Mipangomingi
JF-Expert Member
- Mar 16, 2011
- 2,713
- 2,058
Sikulaumu sana kwa kuwa jina lako ni Mr. zero, sjui itakuaje ukioa Ms. Tiro!Wewe ndiyo inaelekea ni mpuuzi. Dr. Slaa yuko sahihi kabisa. Inaelekea Mufti anaongea mbali na kufanya utafiti inaelekea hajui hata anachokiongea. Sijui kama huyu Mufti huwa anasikiliza taarifa za habari direct kutoka El jazira, BBC, CNN au Sky News au anasubiri redio TZ na TBC wazitafsiri kwanza kwa kiswahili. Kama Kingereza hakipandi............. namshauri atazame walau Al Jazira Arabic. Kwa kukuhakikishia kuwa Mufti haelewi au hafanyi utafiti ni pale aliposema kuwa Gadaffi anapigwa na Americans kwa ajili ya Uislam wake wakati waliobaliki mashambulishi yale ni waarabu wenzake na Qatar amepeleka na fight jets kwa hilo. Mbali ya hilo Gadaffi mwenyewe alisema Al Qaeda (Waislam safi) ndiyo wamesababisha hayo machafuko na ndiyo wanaoipinga serikali yake na hakuwahi kusema kuwa ni America.