Dj fetty talks about anti-virus: Kuna ukweli apa jaman?

Kwa jinsi radio clouds wanavyotoa matamko ya kujikosha kwa wadau wa muziki ni dhahiri kwamba ujumbe umewafikia.
Walifika mahali wakajiona wao ndio mwanzo na mwisho katika muziki ndani ya nchi hii, kwamba msanii hawezi kutoka bila kukubali kuburuzwa nao. Pongezi sana Mr. MP kwa kuwaonyesha njia wasanii wenzako, kidogo kidogo mwishowe watakuelewa na kuungana nawe katika vita hivi vya ukombozi kwa wasanii unavyovipigana, na ama kwa hakika utashinda tu.

Na katika wasanii wote, anayenisikitisha ni huyu anayejiita mwanaFA, tumeambiwa ni msomi-kwamba ana shahada ya uzamili (masters degree) lakini katika hali ya kushangaza eti amekubali kutiwa kapuni na ruge! yaani kumbe hata hiyo elimu aliyonayo haijamkomboa!?
 
seriously nani kwa kizazi cha sasa... aanze kusikiliza nyimbo za mabaga fresh.. sister P.... lawama nyingine upuuzi mtupu! hawa wanaojiita vinega hii vita kamwe hawatashinda clouds ilikuwepo na itaendelea kuwepo..

we kilaza kweli, sasa Wafu fm imeenza mwaka gani?
usidandie tren kwa mbele, wafu wamekuja wamekuta watu wanafnaya music, wakajipendekeza wakapewa waongoze game sasa wamesahau waliowapa madaraka..
lazima kisomeke, Lady Jd, Masoud Kipanya, Tayana, Bandago, Ray C, Gadner unajua kwa nn hwapo wafu fm tena??
mtoto wa juzi ww na hit single yako ya kwanza ni Mbagala ya DIamond so hauujui muzik nyamaza kimyaaa
 
Kwa jinsi radio clouds wanavyotoa matamko ya kujikosha kwa wadau wa muziki ni dhahiri kwamba ujumbe umewafikia.
Walifika mahali wakajiona wao ndio mwanzo na mwisho katika muziki ndani ya nchi hii, kwamba msanii hawezi kutoka bila kukubali kuburuzwa nao. Pongezi sana Mr. MP kwa kuwaonyesha njia wasanii wenzako, kidogo kidogo mwishowe watakuelewa na kuungana nawe katika vita hivi vya ukombozi kwa wasanii unavyovipigana, na ama kwa hakika utashinda tu.

Na katika wasanii wote, anayenisikitisha ni huyu anayejiita mwanaFA, tumeambiwa ni msomi-kwamba ana shahada ya uzamili (masters degree) lakini katika hali ya kushangaza eti amekubali kutiwa kapuni na ruge! yaani kumbe hata hiyo elimu aliyonayo haijamkomboa!?

Kuhusu FA ni moja kati ya haya: unaweza ukasoma na bado usielimike ama ni mmoja kati ya wasanii wachache wanaonufaika na ukupe wa virus baada ya kukubaliana na unyonyaji wao.
 
so hiyo ndio ex choose aliyotoa kwa kutukana matusi ya mama ... well Mr. MP your pathetic!

we kilaza kweli, kama sugu anaimba matusi, Afande kawatukana WAFU FM na video akaiweka youtube mboma walimuita kwenye shoo yao?
si wangemuacha kama anatukana
 
seriously nani kwa kizazi cha sasa... aanze kusikiliza nyimbo za mabaga fresh.. sister P.... lawama nyingine upuuzi mtupu! hawa wanaojiita vinega hii vita kamwe hawatashinda clouds ilikuwepo na itaendelea kuwepo..

Hujaelewa maana ya concept nzima ya Antivirus movement,sema uelimishwe then ujenge hoja!Sio mambo ya mziki gani mzuri na upi mbaya,upi mpya na upi wa zamani,msanii mpya yupi na wa zamani yupi,etc.....soma uelewe tafadhali acha unazi.
 
.."If you refuse to sail with the wind, you will end up in the rocks". Kosa la kubwa lililofanya na mizaha FM ni kuwasapoti magamba huku wakiwatusi wana mageuzi. Kilio cha wanamageuzi ni kupinga unyonyanyi na ubadhirifu ktk nyanja zote-ikiwemo mziki. Walidhani kwa kutumia nguvu yao ya miaka mingi ktk entertainment industry wanaweza wakasema na kufanya lolote dhidi ya wateja wao wakuu-VIJANA na bado wakafanikiwa kibiashara. Nadhani ni kosa kimkakati kwa mizaha FM kupinga kwa dharau ya hali ya juu vuguvugu la mageuzi linaloendeshwa na VIJANA. Uswahiba na mkuu wa kaya una mwisho, tena ni 2015 tu.

Naami kuna wengi walienda kwenye shoo ya Sugu bila hata kuwa mashabiki wa mziki, let alone, kuwa mashabiki wa wasanii kama Zay B! Mizaha FM bado wana nguvu ktk entertainment industry, lakini huko tuendeko, watakuwa irrelevant wasipobadili muelekeo.

Swaaadaktaaa!
 
Umeona eeh...especilly huyu afande sele si walikua na bifu nae wakajidai awapigi nyimbo zake

Afande hana msimamo na hajui haki zake za msingi kwenye sanaa,haiwezekani mtu akufukuze kwake kwa kashifa kibao halafu baadae akuite tena ili umnufaishe,na wewe kwa haraka haraka bila kufikiria unajipeleka kama mbwa kavutwa na chatu,huyu afande katika mashoga woote wa clouds nimemchukia sana"***** zake"
 
Hujaelewa maana ya concept nzima ya Antivirus movement,sema uelimishwe then ujenge hoja!Sio mambo ya mziki gani mzuri na upi mbaya,upi mpya na upi wa zamani,msanii mpya yupi na wa zamani yupi,etc.....soma uelewe tafadhali acha unazi.
Hata ID yake alotumia inaonyesha ni Pumba tupu! "Njiwa" subiri kuchinjwa na Ruge!
 
Huyo ndio Fatma Hassan - Fatty - Fetty? Du mnyumbulisho wa hayo majina kazi kweli kweli.
 
vinega hawana tofauti na huyu dogo....

386213_225207160886471_142304782510043_551876_30912928_n.jpg

haya bhana
View attachment 42348
 
Hapo kwenye fallen heroes sasa! Ina maana Afande, LWP, Manzeshe crew, Gangwe Mob! Clouds waliwachukua baada ya kujua kuwa watakuwa kwenye show ya Antivirus walikuwa ni standing Heroes? au wali-stand baada ya kutangwazwa kwenye perfoming list ya Antivirus? Hao mnaowaita fallen heroes ndio waliotikisa Jiji la Dar Jumamosi pale Bamaga....sio kila msanii lazima awe kama shoga(e.g Chocolate fleva) ndio a-hit! ..Na bado clouds mtatoa matamko sana! ***** zenu!
duuu!! watu wananifurahisha jamani !!!! wapi like kitufe niwagongee!!!
 
Fetty umezungumzia upande mmoja tu. Hizo sababu ulilozitaja za kuanguka kwa wasanii wakongwe hawa walongwe waloshiriki show ya juzi hawanazo? Maana na hao kwa muda sana hawakusikika Radioni kwenu mpaka majuzi palipotangazwa Vita.Hawa wasanii mnaowakumbatia nao hawana mapungufu hayo uloyataja?Nijuavyo mimi Lengo la Vinega ilikuwa ni 1؛‎ kuwarudisha kwenye game waloonewa2. Ilikuwa ni kudai maslahistahiki katika shows3. Kusambaza elimu kwa wasanii n.kNa kazi imeanza kuonekana kwa sababu1. Clouds juzi mmepiga show na wakongwe mlowakataa mwanzoni.2. Elimu imeanza kutolewa kwa wasanii (Kama ulivyofanya hapo kwenye blog yako). Na mengine mengi mema yatakuja.Naamini hapa lengo sio kuleta uadui. Lengo ni kuleta manufaa kwa wote.
safiiiii!!!!!!!
 
Salaam nyingi kweni nyi wote wapenzi wa muziki hapa Bongo,leo kamanda wenu Mac Temba aka mwanaharakati wa Anti virus nataka kuwapa tafsiri na kuweka mambo sawa yote kuhusiana na mambo kibao yanayopindishwa na kuficha ukweli wa Vuguvugu la kudai haki sawa na uwanja huru wa kufanya sanaa hapa Bongo,kwa jina la mtaani limepewa jina la “Anti virus”

Anti virus ni mkusanyiko wa watu mbalimbali wenye taaluma mbalimbali na uwezo mbalimbali ambao tunaamini kuwa sanaa hii ya muziki inaweza kuwasaidia vijana wengi hapa bongo na pia kuisaidia nchi yetu kupata kodi ambayo itasaidia kuleta maendeleo na kuisogeza nchi yetu mbele kama wenzetu Afrika kusini,Nigeria.Kamwe huu si mgomvi na mtu mmoja wala chombo kimoja cha habari.

Kinachodaiwa hapa ni haki na usawa katika sanaa na malipo sahihi kama wanavyolipwa wakenya na wanaigeria wakija hapa kufanya maonyesho mafupi ya muda wa saaa moja na kuchota mamilioni mengi toka kwa makampuni ambayo yanapata faida toka kwa watanzania hawa ambao wasanii wao wa ndani wanaishi maisha mabovu sana na wala hawakumbukwi na makampuni haya ya bidhaa ambayo hupata mamilioni ya faida toka wa watanzania hawa.

Sanaa na soka ni fursa pekee ya kumfanya mtoto toka katika familia masikini kuweza kuwa milionea ama kufanikiwa kujinyanyua toka katika maisha mabovu mpaka maisha bora,ni kama mpira ulivyo katika nchi ya Brazil,soma historia za wanasoka kama wakina Ronaldo de Lima na wekina Pelle soka ndilo lililowafanya waweze kujiinua na kuweza kuzisaidia familia zao kupata mafanikio na kuishi maisha bora nay a kifahari.

Hakika naomba niweke sawa hapa Anti virus movement ya kudai haki si ugomvi kati ya Sugu na Ruge bali ni vuguvugu la wasanii wa zamani wanaamini kuwa game ya muziki haiendi sawa na kutaka mambo yawe wazi na BASATA na COSOTA kuundwa upya ili ziweze kufanya kazi kwa ufanisi na kupunguza haya malalamiko na pia watu hao wanaoitwa mapebari katika muziki(hao Virusi katika muziki wanaotafuna mamilioni ya wasanii wetu wachanga wakome),hii ndio sababu ya anti virus na hakika kadiri muda unavyozidi kwenda nashukuru watanzania wanazidi kutuelewa.
Sugu ndiye msanii pekee anayeweza kusimama mbele na kujiita Legendary katika muziki huu na si mwingine yeyote maana wengi wao ni kama “fisi maji” mnaotaka mabadiliko lakini hamtaki kuongea eti “mtanyimwa airtime redioni” acheni ujinga na kujifanya wanaharakati wakati mnaendelea kunyonywa na mnaishi maisha mabovu wakati sanaa yenu ni kubwa sana na ndiyo kazi pekee inayowafanya muishi mjini,maana wengi wenu mliacha shule kukimbilia katika sanaa cha kushangaza mnaogopa kusimama na kutetea haki zenu za msingi.

Mapambano dhidi ya vuguvugu la kupinga unyonyaji huu hayajaanza jana wala juzi,Solo Thang mwana hiphop anayeishi na kufanya kazi Ireland aliwahi kuingia katika beef na redio moja hapa kwa kudai haki na kuwachana kuwa wanaiba haki za wasanii,wakampiga vita na kumtengenezea kila hila ili kumpoteza,hata wasanii ukiongea nao wanajua haya ila eti wanamuogopa huyo virus eti atawapoteza na kuwanyima airtime ila wako tayari kuendelea kusafriki mikoa yote kwa show ya laki 4 wakati wanaingiza mamilioni ya shilingi.

Inashangaza eti msanii kama Lina eti anaambiwa ana mafanikio kwa kuweza kununua gari aina ya “Vitz” baada ya kuuza albamu na kufanya show kibao,je haya ni mafinikio kweli kwa mauzo ya albamu Bongo?haya ndio mambo tunayopigia makelele maana zamani adui wa wasanii alikuwa mdosi lakini siku hizi mpaka huyo Virus sasa ndiye anayeamua kusambaza albamu za wasanii wetu na nani apewe shilingi ngapi kwa albamu yake.

Ni wasanii wangapi wa hapa kwetu wenye kuishi maisha ya kueleweka na kumiliki vitega uchumi na kuweza kuendesha maisha yao???hakika hawazidi kumi kwasababu wengi wanapambwa redioni lakini ki uhalisia hawana cha maana,hebu ona wsanii kama Mr Nice,Bushoke,Gangwe Mobb,Feroos,East Coast Team walivyotumiwa na alivyotupwa na hao wadau,Sio kwamba wametumia pesa vibaya bali asilimia kubwa ya pesa hizo huliwa na hao wadau na kuahidiwa eti promotion ya albamu ijayo.

Hili si sawa ndio maana katika hili tunataka wanaojibu hoja za Anti virus wajibu hoja na sio propaganda za kitoto maana watu wameamka na wanataka majibu na uwanja huru katika sanaa,kila mwenye fursa na uwezo katika sanaa afanye bila kubughuziwa,sanaa iwe huru na vyombo vinavyosimamia sanaa viweze kufanya kazi bila mikono ya hawa virus aka mabepari wa sanaa wanaopigwa vita.Huu sio ugomvi wa watu wawili hapana,haya ni mapambano ya kudai haki na usawa katika sanaa yetu maana sanaa si ya watu wachache.

Kama mambo haya ya sanaa yetu yangeweza kuwa wazi na fair tungeweza kuwa na wasanii wenye mafanikio kama lady Jaydee wengi sana na hakika wangeweza kuwavutia mabinti wengi kuingia katika sanaa hii lakini ukimtoa lady jaydee taja mwanamuziki mwingine mwenye mafanikio kama yeye,Kuna siku moja niliona mahojiano na msanii mmoja mkubwa wa hip hop bongo anayejiita legendary akisema mafanikio yake katika gemu toka aanze miaka zaidi ya kumi nyuma ni nyumba na gari Spacio!!! Daah inasikitisha sana unapoona msanii kama Nonini wa juzi juzi sasa hivi ana mafikio makubwa na hafanyi show chini ya dola 2500 na ukiwataka P unit ni dola 3000 lakini katika show hiyohiyo msanii wa bongo analipwa laki 4 na wengine mpaka bure kwa ahadi ya kupewa airtime redioni kwao,huu ndio wizi tunaousema uishe maana ni lini msanii wetu atakuwa na mafanikio kama malipo ndio haya.

Hofu kubwa ya kundi hilo la mafisadi wa sanaa hapa Bongo ni kuwa haya mambo yakiwa wazi watakosa pa kuiba na kufisadi ndio maana wanapandikiza mamluki na kujibu majibu ya ki propaganda na kukimbia hoja za msingi,jambo moja ambalo wanapaswa kulijua ni kuwa hakuna jambo ambalo halina ncha.

katika hili muda umefika,jana kwenye facebook mambo mengi yamejiri na comments kibao mmoja wa wadau wa muziki Pkay alindika “the fall of Roma empire…wake up kids…maji yakizuiwa njia hutafuta mkondo mwingine,someni alama za nyakati”

Dada Maria Sarungi- Tsehai yeye aliubatiza huu mwamko kama Sugu phenomenon katika ukurasa wake wa facebook jana na kusema “Angry young men ambao wamechoka na wameamua kujiexpress kupitia muziki,ni hatua nzuri ila isiishie hapo…”

Carren Flora Mgonja kwenye wall yake ameeandika”Asanteni vinega kwa kutupa show tukioikosa kwa long tyme,I salute my brothers,safi sana Adili na songi lako peke yangu,Soggy na kibanda cha simu”

Hili mimi nililijua litafika hapa maana hakika ni jambo ambalo tulikiwa tunalizungumzia mara kwa mara katika mijadala na wadau wa muziki huu kuwa kuna watu wachache wanaohodhi mamlaka na kufanya mambo katika sanaa yasisogee mbele kwa manufaa yao binafsi,napinga sana suala hili “eti muziki wetu haulipi”nani kasema muziki haulipi?mbona hao wadau ni muziki huu huu umewafanya mpaka wameweza kufungua TV,muziki huu huu ndio unaowafanya wao kununua magari ya kifahari.

Nguvu ya mabadiliko ya watu haipingwi kwa vijembe redioni wala maneno ya shombo,bali kwa Hoja zenye msingi na zenye majibu na si kwa hoja nyepesi jamani,wasanii wengi wamejazwa fikra kuwa huu ni ugomvi binafsi kati ya watu wawili,hakika sio kweli,suala la Malaria No more limepita sasa tunasonga mbele na kutaka kila msanii kweli apate kipande chake halali na kuacha kutengenezewa wasanii na kikundi kimoja cha watu kwa maslahi yao.Miaka miwili iliyopita walianzisha mizengwe eti Hip Hop hailipi na kuwavuruga sana wasanii na wale wachache wasioweza kupambana wakaamua kuanza kubana pua ili wapewe airtime.

Kwa muda mrefu nimekuwa mdau na naufahamu muziki huu kwa upeo mkubwa sana na ndio maana nayaongea haya bila woga,ifike muda kila mtu akafanya jambo analolijua na sio kubahatisha,kuna jamaa mmoja eti ni “music director “wa redio moja hivi ya fm hapa mjini eti yeye kazi yake ni kusikiliza nyimbo na kutoa kasoro na marekebisho cha kushangaza huyo anayeitwa music director hana hata diploma ya muziki huo,unawezaje kukosoa kitu amabcho hukijui na kutenda haki???haya ndio mambo ya kimagumashi yanayoharibu muziki wetu,get a life boy na kama unataka kufanya mambo nenda shule japo diploma itakupa msingi wa kufanya hayo.

Miaka michache iliyopita alivuma msanii Mb Doggy na kutajwa kuwa ameuza kopi zaidi ya laki moja katika siku mbili za mauzo ya albamu yake ya “Lafifa”daah akapewa coverage kubwa na mengi yakasemwa ooh kavunja rekodi mpaka kawafunika jamaa wa bendi lakini hebu mtafute Mb Doggy leo kaa nae umuulize uhalisia wa yaliyotokea,utasikitika na kuduwaa,leo hii Mb Doggy anapambana kurudi upya kwenye game japo apate hela ya kuishi,hii ni hatari sana.

Wasanii wa bongo amkeni acheni kufanywa misukule na kutumiwa kama daraja la kupata mafanikio ya watu wachache na aminini kuwa hata nyie mnauwezo wa kufanya makubwa na kumiliki magari ya kifahari kama chameleon,Nonini,Bebe Cool ama Nameless na kuacha kuishi maisha ya kuunga unga wakati you got all the means to be on Top,Bila kuamka na kupigania hili hakika mtazeeka na kukosa la kuwaelezea watoto na wajukuu,Hata marehemu mzee Kipara wa kaole alikuwa kijana kama nyie hebu ona maisha ambayo alikuwa anaishi mpaka mauti ikamfikia.inasikitisha na bila kutumia ujana wenu sahihi hakika mtakuwa mizigo huko uzeeni.

Waraka wa pili utakujia tena jumatatu ijayo>>>>hii ni kwa ajili ya wapenda muziki wote na kupata ufahamu ya kinachoendelea kwenye Anti Virus Movement ya kuokoa muziki huu wa Bongo usiendelee kupotea na kufaidisha kundi dogo la mabepari aka Virusi.

ALUTA CONTINUA….
Anti Virus Activist -MAC

Imeletwa kwenu kwa hisani yahttp://www.djchoka.blogspot.com/ .
Vigezo na masharti vimezingatiwa.
 
Salaam nyingi kweni nyi wote wapenzi wa muziki hapa Bongo,leo kamanda wenu Mac Temba aka mwanaharakati wa Anti virus nataka kuwapa tafsiri na kuweka mambo sawa yote kuhusiana na mambo kibao yanayopindishwa na kuficha ukweli wa Vuguvugu la kudai haki sawa na uwanja huru wa kufanya sanaa hapa Bongo,kwa jina la mtaani limepewa jina la Anti virus

Anti virus ni mkusanyiko wa watu mbalimbali wenye taaluma mbalimbali na uwezo mbalimbali ambao tunaamini kuwa sanaa hii ya muziki inaweza kuwasaidia vijana wengi hapa bongo na pia kuisaidia nchi yetu kupata kodi ambayo itasaidia kuleta maendeleo na kuisogeza nchi yetu mbele kama wenzetu Afrika kusini,Nigeria.Kamwe huu si mgomvi na mtu mmoja wala chombo kimoja cha habari.

Kinachodaiwa hapa ni haki na usawa katika sanaa na malipo sahihi kama wanavyolipwa wakenya na wanaigeria wakija hapa kufanya maonyesho mafupi ya muda wa saaa moja na kuchota mamilioni mengi toka kwa makampuni ambayo yanapata faida toka kwa watanzania hawa ambao wasanii wao wa ndani wanaishi maisha mabovu sana na wala hawakumbukwi na makampuni haya ya bidhaa ambayo hupata mamilioni ya faida toka wa watanzania hawa.

Sanaa na soka ni fursa pekee ya kumfanya mtoto toka katika familia masikini kuweza kuwa milionea ama kufanikiwa kujinyanyua toka katika maisha mabovu mpaka maisha bora,ni kama mpira ulivyo katika nchi ya Brazil,soma historia za wanasoka kama wakina Ronaldo de Lima na wekina Pelle soka ndilo lililowafanya waweze kujiinua na kuweza kuzisaidia familia zao kupata mafanikio na kuishi maisha bora nay a kifahari.

Hakika naomba niweke sawa hapa Anti virus movement ya kudai haki si ugomvi kati ya Sugu na Ruge bali ni vuguvugu la wasanii wa zamani wanaamini kuwa game ya muziki haiendi sawa na kutaka mambo yawe wazi na BASATA na COSOTA kuundwa upya ili ziweze kufanya kazi kwa ufanisi na kupunguza haya malalamiko na pia watu hao wanaoitwa mapebari katika muziki(hao Virusi katika muziki wanaotafuna mamilioni ya wasanii wetu wachanga wakome),hii ndio sababu ya anti virus na hakika kadiri muda unavyozidi kwenda nashukuru watanzania wanazidi kutuelewa.
Sugu ndiye msanii pekee anayeweza kusimama mbele na kujiita Legendary katika muziki huu na si mwingine yeyote maana wengi wao ni kama fisi maji mnaotaka mabadiliko lakini hamtaki kuongea eti mtanyimwa airtime redioni acheni ujinga na kujifanya wanaharakati wakati mnaendelea kunyonywa na mnaishi maisha mabovu wakati sanaa yenu ni kubwa sana na ndiyo kazi pekee inayowafanya muishi mjini,maana wengi wenu mliacha shule kukimbilia katika sanaa cha kushangaza mnaogopa kusimama na kutetea haki zenu za msingi.

Mapambano dhidi ya vuguvugu la kupinga unyonyaji huu hayajaanza jana wala juzi,Solo Thang mwana hiphop anayeishi na kufanya kazi Ireland aliwahi kuingia katika beef na redio moja hapa kwa kudai haki na kuwachana kuwa wanaiba haki za wasanii,wakampiga vita na kumtengenezea kila hila ili kumpoteza,hata wasanii ukiongea nao wanajua haya ila eti wanamuogopa huyo virus eti atawapoteza na kuwanyima airtime ila wako tayari kuendelea kusafriki mikoa yote kwa show ya laki 4 wakati wanaingiza mamilioni ya shilingi.

Inashangaza eti msanii kama Lina eti anaambiwa ana mafanikio kwa kuweza kununua gari aina ya Vitz baada ya kuuza albamu na kufanya show kibao,je haya ni mafinikio kweli kwa mauzo ya albamu Bongo?haya ndio mambo tunayopigia makelele maana zamani adui wa wasanii alikuwa mdosi lakini siku hizi mpaka huyo Virus sasa ndiye anayeamua kusambaza albamu za wasanii wetu na nani apewe shilingi ngapi kwa albamu yake.

Ni wasanii wangapi wa hapa kwetu wenye kuishi maisha ya kueleweka na kumiliki vitega uchumi na kuweza kuendesha maisha yao???hakika hawazidi kumi kwasababu wengi wanapambwa redioni lakini ki uhalisia hawana cha maana,hebu ona wsanii kama Mr Nice,Bushoke,Gangwe Mobb,Feroos,East Coast Team walivyotumiwa na alivyotupwa na hao wadau,Sio kwamba wametumia pesa vibaya bali asilimia kubwa ya pesa hizo huliwa na hao wadau na kuahidiwa eti promotion ya albamu ijayo.

Hili si sawa ndio maana katika hili tunataka wanaojibu hoja za Anti virus wajibu hoja na sio propaganda za kitoto maana watu wameamka na wanataka majibu na uwanja huru katika sanaa,kila mwenye fursa na uwezo katika sanaa afanye bila kubughuziwa,sanaa iwe huru na vyombo vinavyosimamia sanaa viweze kufanya kazi bila mikono ya hawa virus aka mabepari wa sanaa wanaopigwa vita.Huu sio ugomvi wa watu wawili hapana,haya ni mapambano ya kudai haki na usawa katika sanaa yetu maana sanaa si ya watu wachache.

Kama mambo haya ya sanaa yetu yangeweza kuwa wazi na fair tungeweza kuwa na wasanii wenye mafanikio kama lady Jaydee wengi sana na hakika wangeweza kuwavutia mabinti wengi kuingia katika sanaa hii lakini ukimtoa lady jaydee taja mwanamuziki mwingine mwenye mafanikio kama yeye,Kuna siku moja niliona mahojiano na msanii mmoja mkubwa wa hip hop bongo anayejiita legendary akisema mafanikio yake katika gemu toka aanze miaka zaidi ya kumi nyuma ni nyumba na gari Spacio!!! Daah inasikitisha sana unapoona msanii kama Nonini wa juzi juzi sasa hivi ana mafikio makubwa na hafanyi show chini ya dola 2500 na ukiwataka P unit ni dola 3000 lakini katika show hiyohiyo msanii wa bongo analipwa laki 4 na wengine mpaka bure kwa ahadi ya kupewa airtime redioni kwao,huu ndio wizi tunaousema uishe maana ni lini msanii wetu atakuwa na mafanikio kama malipo ndio haya.

Hofu kubwa ya kundi hilo la mafisadi wa sanaa hapa Bongo ni kuwa haya mambo yakiwa wazi watakosa pa kuiba na kufisadi ndio maana wanapandikiza mamluki na kujibu majibu ya ki propaganda na kukimbia hoja za msingi,jambo moja ambalo wanapaswa kulijua ni kuwa hakuna jambo ambalo halina ncha.

katika hili muda umefika,jana kwenye facebook mambo mengi yamejiri na comments kibao mmoja wa wadau wa muziki Pkay alindika the fall of Roma empirewake up kidsmaji yakizuiwa njia hutafuta mkondo mwingine,someni alama za nyakati

Dada Maria Sarungi- Tsehai yeye aliubatiza huu mwamko kama Sugu phenomenon katika ukurasa wake wa facebook jana na kusema Angry young men ambao wamechoka na wameamua kujiexpress kupitia muziki,ni hatua nzuri ila isiishie hapo

Carren Flora Mgonja kwenye wall yake ameeandikaAsanteni vinega kwa kutupa show tukioikosa kwa long tyme,I salute my brothers,safi sana Adili na songi lako peke yangu,Soggy na kibanda cha simu

Hili mimi nililijua litafika hapa maana hakika ni jambo ambalo tulikiwa tunalizungumzia mara kwa mara katika mijadala na wadau wa muziki huu kuwa kuna watu wachache wanaohodhi mamlaka na kufanya mambo katika sanaa yasisogee mbele kwa manufaa yao binafsi,napinga sana suala hili eti muziki wetu haulipinani kasema muziki haulipi?mbona hao wadau ni muziki huu huu umewafanya mpaka wameweza kufungua TV,muziki huu huu ndio unaowafanya wao kununua magari ya kifahari.

Nguvu ya mabadiliko ya watu haipingwi kwa vijembe redioni wala maneno ya shombo,bali kwa Hoja zenye msingi na zenye majibu na si kwa hoja nyepesi jamani,wasanii wengi wamejazwa fikra kuwa huu ni ugomvi binafsi kati ya watu wawili,hakika sio kweli,suala la Malaria No more limepita sasa tunasonga mbele na kutaka kila msanii kweli apate kipande chake halali na kuacha kutengenezewa wasanii na kikundi kimoja cha watu kwa maslahi yao.Miaka miwili iliyopita walianzisha mizengwe eti Hip Hop hailipi na kuwavuruga sana wasanii na wale wachache wasioweza kupambana wakaamua kuanza kubana pua ili wapewe airtime.

Kwa muda mrefu nimekuwa mdau na naufahamu muziki huu kwa upeo mkubwa sana na ndio maana nayaongea haya bila woga,ifike muda kila mtu akafanya jambo analolijua na sio kubahatisha,kuna jamaa mmoja eti ni music director wa redio moja hivi ya fm hapa mjini eti yeye kazi yake ni kusikiliza nyimbo na kutoa kasoro na marekebisho cha kushangaza huyo anayeitwa music director hana hata diploma ya muziki huo,unawezaje kukosoa kitu amabcho hukijui na kutenda haki???haya ndio mambo ya kimagumashi yanayoharibu muziki wetu,get a life boy na kama unataka kufanya mambo nenda shule japo diploma itakupa msingi wa kufanya hayo.

Miaka michache iliyopita alivuma msanii Mb Doggy na kutajwa kuwa ameuza kopi zaidi ya laki moja katika siku mbili za mauzo ya albamu yake ya Lafifadaah akapewa coverage kubwa na mengi yakasemwa ooh kavunja rekodi mpaka kawafunika jamaa wa bendi lakini hebu mtafute Mb Doggy leo kaa nae umuulize uhalisia wa yaliyotokea,utasikitika na kuduwaa,leo hii Mb Doggy anapambana kurudi upya kwenye game japo apate hela ya kuishi,hii ni hatari sana.

Wasanii wa bongo amkeni acheni kufanywa misukule na kutumiwa kama daraja la kupata mafanikio ya watu wachache na aminini kuwa hata nyie mnauwezo wa kufanya makubwa na kumiliki magari ya kifahari kama chameleon,Nonini,Bebe Cool ama Nameless na kuacha kuishi maisha ya kuunga unga wakati you got all the means to be on Top,Bila kuamka na kupigania hili hakika mtazeeka na kukosa la kuwaelezea watoto na wajukuu,Hata marehemu mzee Kipara wa kaole alikuwa kijana kama nyie hebu ona maisha ambayo alikuwa anaishi mpaka mauti ikamfikia.inasikitisha na bila kutumia ujana wenu sahihi hakika mtakuwa mizigo huko uzeeni.

Waraka wa pili utakujia tena jumatatu ijayo>>>>hii ni kwa ajili ya wapenda muziki wote na kupata ufahamu ya kinachoendelea kwenye Anti Virus Movement ya kuokoa muziki huu wa Bongo usiendelee kupotea na kufaidisha kundi dogo la mabepari aka Virusi.

ALUTA CONTINUA.
Anti Virus Activist -MAC

Imeletwa kwenu kwa hisani yahttp://www.djchoka.blogspot.com/ .
Vigezo na masharti vimezingatiwa.
Kamanda tumeshaamua kupambana! Historia ya muziki inaandikwa upya! Umemtaja MB Doggy ukanigusa sana! Anatoa ngoma kali wanabana! Ukitaka ujue hawa ni waharibifu nyimbo ya latifa kipindi MB dog hajulikani kabisa alipeleka hiyo single radio zote wakaiweka kapuni! Dj JD aliichunia ipigwe na radio zingine kwa zaidi ya wiki 3 haikupigwa! Akaamua kuanza kuipiga rasmi kipindi hicho radio uhuru,ndani ya siku 2 Tanzania ikataharuki kwa kipaji hiki kipya! Kwa masikio yangu JD alimuita studio MB Dog akiwa na Madee na kuwauliza mmeona nyimbo yenu ilivyokuwa imepotezewa? MB Dog akajibu toka umeanza kuipiga tumeanza kupigiwa simu tupeleke CD wakati tulishapeleka!! Jamani hivi ndo soko lilivyo! Unasubiri kudra za muumba kutoka hata uweke juhudi vipi! Lazima muziki uwe huru ili vipaji vya ukweli pia viinuke si mpaka wapitie THT!
 
Nimeguswa ba hii makala sana.Hizi harakati alizozianzisha sugu wasanii walipaswa wamuunge mkono ila kwa sababu ya upeo wao mdogo wanafikiri ugomvi ni kati ya ruge na sugu.Haya mapambano sugu atashinda na watakaofaidika ni wengi ikiwepo kizazi cha baadae.Viva vinega
 
Anaongea tu kudanganya jamii but she knows who z bad.hivi wewe feki hujui kuwa jamii forum ni madeepest thinkers au???????
 
Back
Top Bottom