Dj fetty talks about anti-virus: Kuna ukweli apa jaman?

nawasikitikia sana lwp, afande sele, gangwe mob kwani jumamosi was the only day ... Wametumika na kutoswa kama bigjee
Mkuu hawa vijana wakipata viji mafanikio eti wanaenda south africa ku relax! Hawa wakina diamond wakitoswa na akina Ruge ndani ya mwezi kafulia unajiuliza hizo pesa gani? Uganda now wasanii wananua magari ya Tsh 200,000,000! Bongo Bmw na nyumba ya kupanga Sinza anaenda S.A kurelax!! Mtandao wa wizi ni mpana na akina Ruge wanautumia kuwaliza! Mnajua Profesa J ameanza kujenga lini? Mnajua level ya msanii kama Profesa J nchi hii? Nashangaa wasanii wanaoshindwa kumwelewa Sugu! Wasanii ukitaka kumjua Ruge gombana nae uone habari yake! Kama una uzinduzi wa albamu hadi wadhamini wanakukimbia!! Kuna upuuzi mzito unalelewa na wasaníi wanaopata vifedha kidogo.kupitia njaa zenu wasanii mnagawanywa na wanyonyaji ili msijisimamie lakini tulidhani wanaharakati wa longtime kama kalapina asingedanganywa kirahisi!! Hebu muulize mtu kama Kalapina nini kimebadilika leo kwenye tasnia ya muziki hadi leo awe rafiki na adui zake wa muda mrefu wa mawingu? Mnatumika kipuuzi! mwana fa kupitia elimu yake sikutegemea kama angekosa kujiamini na kusimamia ukweli lakini ndio kabisaa ile shule aliyopiga anaitumia kupotosha umma! Unafiki huu!
 
Hebu tujikumbushe hii,kweli nyerere aliona UMASIKINI ni adui wa taifa!!

kwa maneno aliyoyaongea humu sijui kama Msindi akili yake ipo sawasawa,namaanisha kama alikubali wito kwenda kwa Mawingu kutumbuiza,maana alichokiongea na alichokifanya ni tofauti kabisa

kwa msemo mwingine Msindi ni mtu hatari sana msaliti ambae si wa kuchezewa hata kidogo

Jf hebu sikilizeni alichokiongea then mtanipa jibu

kama msindi aliungana na mawingu basi akapimwe akili
 
Last edited by a moderator:
Leo asubuhi nilisikiliza powerbreakfast ya Clouds, Gerald Hando alipanic kweli kweli, kwa jinsi alivyokuwa anafoka yani nadhani mpaka mimate ilimtoka!

Analaumu kwanini watu wameenda kusikiliza wahuni? Kama kuongea ukweli ni uhuni na unaonekana una chuki basi kazi ipo.

Analaumu kwanini viongozi wa CDM wameenda kusikiliza wahuni? Nadhani hajui hii ni nchi huru na kila mtu kwa nafasi yake anaweza kuunga mkono kile anachoona kina maslahi kwa wananchi.

Anasema watu waliingizwa bure ili wajae. Hahaha. Nina rafiki zangu walifika pale saa 6 usiku (Show iliisha saa 7 usiku) na walilipa kiingilio.

Mi nawashauri clouds wanyamaze tu, maana wanaonekana wanatapatapa.
KUFENI KIMYAKIMYA!
 
tatizo wanajiona wao ndo wao katk burudani, kiukweli wanaboa sometymz.
 
Hebu tujikumbushe hii,kweli nyerere aliona UMASIKINI ni adui wa taifa!!

Afande Sele kama alienda kama mamluki basi atalinda heshima yake, lakini vinginevyo heshima itashuka sana kwa kujipinga kile alichokuwa anakisemea kila siku.
 
Last edited by a moderator:
kwa maneno aliyoyaongea humu sijui kama Msindi akili yake ipo sawasawa,namaanisha kama alikubali wito kwenda kwa Mawingu kutumbuiza,maana alichokiongea na alichokifanya ni tofauti kabisa

kwa msemo mwingine Msindi ni mtu hatari sana msaliti ambae si wa kuchezewa hata kidogo

Jf hebu sikilizeni alichokiongea then mtanipa jibu

kama msindi aliungana na mawingu basi akapimwe akili
Ujumbe kwa baba tunda:
 
Hivi fetty amekuwa msemaji wa wafu fm!!?
Mbona anajiabisha sana!
Angeacha issue ikaishia juu juu sasa yeye anaichochea au anamkataba wa kufanya kazi maisha hapo wafu fm......!?nukta
 
wa eva .... he is pathetic that's the bottom line ...

mkuu unatakiwa kuwa mwelewa,tatizo hapa ni wasanii kufanywa kama daraja ama ngazi ya kufuata pesa juu ya Dari,huku wao wakiumia kwa kuwabeba watu migongoni.

Naomba uwe mkweli bila kumung'unya maneno,hivi umesikiliza alicho kiongea Msindi ktk hiyo video hapo juu? na unaweza kuoanisha na alichokifanya juzi

yaani msindi ameendelea kukubali kuwa daraja na ngazi kwa kutokujua ama kufahamu nini afanyanyo,ama ameona bora liende

huwezi tapika na kurudia kula matapishi yako,la sivyo uwe ni kichaa,mwendawazimu

watu wanajitahidi kukutetea utoke ktk wimbi la kunyanyaswa wewe Msindi bado unadanganyika

Ok
tusubiri kunakitu chaja,kama si leo basi kesho juu ya wasaliti wa wazi wazi
 
Hivi fetty amekuwa msemaji wa wafu fm!!?
Mbona anajiabisha sana!
Angeacha issue ikaishia juu juu sasa yeye anaichochea au anamkataba wa kufanya kazi maisha hapo wafu fm......!?nukta
Amuulize masoud kipanya alifukuzwa kazi kwa cku 4,sasa awe muangalifu na kina ruge yatamkuta na asamini
 
.."If you refuse to sail with the wind, you will end up in the rocks". Kosa la kubwa lililofanya na mizaha FM ni kuwasapoti magamba huku wakiwatusi wana mageuzi. Kilio cha wanamageuzi ni kupinga unyonyanyi na ubadhirifu ktk nyanja zote-ikiwemo mziki. Walidhani kwa kutumia nguvu yao ya miaka mingi ktk entertainment industry wanaweza wakasema na kufanya lolote dhidi ya wateja wao wakuu-VIJANA na bado wakafanikiwa kibiashara. Nadhani ni kosa kimkakati kwa mizaha FM kupinga kwa dharau ya hali ya juu vuguvugu la mageuzi linaloendeshwa na VIJANA. Uswahiba na mkuu wa kaya una mwisho, tena ni 2015 tu.

Naami kuna wengi walienda kwenye shoo ya Sugu bila hata kuwa mashabiki wa mziki, let alone, kuwa mashabiki wa wasanii kama Zay B! Mizaha FM bado wana nguvu ktk entertainment industry, lakini huko tuendeko, watakuwa irrelevant wasipobadili muelekeo.
 
Ninachofurahi ni kuwa wale wanamuziki ambao sikuwa nikiwasikia nyimbo zao kupigwa sasa zinapigwa na mambo yameanza kukaa sawa,hongera ziende wa Mheshimiwa Mbilinyi kwa kuleta mapinduzi haya kiasi kwamba hata wale wanamuziki ambao walikuwa choka mbaya waliweza kupiga show chini ya Clouds.
Hebu tujiulize,bila Sugu kuja na Anti Virus Afande Sele na wenzake wangeingia makubaliano na Clouds kupiga show?
Nimeamini kuwa Sugu ni moto chini na amewatetemesha vya kutosha.
 
Back
Top Bottom