SUPERUSER
JF-Expert Member
- Jun 11, 2011
- 960
- 304
''Kama msanii unafanya kazi nzuri, basi itapendwa na itanunuliwa...hata kama clouds wasipoicheza nyimbo yako kama ni nzuri si itachezwa tu kwingine?! Kama msanii ni mahiri, mweledi wa taaluma/sanaa yake basi atajua jinsi ya kumanage sanaa yake kibiashara bila kusumbuliwa au kukwazwa na mtu au kitu chochote iwe clouds n.k.
Naangalia wasanii wote waliounda kundi zima la Anti-virus...nikitathmini undani kupanda na kushuka (rise & fall) kwao kitaaluma/sanaa sio kwamba wa Clouds iliwapokonya kipaji/weledi wao au iliwanyang'anya mafao yao ila ni wao wenyewe walichezea kima chao cha mwanzo na kushindwa kuendelea pia wengi walipoteza dira ya sanaa bora na management ya sanaa hiyo kibiashara.
Ieleweke Clouds ni radio ya biashara ila kwa mapenzi ya wamiliki wake katika sanaa na burudani, ndio media ya kwanza kuwapa platform wasanii wengi nchini na bado inaendelea kufanya hivyo, ila haitakubali kubeba wasanii ambao hawako sokoni tena- kwa maana ya 'fallen heroes' kutokana na kupumzika sanaa, kubadili taaluma, kushindwa kuendeleza kipaji/weledi wao katika sanaa zao n.k.
Ukweli wanaujua, ila wanaamua kupumbaza jamii kwa kupandikiza chuki dhidi ya chombo kimoja- chuki ambazo ni binafsi zaidi kuliko kiweledi. Ila huwa tunajua muda(time) ni tiba ya kila gonjwa... hili pia litatibika na tutajua chanzo cha ugonjwa ni nini. Kwa sababu mwisho wa siku swala ni biashara, iwe kwa msanii, promoter, manager au chombo cha habari...''
SOURCE: DJ FETTY BLOG