kwa kusema Historia huwa haifutiki,Tunajua wote kuwa Slaa aliwahi kuwa padri,hilo halita saulika kabisa na zaidi ikichangiwa na kazi alizozifanya na nyazifa mbalimbali za juu alizozitumikia katika kanisa katoliki,kwa ufupi atakapoongelea CV ya maisha yake hawezi kusahau historia hii,hata yeye alishatueleza mara nyingi.

Tunapokuja katika kuchangia masuala ya msingi ninyi wenye agenda au wengine wanasema BIFU binafsi na Slaa basi msianze kututoa nje ya mada kwa historia ambayo hata watoto wadogo wanaijua.

lakini kwa Ndugu zangu waislamu wale ambao kweli hofu ya Mungu iko ndani mwao watajua uhalali wa matamko ya Mufti,Uzuri na ubaya wake.Hili halijadiliki mwenye macho haambiwi tazama na mwenye masikio haambiwi asikie.

mwisho utafiti mdogo tu ambao Mufti angeufanya ni wakutaka kujua ni kwanini watu hawa wanaenda kwenye maandamano bila matangazo kutoka msikitini? najua matangazo mengi huwa yanatangazwa msikitini lakini siyo mikutano ya Chadema.majibu yako dhahiri.

Tuwe macho na kufuata mikumbo jamaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaani watu wengine wanayo yao nyuma ya pazia.
 
Ndugu yangu Tahwa. Sheikh Mkuu amepiga tu Madrasa lakini Pengo kasoma masomo yote kama wewe na kuongezea Divinity. Tofauti yao kifra ni kubwa sana yaani kama kulinganisha Mt. Kilimanjaro na kichuguu cha mchwa. Tukubali kuwa kakurupuka atafakari upya kauli yake.
 
we Slaa mpuuzi sana acha kudharau dini za wenzako, Pengo alipotoa maoni yake kuhusu maandamano alifanya utafiti lini? yani nyie mnaposifiwa hakuna comment yoyote ila mkikoselewa tuu,ndo mnakuja na matamko ya kipuuzi! hiyo siasa badilikeni na acheni ulimbukeni coz mnatubero sana

[KATIBU Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk Willbroad Slaa amewataka viongozi wa dini nchini kufanya utafiti kabla ya kutoa matamko yao katika vyombo vya habari.......]

acha hizo wewe....soma habari kwa makini kabla hujachangia....kasema viongozi wote wa dini.....hii inamaaninsha "viongozi wote wa dini" na sio dini moja....
poor thread......
 
we Slaa mpuuzi sana acha kudharau dini za wenzako, Pengo alipotoa maoni yake kuhusu maandamano alifanya utafiti lini? yani nyie mnaposifiwa hakuna comment yoyote ila mkikoselewa tuu,ndo mnakuja na matamko ya kipuuzi! hiyo siasa badilikeni na acheni ulimbukeni coz mnatubero sana

Wewe ndiyo inaelekea ni mpuuzi. Dr. Slaa yuko sahihi kabisa. Inaelekea Mufti anaongea mbali na kufanya utafiti inaelekea hajui hata anachokiongea. Sijui kama huyu Mufti huwa anasikiliza taarifa za habari direct kutoka El jazira, BBC, CNN au Sky News au anasubiri redio TZ na TBC wazitafsiri kwanza kwa kiswahili. Kama Kingereza hakipandi............. namshauri atazame walau Al Jazira Arabic. Kwa kukuhakikishia kuwa Mufti haelewi au hafanyi utafiti ni pale aliposema kuwa Gadaffi anapigwa na Americans kwa ajili ya Uislam wake wakati waliobaliki mashambulishi yale ni waarabu wenzake na Qatar amepeleka na fight jets kwa hilo. Mbali ya hilo Gadaffi mwenyewe alisema Al Qaeda (Waislam safi) ndiyo wamesababisha hayo machafuko na ndiyo wanaoipinga serikali yake na hakuwahi kusema kuwa ni America.

Wadau,
Sheikh mkuu alialika waislamu wote na maulamaa wafike msikiti wa Al-farouq kwa ajili ya kujadili hali ya machafuko huko Libya na muenendo wa siasa za Tanzania, Tusimlaumu Mufti kwani hakufanya hayo binafsi. Ni baada ya mkutano huo ndipo akaja na conclusion yake, mkutano huo ulitangazwa saana via Radio kheir kwa kuwaalika wote wafike. Kauli ya mufti isichukuliwe kimzaha, it means something.
Kiuhalisia wa Tanzania ni kwamba...kumetokea tabaka kubwa na linalosambaa kwa kasi isiyozuilika kirahisi (UDINI). Mufti katoa kauli baada ya Pengo kutoa kauli, HEBU TUYAJADILI MATAMKO YAO KIUJUMLA YALILENGA NINI? Mufti vs Kardinali.

Mpevu, binafsi nimekupata. Lakini kauli hii kama ni ya kuasa ingefanya kwa Watanzania wote bila kutaja neno Waislamu. Kwanini: itajenga hisia kuwa kwa sasa wanaoandamana ni Wakristo na siyo Waislamu, hivyo baadhi ya Waislamu wanaweza kujitokeza kuleta vurugu katika maandamano hayo kwa kusema kuwa Wakristo wanataka kuiangusha serikali inayoongozwa na Muislamu. Huu ni upande mmoja.
Upande mwingine ni kwamba Waislamu pia wanaweza wakapuuzia agizo la Mufti na hapo Mufti anaweza akawagawa Waislamu katika makundi ya kuhasimiana yenyewe kwa wenyewe!! Na kama Waislamu wakiendelea kuwepo kwenye maandamano Mufti atachukua hatua gani?
Ni vizuri watu wakajua kuwa maandamano yanayotokea yakiongozwa na Chadema, Je yanasema serikali iliyopo madarakani hatuitaki au inasema mapungufu ya serikali ili kuiamsha serikali ifanye kazi yake ya kuhudumia wananchi.
Lakini ya Mufti sishangai maana aliyeanza kulalamika ni JK mwenyewe wakati akiwa kama Rais na Mwanasiasa Mwenyekiti wa Chama Kinachotawala cha CCM ilitakiwa ajibu hoja zilizokuwa zinashadadiwa na Chadema kuwa kama ni uongo aseme kama serikali wamefanya nini na kama hawajafanya nini mipango yao na tutarajie nini wakati gani. Wananchi tungeweza kuelewa na kuipa serikali muda lakini kwa serikali kulalama kwa wananchi, sasa wananchi walalame kwa nani?
Hayo matatizo yaliyopo yafanyiwe kazi na hilo ndilo suluhisho la manung'uniko ya wananchi. Wakumbuke tu kuwa Misri ilipiga marufuku maandamano kwa miaka 30 iliyopita na hata juzi wananchi wake walipoandamana mpaka Mubaraka akaachia ngazi bado sheria hiyo ilikuwapo na kwa sasa imefutwa.
Jamani viongozi wafunguwe masikio na macho wawasikilize na kuwatazama wananchi na wasitumie uwezo na vyeo vyao vibaya. Usipowasikiliza wananchi, masomo utayajifunza Mwanza kwa Masha na Diallo. Waliona wao walifika lakini walisahau kuwekeza kwa wananchi wapiga kura!!!
 
Huyo Padri wako muasi Alipotangaza kifo cha RC wa Shinyanga alifanya utafiti? aliporopoka kuwa Rostam na JK walikuwa Mwanza wanaiba kura zake while Rostam alikuja na ushahidi wa visa kuwa alikuwa south alifanya utafiti? alipotumiwa sms kuwa kuna kontena la kura za wizi akaropoka baadae akaumbuka alifanya utafiti, alipowadanganya kuwa wamejipanga na hawataibiwa hata kura moja alifanya utafiti?, alipojidanganya kuwa hatamtambua JK zitto akamkanya mbona kanywea kamtambua alifanya utafiti??, alipomwita David Kafulila SISIMIZI alifanya utafiti???? ataishia kelele tu Ikulu atafika kwa kukaribishwa tu.

Pole sana.Mungu akutazame kwa jicho lake ili ufunguliwe kiroho na kiakili.You sound to be frastreted.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom