Dj fetty talks about anti-virus: Kuna ukweli apa jaman?

Kamanda tumeshaamua kupambana! Historia ya muziki inaandikwa upya! Umemtaja MB Doggy ukanigusa sana! Anatoa ngoma kali wanabana! Ukitaka ujue hawa ni waharibifu nyimbo ya latifa kipindi MB dog hajulikani kabisa alipeleka hiyo single radio zote wakaiweka kapuni! Dj JD aliichunia ipigwe na radio zingine kwa zaidi ya wiki 3 haikupigwa! Akaamua kuanza kuipiga rasmi kipindi hicho radio uhuru,ndani ya siku 2 Tanzania ikataharuki kwa kipaji hiki kipya! Kwa masikio yangu JD alimuita studio MB Dog akiwa na Madee na kuwauliza mmeona nyimbo yenu ilivyokuwa imepotezewa? MB Dog akajibu toka umeanza kuipiga tumeanza kupigiwa simu tupeleke CD wakati tulishapeleka!! Jamani hivi ndo soko lilivyo! Unasubiri kudra za muumba kutoka hata uweke juhudi vipi! Lazima muziki uwe huru ili vipaji vya ukweli pia viinuke si mpaka wapitie THT!

Natoa ushauri wa bure

Sugu na wenzako anzisheni Redio yenu kama tatizo ni airtime basi kuwa komoa anzisheni Redio yenu na wadau tupo tayari kuchangia
unyonyaji sasa basi tumechokaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Back
Top Bottom